TABORA: Watu 9 wakamatwa kwa tuhuma za mauaji na kuuza viungo vya binadamu, damu ya mtu inauzwa Tsh 600,000

Hiyo ndo njia sahihi,,wakamatwe waganga watataja wanaowatuma kuua
 
Aisee wakatwe pumbu na kuchunwa waone utamu wake. Hao adhabu yao kuwakaanga kwenye mafuta ya moto.
 
Kumbe damu chupa moja ni laki sita haya graduates kujeni hapa Fasta


Mnaweza jikusanya wawili mkajinyonya mkononi na zile sindano kubwa za ng'ombe mkatoa chupa moja mkagawana laki tatu au ukafanya pekee ako
 
Kumbe damu chupa moja ni laki sita haya graduates kujeni hapa Fasta


Mnaweza jikusanya wawili mkajinyonya mkononi na zile sindano kubwa za ng'ombe mkatoa chupa moja mkagawana laki tatu au ukafanya pekee ako
Binadamu si ana lita 2 tu za damu?
 
Kuna best yangu alifungua mgahawa, daaaahhh, waliroga mpaka akafulia.
Siku nyingine moto hauwaki mpaka jirani amalize kuhudumia chai ya asubuhi kwa wateja.
Siku nyingine supu aliyopika alfajiri asubuhi anakuta funza ishaharibika
Ule mji ukiwa pembeni kidogo unaweza kufa na njaa hakuna hata mgahawa wapo wapo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unataka kutuambia yule dada aliemuua mama ake Moshi kwa kushirikiana na mganga nae ni msukuma au ni kutoka kanda ya ziwa!!? Ebu fatilia vizuri visa vya waganga wa kienyeji kabla hujaconclude kiukanda, ushirikina upo maeneo yote primitive na ambayo hayana mchanganyiko mkubwa wa watu. Alaf sometimes link ni kubwa mganga anaweza kuwa wa Tabora wewe kutoka Lindi huko ukaja huku akakutaftia na vijana mtimize kilichokuleta.
 
Ukiambiwa maisha ni mchezo ukubali. Kuwa tajiri sio mchezo, hakika hakuna utajiri kutoka kwa Mungu. Kama unapiga uwe na sababu zilizoshiba. Usitumia Biblia ila tumia ubongo wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…