TUSHIRIKISHANE TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

POLENI SANA MUNGU AWA NANYI MPONE HARAKA
 
Mwenyenzimungu awajaalie mpate kupona haraka.
 
Ahsante Mungu kwa kuwajalia kupona katika ajali hiyo, Mungu wetu ni mwema, naamini watapona na watarejea katika shughuli zao. sasa kama wana usafiri binafsi kurudi Dar wajitahidi wasiende mwendo kasi
 
Pole zao. Chanzo cha ajali ni nn? Maana hizo Prado huwa zina majanaga kwenye hizo Link za mbele. Mungu awajalie ahueni kwa waliopata majeraha
 
Pole zao. Chanzo cha ajali ni nn? Maana hizo Prado huwa zina majanaga kwenye hizo Link za mbele. Mungu awajalie ahueni kwa waliopata majeraha

Nawapa poleni.sana, nilikuwa sijui kama PRADO zina tatizo kwenye link za mbele - tatizo ni nini nuts zinafunguka au link zinakatika kirahisi? ebu fafanua please maelezo yako yanaweza kutusaidia wengi.
 
POLENI SANA
 
Poleni sana, tuna tumai mungu atawasaidia mtapona nakurudi kulitumikia taifa
 
Pole sana Rejao na Lizabon, siku ingine muwe munauliza humu kabla ya kuanza safari mpewe majina ya wazee wa kuwaona katika maeneo husika, mkifika nguruka mumwone kwanza mzee katonda ndio mwendelee na safari yenu.
 
pole sana
 
Nawapa poleni.sana, nilikuwa sijui kama PRADO zina tatizo kwenye link za mbele - tatizo ni nini nuts zinafunguka au link zinakatika kirahisi? ebu fafanua please maelezo yako yanaweza kutusaidia wengi.
Siwezi kuelezea kiufundi sana vinaitwaje, lakini hizo gari zina hilo tatizo ni Ball Joint zinang'oka wakati gari linatembea. Na tatizo hilo ni kwa model hiyo. Matoleo mapya Wajapan walirekebisha dosari hiyo. Ila kuna jamaa zangu wengi zilitoka lakini hawakuwa kwenye speed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…