Ukiona hivyo huyo mganga kajizatiti ndiyo maana anafanya kazi hizo
Wakati huo hawa wazee wa kimilia au waganga, ilikua wakisikia tishio la uwepo wa nyoka wanajificha katika Miti.Kwahiyo huo uji ndo silaha ya kupambana na nyoka? Tupe darasa kidogo tujue matumizi ya uji katika kukabiliana na majoka yenye sumu kali
Binadamu kapewa akili ya kumtawala mnyama.Hilo eneo kasha tawala nahilo koboko ni jike walipe utulivu limalize kutaga vingenevyo waandae rambi rambi......
Njia za kizamani hizoKwahiyo huo uji ndo silaha ya kupambana na nyoka? Tupe darasa kidogo tujue matumizi ya uji katika kukabiliana na majoka yenye sumu kali
Imekuwaje mganga akaponaHuyo Koboko anauwezo wa kugonga maranyingi sana na sumu yake ni kali sana akikugonga..huchukui round lazima usepe
labda ndio maana akaitwa mganga, lkn ktk hali ya kawaida binadamu ambaye amepata jeraha la huyu kiumbe kama hajapata msaada wowote ndani ya dk 20 ni lazima akutane na mwendazake.Imekuwaje mganga akapona
Ndio koboko huyo sasa.Kawaida nyoka wa kawaida hagongi zaidi ya Mara moja kwasababu akigongo meno hubakia je huyu kapata wapi uwezo wa kugonga mara nne?
π€£π€£π€£ Tanzania sihami
Maliasili waitumie mbinu hii pia nyoka ukamatwa kwa net yaani chandaruaHii nimeielewa.. ikiwa applied inaweza kuwasaidia ndugu zetu wanyamwezi huko Tabora na hatimaye kumtia nguvuni bwana nyoka
Yeah mkuu ni 100 kwa wawili wanaopata bahati hiyo but hata huyo aliyepona ukimtizama sana unakuta hayupo sawa upstairs,akimuuma victim wake haraka sana sumu husambaa kwenye damu,kwenye ubongo ikirudi kwenye lungs na moyo parapanda inalia.Mzee kuna dawa huwezi amini.
Mimi nilishashudia jamaa amegongwa na huyo kiumbe ila alipona msela.
Wewe una mjua black mamba??hiyo ni habari nyingine hata ng'ombe 20 anawaua!!Kawaida nyoka wa kawaida hagongi zaidi ya Mara moja kwasababu akigongo meno hubakia je huyu kapata wapi uwezo wa kugonga mara nne?
View attachment 2060935
Hawa ndo kiboko ya nyoka
Susie and SimonView attachment 2060935
Hawa ndo kiboko ya nyoka
Simon Keys ni mzima kabisa mkuu na anaendelea na shughuli zake.Jamaa alishatangulia mbele za haki
ππππMganga kanusurika
Mganga kaponaje kwa sumu ya koboko au ndiyo uchawi?View attachment 2060887
Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo.
Katika jitihada za kumuondoa nyoka huyo wananchi walimleta mganga wa kienyeji ambaye alitamba kumuondoa nyoka huyo.
Mganga huyo Hassan Jumanne anasema alipanda juu ya mti wa muembe yalipo makazi ya nyoka huyo akiwa na chungu chenye uji wa moto ambao nyoka huyo alitoka na kuingiza kichwa kwenye uji kabla ya kumshambulia kwa kumgonga mara nne.
Mganga alizimia na kuanguka na alipopata fahamu alikimbia akiacha vifaa vyake vya uganga katika eneo hilo.
Uongozi wa kata hiyo umeanza jitihada za kuwasiliana na maliasili ili kumuondoa nyoka huyo.
Chanzo cha habari: CG FM Radio