DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa unataka waziri ndiyo awatafutie wakuwaoa hao masingo maza ama??

Hallelujah!!!
Hapana, upeo wako uko finyu sana. Yeye kaongelea "wazazi" wakati uhalisia mitaani huku wanaamini kuna "mzazi".

Au ni nini maana ya "singo mama"?
 
Kujua ukubwa wa tatizo ndiyo utafiti mkubwa ambao tunapaswa kuufanya. Tunaweza kufukuza wawili, kumbe tuna wengine kibao wajonjwa kisaikolojia, wameoza kabisa.

Kuzoea kutazama picha za ngono tangu wachanga, zinawaathiri kiakili. Wanakuwa wanakinai ngono wakiwa wadogo, maana kila kitu wanaona. Isitoshe kwenye picha hizo kuna pia matendo ya ngono yasiyo ya kawaida ambayo kuwatoa kabisa kwenye dhana nzima ya ngono. Matokeo yake wakiwa wakubwa na kuingia kwenye ndoa hawadumu. Maana tendo ngono limewakihiri, hivyo wanaona hakuna jipya hatimaye mgogoro kwenye ndoa.
Exactly, na kufanya mikakati ya kuzuwia yasitokee.
 
Wanafunzi wawili wa kike wa Shule ya Sekondari Tabora wamefukuzwa shule baada ya kujirekodi wakijisugua sehemu za siri na kujivuta vuta hizo sehemu na kuonyesha umahiri wao wa namna watazitumia hizo sehemu.
Kufuatia habari hiyo, Dr Gwajima amesema wamewafukuza, watawapeleka kituo cha kurekebisha tabia alafu watahamishiwa shule nyingine.

Sasa, hao watoto wamesambaza picha zao za porn kwa magroup ya shule, hao watoto wana wenzao wengi ambao huwa wanafanya hayo mambo, je , Mh Waziri kwa heshma na taadhima, unafikiri wamejifunzia kwa watu wa Bongo Flavour or wamejifunza kwa marafiki?

Mh Waziri, hawa Bongo Fleva namna wanacheza na kukata mauni na picha za uchi si ndio hawa watoto wanaiga kwao?
Kwamba badala ya kuzuia chanzo mnaenda kwenye matokeo?
 
Watoto wa siku hizi ile topic ya reproduction haina mvuto tena kama zamani,watoto wa zamani ile topic walikuwa hawakosi kabisaa darasani ila siku hizi wanaona vitu vya kawaida sana.
 
Mmhh usiseme hivyo kuteleza kupo, pengine wamelishana ujinga tu na kufanya waliyofanya. Mtt kusoma ni haki yake ya msingi.
Kuwafukuza shule pia wakabaki mtaani wanaweza pia kuharibu jamii ya sehemu wanakoishi.
Mkuu watt wetu wanafanya mengi sisi wazazi hatuyajui, hakuna alo salama.
Na ukute kuna chanzo pia cha wao kufanya hivyo, kitafutwe. Unaweza kuta leo wamekamatwa wao kumbe humohumo shuleni mambo maovu yanaendelea
Kama wakisamehewa unazan italeta picha gani kwa wanafunzi ?
Watazarau kosa ila adhabu ikiwa kali watakua makini
Haya mahaba mahaba mnayoendekeza ndio mnaaribu watoto
Mwisho mtasema wanahaki ya kuchagua jinsia
 
Huruma Sio malezi!wahalifu wengi,au Watu wa hovyo hovyo katka jamii hushawishi wimbi la wafuasi Kwa Sababu wenye kauli(wazazi/walezi,ndugu na jamaa au Mamlaka kuchukulia poa na kuwapa attention.

Nowadays Crime Pays.Ifike wakati tusichekee Mmonyoko wa Maadili.

Jaribu kutafakari Tanzania ya miaka 20 ijayo na kuendelea itakua na jamii na nguvukazi ya namna Gani.
 
Mmhh niliwahi kuona clip sina hakika km ni shule za tz. Wanafunzi wapo darasani, wa kike anamnyonya mwanafunzi wa kiume utupu wake na wanafunzi wengine wapo pamoja na huyo anaerikodi.
Nyengine mwalim anasomesha mbele nyuma backbenchers wanatiana bukheri, msichana kakalia ukuni
Haikuwa shule za Tz
 
Yaani hawa watoto wetu wamekosa maadili kabisa Yaani sie wazazi tunajinyima mengi ili watoto wasome halafu mwisho wa siku wanatutia aibu!
Hebu kiongozi nisaidie kunitumia hizo picha hapa ili tujaribu kushauriana kama wazazi
St Kayumba unajinyima nini, aacha utani, ukute hata kandambili ni shida kwao.
 
Hiyo ni adhabu kubwa Kwa watoto
Tushajua ni watoto na walifanya utoto
Wawape adhabu hata ya viboko
Lakini wawape fursa ya kusoma tena
Mtu hubadillika, wanaweza kubadilika na kuwa wema

Sio hekima hiyo kumfukuza mtoto shule
Mzazi mpuuz ety watt wamefanya utoto hahaaa
 
Bora wamefukuzwa,huo tayari ni mtego kwa walimu wanaopenda kupiga mashine wanafunzi kama wapo kwenye hiyo shule,ungeweka hata na picha au video yenyewe ili kama ni kuhukumu isionekane watoto wanaonewa au vp
 
Wakuu habari zenu!

Kuna hii taarifa ya hawa watoto wa Shule kufukuzwa huko Tabora, kuna namna sauti inatakiwa kupazwa kutokana na adhabu kubwa waliyopewa ukilinganisha na umri wao, walikuwa na nafasi yakuonywa na kuendelea na masomo ila sio kukatiza mazima.

Wanafunzi wawili wa kike kutoka shule moja ya sekondari mkoani Tabora, wamefukuzwa shule kwa makosa ya kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Gwajima D , amewataka maafisa Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Jamii na maafisa Elimu wote nchini kuimarisha madawati ya ulinzi wa watoto shuleni ili kusaidia kupunguza mmomonyoko wa maadili na ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi.

Soma, Pia:
+
Tabora: Wanafunzi Tabora wakamatwa na simu zaidi 120 zilizoungwa makundi wanayotumia kutumiana picha/video za ngono
Adhabu hiyo ni ndogo sana. Kama ningepewa nafasi ya kuongoza utunzi wa sheria, kusambaza picha za utupu (zako ama za mtu mwingine) adhabu yake ingekuwa kifo. Kujirekodi ukiwa uchi ni kuchangia mmomonyoko na unakuwa umejikana hata wewe mwenyewe.

Najua kuna wapuuzi watakuja kusema babu zetu kabla ya ujio wa wazungu walikuwa wanatembea uchi bila shida. Naomba wakimaliza kuandika huo upuuzi, wahame kutoka kwenye nyumba zao wakaishi porini, na badala ya kupika chakula waende kuokota matunda na kufukua mizizi kama chakula kikuu. Halafu na wao wajirekodi wakiwa makazi mapya waweke na captions "hey guys, we're chilling out naked like our ancestors. Hi!!" shenzi
 
Kama ni "singo mama" kuna "wazazi" hapo au kuna mzazi?
Hakuna kitabu kilichohalalisha huo usingo mama, waache zinaa na waliopo kwenye ndoa wachunge ndoa zao ili malezi ya watoto yahusishe pande zote mbili(baba na mama).

Hallelujah!!!
 
Back
Top Bottom