Tabora: Profesa Lipumba anahutubia kwenye Ziara ya Rais Samia kama nani?

haki yake kikatiba,raisi amempa nafasi hiyo so hakuna shida.freedom of expression.
 
Kama kuwadi mwenzenu wana saccos. Njaa mbaya, professor uchwara.
 
kama mwanachama wa ccm z
 
Ishakuwa nongwa? Kwani kuna sheria imevunjwa?
 
Hilo ni swali? Yule anayeendaga ikulu? Lipumba kaenda mchana kweupeee
 
Chadema mnataka Mbowe tu ndio awe karibu na Mama Samia, tatizo lenu mnataka u special fulani kwenye siasa za nchi hii... mkumbuke vyama vyote ni sawa mbele ya katiba, japo mnawafuasi wengi.
 
Huyuni Traitor No.1 akifuatiwa na Zito No. 2
 
Chadema mnataka Mbowe tu ndio awe karibu na Mama Samia, tatizo lenu mnataka u special fulani kwenye siasa za nchi hii... mkumbuke vyama vyote ni sawa mbele ya katiba, japo mnawafuasi wengi.
Hivi mkijibu hilo swali mtapungukiwa nini ?
 
Anahutubia kama mwananchi na pia kama mwenyeji wa mkoa wa Tabora mkuu siasa sio uhasama hata mwenyekiti wenu wa SACCOS ruksa kuhutubia wananchi kwenye ziara za mama, jiulize kwanza mwenyekiti wenu wa SACCos alienda kukutana na mama usiku kama nani?
 
Asante kwa majibu yako duni
 
Kwani Rais Samia anakatazwa kumpa nafasi Mtanzania yeyote kutoa mawazo yake katika mkutano?

Achana na Lipumba, Mtanzania yeyote yule.

Je, Lipumba ni Mtanzania au si Mtanzania?
 
Mleta mada huwa anataka nafasi hizo apewe aliemtuma kuandika uharo huu, akipewa mwanasiasa mungine kinyume na boss wake inakuwa nongwa.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…