DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

DOKEZO Tabora: Wanafunzi wafukuzwa kwa kujirekodi picha za utupu na kuzisambaza

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mbona wanaojifungua wanarudishwa shuleni

Serikali inajitekenya na kucheka yenyewe
Kwani umeambiwa Hawa hawatasoma tena? Unajua kama haki ya kusoma ni ya kisheria kwenye Sheria yao. Nilichojifunza, watoa komenti mahiri wanahitaji semina ya kujua mambo mengi kuhusu wizara hii na miundo kwa ujumla Ili bidii yao ya komenti iwe na tija zaidi. Vinginevyo ni kurusha mishale tu direction tofauti na target. Ndiyo maana kumbe wengine huwa hata hawajibu maana hata ukijibu wanaona komenti inakuja tena target nje kabisa. Ila tutawaelimisha msijali Ili kuboresha komenti
 
Jukumu la mzazi ni kumlinda mtoto kujiepusha na hayo yote. Na hayo yanafanyika kwenye umri wa miaka Hadi nane ya awali, ubongo unapokuwa Hadi 90%. Sasa kama hatufanyi hayo kipindi hicho, ni kazi Sana huku mbele akiondoka mikononi mwako akaenda duniani huko ikiwemo mashuleni nk
Wizara yako kazi zake nini? Kulalamika wazazi hawafanyi hiki, hawafanyi kile?

Unaongelea "wazazi" wakati unajuwa nchi ina janga la ma "singo mama"?
 
Waziri kwa sasasa ulitakiwa uwe juu ya kutafuta "mchawi nani" kwa kuwa na mipango na utelezaji bora wa hiyo mipango. Siyo kungoja moto uwake ndiyo ukazime.
Kwani mimi nimengoja au nimekutana nalo huko kama taarifa ya yaliyojiri awali? Kwani mnadhani ni mimi nimechukua hatua hizo au tamisemi wenyewe? Mbona mnapenda kunivisha majoho majoho yasiyo yangu? 😅

Halafu mengine si nyie jamii huwa mnaleta kwangu? Wakati huko kuna viongozi wa Tawala za mikoa na mamlaka za serikali za mitaa? Mimi huwa mkiniita si naitikia? Au niwe nanyamaza tu na Mimi kama sioni? Sijaumbiwa hilo sasa ndiyo mtihani. Siku hao wa serikali za mitaa wakishika Kasi yao vizuri kadri wizara inavyokomaa, hamtanisikia

Lakini mbona hata wizara kongwe za miaka hoja zao zinakujaga tu online. Au hamuoni. Tunavishana tu majoho... Haya basi sawa, tuendelee kushirikiana, nawapenda Sana😍🇹🇿
 
Mwaka juzi tu hapo ilitokea Benjamin Mkapa palee madenti wakiwekanaa kabisaa yaani sema haikwenda viral kama hii
 
Wizara yako kazi zake nini? Kulalamika wazazi hawafanyi hiki, hawafanyi kile?

Unaongelea "wazazi" wakati unajuwa nchi ina janga la ma "singo mama"?
Sikiliza hotuba za bajeti huwa tunafafanua majukumu yote ikiwemo wajibu wa wazazi kwenye malezi na makuzi. Ndiyo uzuri wa Dunia ya Leo maktaba online.
 
Kwani mimi nimengoja au nimekutana nalo huko kama taarifa ya yaliyojiri awali? Kwani mnadhani ni mimi nimechukua hatua hizo au tamisemi wenyewe? Mbona mnapenda kunivisha majoho majoho yasiyo yangu? 😅

Halafu mengine si nyie jamii huwa mnaleta kwangu? Wakati huko kuna viongozi wa Tawala za mikoa na mamlaka za serikali za mitaa? Mimi huwa mkiniita si naitikia? Au niwe nanyamaza tu na Mimi kama sioni? Sijaumbiwa hilo sasa ndiyo mtihani. Siku hao wa serikali za mitaa wakishika Kasi yao vizuri kadri wizara inavyokomaa, hamtanisikia

Lakini mbona hata wizara kongwe za miaka hoja zao zinakujaga tu online. Au hamuoni. Tunavishana tu majoho... Haya basi sawa, tuendelee kushirikiana, nawapenda Sana😍🇹🇿
Wewe hujielewi kiuwa wizara yako ndiyo inatakiwa itowe raia bora, siyo bora raia.

"if such are the priests, God bless the Congregation".
 
Kamii utaistawisha vipi wakati wizara yako haina mkakato wowote wa kuhakikisha watoto kuanzia wadogo mpaka wanakuwa watu wazima hawana viwanja vya michezo, sehemu na maeneo ya michezo?

Si wataishia kufanya mchezo wa baba na mama?

Waziri wa wizara ya ustawi wa jamii haelewi maana ya ustawi wa jamii.

Sasa hapo umeongelea sekta kadhaa mtambuka kama vile halmashauri na ardhi.
 
Wanafunzi wanamiliki smart phone, wanajirekodi picha za utupu!! Hamna mwanafunzi hapo kweli nawaambia. Wanatakiwa adhabu ya kufanya usafi hospitalini mwaka mzima kabla ya kurudi shule. Huko watapata elimu ya uzazi na maadili. Sio kuwaonya tu, muwe serious jamani.
 
Sikiliza hotuba za bajeti huwa tunafafanua majukumu yote ikiwemo wajibu wa wazazi kwenye malezi na makuzi. Ndiyo uzuri wa Dunia ya Leo maktaba online.
Mimi nakuona umepwaya sana hiyo wizara, huna ubunifu. Baajeti ya wizara yako wewed, mimi inanihusu nini? Mimi nataka nione matokea chanya.

Mpaka kina Mwqakyembe wananyanyuka kukusaidia na takwimu wanazo, huoni haya? Kazi zako wewe wakafanye kina Mwakyembe?

Ni hrri hata yule binti anaekujja na Mwakyembe apewe hiyo wizara ataiendesha inavyotakiwa siyo kiporojo na kukosa ubunifu.

ule binti amechimba mpaka kwenye mizizi ya tatizo, kama serikali mmemsaidia na kumpa assignment zipi? Mlikumbuka kwenye hiyo bejeti yako unayoiongelea? Au alichofanya siyo ustawi wa jamii ule?
 
Ulijuwaje kama ni wazazi au mabazazi ndiyo wamewanunulia?
Kitendo cha ww kama mzazi kutojua kuwa mtoto wako anamiliki simu ni dalili tosha kuwa hauko makini na malezi na ulinzi dhidi ya mtoto wako.
 
Sasa hapo umeongelea sekta kadhaa mtambuka kama vile halmashauri na ardhi.
Hata nikiongelea sekta elfu ytofauti, kama msingi wake ni ustawu wa jamii, waziri wa ustawi wa jamii ndiyo mwenye jukumu la kulumbana na hizo sekta zingine zifanya atakavyo yeye kustawisha jamii.

Siyo kazi ya raia hiyo.
 
Mimi nakuona umepwaya sana hiyo wizara, huna ubunifu. Baajeti ya wizara yako wewed, mimi inanihusu nini? Mimi nataka nione matokea chanya.

Mpaka kina Mwqakyembe wananyanyuka kukusaidia na takwimu wanazo, huoni haya? Kazi zako wewe wakafanye kina Mwakyembe?

Ni hrri hata yule binti anaekujja na Mwakyembe apewe hiyo wizara ataiendesha inavyotakiwa siyo kiporojo na kukosa ubunifu.

ule binti amechimba mpaka kwenye mizizi ya tatizo, kama serikali mmemsaidia na kumpa assignment zipi? Mlikumbuka kwenye hiyo bejeti yako unayoiongelea? Au alichofanya siyo ustawi wa jamii ule?
Haya
 
Back
Top Bottom