Tabora: Nyoka Koboko amekunywa uji wa Moto, amkimbiza Mganga wa Kienyeji

Huyo hakugongwa alikwaruzwa na matawi ya mwembe.....wakati anajiokoa
 
View attachment 2060977

ukikutana na hii kitu jaribu mbio labda ndio zinaweza kukuokoa tofauti na hapo ukianza kutafuta mawe au fimbo ni labda mfe wote au ufe wewe.
Na haipo chance kwa yote hayo mkuu.

Ukikimbia kumbuka huyu ndo nyoka mwenye speed kuliko wote na ukiinama uokote jiwe unakuta anakumenya utosini huyu wanavyoshauri wanaowajua ukikutana naye jitahidi uende na mood aliyo nayo(ila sijui kama inawezekana),kama akiamua kukaa pembeni bila shari elewa akija kukutisha kama anaku-attack jifanye kama haupo ila ishara yoyote utakayoonyesha kwamba upo against nae hata ukikimbia tu jua ameondoka na uhai wako.

NB:uki-survive shambulio lake hautarudi kama mwanzo lazima utapata utindio wa ubongo,98% wanaong'atwa na huyu mdudu huishia kufa 2% tu ndo huokoka japo wakiwa siyo wa kutegemewa tena kwa kubaki walemavu wa kudumu.
 
Huwa watu wanashindwa kuelewa
Huyu ana wababe wake pia ila mbabe mmoja ambae nampenda ni ndege mmoja anaeitwa Secretary bird

Huyu ni moto wa kuotea mbali kwanza anajua karate na hajafunzwa na Bruce lee wala Jackie Chan bali anauwa nyoka kwa teke moja tu

Huwa ananifurahisha sana huyu ndege
Inabidi wafuge hawa ndege mkoa wa tabora maana Koboko wamejaa sana huko mpaka Urambo, Kaliuwa

Great !!! Hapo anakiota cha mayai atawapasuwa mbaya wamuache ashughulike na biolojia yake...
 
Uji haukuwa wa moto huo ungekuwa wa Moto alivyoingiza kichwa na macho yangepofuka
 
Hivi watu hamuelewi? Mbona Wa TZ mnakuwa majinga na mbumbumbu kiasi hiki? Hilo ni fumbo, na si stori kama mnavyodhani. That's a code, wachache mno wameelewa. Rudia kusoma kwa makini.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Asante Mhifadhi
 
kwa huko polini ana wababe ila sio against human.

kuna vidudu vipo kama nguchiro hivi hata vigongwe na huyu nyoka ingawa vinajua kukwepa lkn havifi.
 
Hivi watu hamuelewi? Mbona Wa TZ mnakuwa majinga na mbumbumbu kiasi hiki? Hilo ni fumbo, na si stori kama mnavyodhani. That's a code, wachache mno wameelewa. Rudia kusoma kwa makini.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Mkuu hope hukutegemea kuni-quote mimi na wala siyo ktk uzi huu,tafadhali sana unaweza kufafanua kidogo hilo ni fumbo gani?
 
Hilo eneo kasha tawala nahilo koboko ni jike walipe utulivu limalize kutaga vingenevyo waandae rambi rambi......
Hivi watu hamuelewi? Mbona Wa TZ mnakuwa majinga na mbumbumbu kiasi hiki? Hilo ni fumbo, na si stori kama mnavyodhani. That's a code, wachache mno wameelewa. Rudia kusoma kwa makini.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Duuuuh mpige picha nyoka huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…