DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa ulitaka wapewe adhabu gani zaidi ya hii, hawa tayari ni wahalifu, bora wangejirekodi tuu kuisambaza tena?
Tatizo siyo adhabu gani, tatizo, wizara ya ustawi wa jamii ina mikakati ipi, sheria na kanuni zipi kuzuwia hayo yasijitokeze?

Waziri kaukwepa mpira, kawasukumia tamisemi.
 
Wakuu habari zenu!

Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.

Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.

Soma, Pia:
+
Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
Kuwafukuza siyo suluhu watibiwe kisaikolojia
 
Tatizo siyo adhabu gani, tatizo, wizara ya ustawi wa jamii ina mikakati ipi, sheria na kanuni zipi kuzuwia hayo yasijitokeze?

Waziri kaukwepa mpira, kawasukumia tamisemi.
Siwezi kukwepa, hilo ni jukumu lao la DxD, ambalo na mimi nimeunga mkono na nawapongeza kwa hatua walizochukua. Na hata kama ni mimi ningeenda nikalikuta bichi live, ningechukua hatua hizo hizo.......
 
Hoja ya kufukuzwa na kusoma tumeshaitolea ufafanuzi ila kama unapenda kuweka hivyo unavyoweka nayo haya basi jioni njema
Ukweli mchungu ni kwamba maafisa ustawi wapo wachache huko mashuleni walitakiwa wawepo ila ukija kuchunguza kwa ngazi ya wilaya afisa ustawi yupo mmoja ua wawili unafikiri anajigawaje?

Na hili sio kwamba hamlijua mnalijua kwaninu msiweke mikakati mizuri ya kuongeza social welfare officer counseling watoto wanapata wapi? Walimu wanatongoza wanafunzi ila mnawalinda walimu watoto tuwapeleke wapi na watoto wetu wanaaribiwa na hao walimu ambao tunawaona kama walezi? Mama changamka bado umelala ukatili kwa njia unayo tumia hauwezi kuisha
 
Maoni yako ukitoa umeshikilia hivyo hivyo mtu mstaarabu huyapokea na kupoke siyo kuamua maana unaweza kuyaweka tu PA. Ndiyo ustaarabu wa mijadala. Ukomavu, siyo kubishana bishana
kama umekiri hayo, inabidi uwachie ngazi.

Umekubali kuwa umeshindwa.

ingekuona wa maaana japo ungeomba msaada wa mawazo na utendaji. Usifkiri kwa kuwa waziri basi unajuwa kila kitu.
 
Mwaka juzi tu hapo ilitokea Benjamin Mkapa palee madenti wakiwekanaa kabisaa yaani sema haikwenda viral kama hii
Mmhh niliwahi kuona clip sina hakika km ni shule za tz. Wanafunzi wapo darasani, wa kike anamnyonya mwanafunzi wa kiume utupu wake na wanafunzi wengine wapo pamoja na huyo anaerikodi.
Nyengine mwalim anasomesha mbele nyuma backbenchers wanatiana bukheri, msichana kakalia ukuni
 
Sasa hizo video sijui clips ziko wapi kwanza?? Ili nikichangia mada najua nimechangia kitu nimeshuhudia kwa macho ya nyama kabisa.

Hawa vijana pengine Onlyfan pangewafaa wangetengeneza madolari ya kushato huko ndichi, embu nisogezeeni hiyo clip nishuhudie kuna kitu nijifunze.

Halleluja!!!
 
Hoja ya kufukuzwa na kusoma tumeshaitolea ufafanuzi ila kama unapenda kuweka hivyo unavyoweka nayo haya basi jioni njema

Mh. Waziri hata pia kwenye mabasi ya mikoani au ya umma nako ni shida sana. Wanaonesha miziki ya hawa vijana huku wakitutikisia mauno na makalio yao mbele yetu kwenye skrini. Siku moja nilisafiri na wakwe kwenye basi. Ilibidi nimuite konda. Kumkemea mambo ambayo anatuwekea.
Wizara ya Sanaa na utamaduni nayo ifanye kazi yake. Kufumbia macho hayo mamiziki ya hovyo bila kukemea nayo ni shida.
 
Hoja ya kufukuzwa na kusoma tumeshaitolea ufafanuzi ila kama unapenda kuweka hivyo unavyoweka nayo haya basi jioni njema
Iyo wizara angepewa mtu aliesomea ustawi wa jamii ww umezoea kushika sindano kuna muda unatakiwa kuisoma jamii ili uweze kutatua tatizo na sio kutatua tatizo kwa mihemko
 
Hiyo ni zima moto na mwisho wa ubunifu, kuna mipngo gani hayo yasitokee?

Kujua ukubwa wa tatizo ndiyo utafiti mkubwa ambao tunapaswa kuufanya. Tunaweza kufukuza wawili, kumbe tuna wengine kibao wajonjwa kisaikolojia, wameoza kabisa.

Kuzoea kutazama picha za ngono tangu wachanga, zinawaathiri kiakili. Wanakuwa wanakinai ngono wakiwa wadogo, maana kila kitu wanaona. Isitoshe kwenye picha hizo kuna pia matendo ya ngono yasiyo ya kawaida ambayo kuwatoa kabisa kwenye dhana nzima ya ngono. Matokeo yake wakiwa wakubwa na kuingia kwenye ndoa hawadumu. Maana tendo ngono limewakihiri, hivyo wanaona hakuna jipya hatimaye mgogoro kwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom