Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Daah umekosea kutukana! Ila anyway, acha inyeshe tuone panapovuja!
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu, samahani kwa hilo!Ume quote wengi humu na kutukosea heshima
Sio tabia yangu kutukana ila umetutukana wewe
Next time jaribu kuelewesha mambo bila kutumia maneno makavu
Wengine wajukuu zetu wamo humu eti [emoji23][emoji120]
Aisee yaani hata Kama watu wamelala yeye anagonga tu ajiulizi?
Ndiyo maana Subwoofer na Bi Tozo wanaparurana hukuπView attachment 2060887
Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo.
Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo.
Mganga huyo Hassan Jumanne anasema alipanda juu ya mti wa muembe yalipo makazi ya nyoka huyo akiwa na chungu chenye uji wa moto ambao nyoka huyo alitoka na kuingiza kichwa kwenye uji kabla ya kumshambulia kwa kumgonga mara nne.
Mganga alizimia na kuanguka na alipopata fahamu alikimbia akiacha vifaa vyake vya uganga katika eneo hilo.
Uongozi wa kata hiyo umeanza jitihada za kuwasiliana na maliasili ili kumuondoa nyoka huyo.
Chanzo cha habari: CG FM Radio
Huyu kwa kweli acha nimpe tu
Napenda sana nyoka na nimekutana nao wa aina nyingi
Kuna siku naelekea Horohoro njiani nilimuona Rock python urefu kama 4 meters hivi na mkubwa haswa
Nilisimamisha gari na haraka nilishuka kumuangalia akikatisha barabara taratibu baada ya kuona hatuna madhara nae
Cobra pia yupo Shambani na ni marufuku kumuua ana miaka mingi hapo na hana tatizo na mtu
All in all napenda sana nyoka ila huyu ukikutana nae sali sala za mwisho
Kweli kabisa yeye akisha kuona shughuli inaanzaKwa hiyo kwa kifupi ni nyoko mwenye uadui na mwanadamu na pia ni nyoka mchokozi huyo hafai hata kufugwa kwa hali hiyo
Kwa mkoa wa Tabora, toka miaka ya zamani, hiyo Ndo ilikua mbinu ya kupambana na Nyoka .Nimecheka kwa sauti, nimepata picha anavotoka nduki.
Yaani kazimia tu hajapata madhara ya sumu?
Bora walivoamua kuwaita wataalamu wa kisayansi....sasa wao wakaleta mganga ambaye akaamua kumuunguza kwa uji.....ha ha ha ha....nyoka hasira yake ikaishia kwake.
Hawa mi nimeua sanaView attachment 2060977
ukikutana na hii kitu jaribu mbio labda ndio zinaweza kukuokoa tofauti na hapo ukianza kutafuta mawe au fimbo ni labda mfe wote au ufe wewe.
mkuu kaboko ana mapigo 12 baada ya hapo ana uwezo tena wa kugongaMkuu Unamjua koboko wewe? Yule aking'ata haachi meno Bali sumu yeke hupita kwenye meno yake kwenda kwa mjeruhiwa,na anao uwezo wa kungata zaidi ya Mara kumi.
Hivi watu hamuelewi? Mbona Wa TZ mnakuwa majinga na mbumbumbu kiasi hiki? Hilo ni fumbo, na si stori kama mnavyodhani. That's a code, wachache mno wameelewa. Rudia kusoma kwa makini.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile apll
Uongozi wa kata hiyo umeanza jitihada za kuwasiliana na maliasili ili kumuondoa nyoka huyo
Aiseeh watu Dipdaiva...Mkuu, unamaanisha story ya mchongo??πππππ
Hii nimeielewa.. ikiwa applied inaweza kuwasaidia ndugu zetu wanyamwezi huko Tabora na hatimaye kumtia nguvuni bwana nyokaNgoja niwape mbinu ya kumkamata koboko,waende police kitengo cha mbwa au kwa yeyeto mwenye yale mavazi ya kufundishia mbwa unayavaa,plus buti, helmet.kisha unamfata alipo koboko au nyoka yeyeto mwenye sumu unamkamata Akigonga kichwa anakutana na helmet, Akigonga mwilini ukutana na nguo Akigonga mguuni ukutana na buti,akitema mate ukutana na kioo,mikononi umevaa gloves za boxing.
Kama meno ya mbwa ayapenyi kwenye suti hiyo sembuse ya snake
Mbinu ya ndoo na uji ya kizamani mtakula snake bites za kutosha.
View attachment 2061048
hongera ila hawa wanaokaa karibu na makazi ya watu mara nyingi hawapati nafasi ya kukukua sana wanakuwa na kimo cha kati.Hawa mi nimeua sana
Kwahiyo huo uji ndo silaha ya kupambana na nyoka? Tupe darasa kidogo tujue matumizi ya uji katika kukabiliana na majoka yenye sumu kaliKwa mkoa wa Tabora, toka miaka ya zamani, hiyo Ndo ilikua mbinu ya kupambana na Nyoka .