Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'wameanza' na vaksin tayari, siyo mbayaBado tuna miaka mingi sana mpaka tuweze kutengeneza ndege zetu wenyewe...
Binadamu si ana lita 2 tu za damu?Kumbe damu chupa moja ni laki sita haya graduates kujeni hapa Fasta
Mnaweza jikusanya wawili mkajinyonya mkononi na zile sindano kubwa za ng'ombe mkatoa chupa moja mkagawana laki tatu au ukafanya pekee ako
Basi wawe 12 kila mtu atoe nusu lita wakigawana 50k kila mmoja sio mbayaBinadamu si ana lita 2 tu za damu?
Ule mji ukiwa pembeni kidogo unaweza kufa na njaa hakuna hata mgahawa wapo wapo tuKuna best yangu alifungua mgahawa, daaaahhh, waliroga mpaka akafulia.
Siku nyingine moto hauwaki mpaka jirani amalize kuhudumia chai ya asubuhi kwa wateja.
Siku nyingine supu aliyopika alfajiri asubuhi anakuta funza ishaharibika
Daaaahhh. WabadilikeUle mji ukiwa pembeni kidogo unaweza kufa na njaa hakuna hata mgahawa wapo wapo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa kamati za ufundi
Wasukuma na kanda hizo wanaamini sana mambo hayo.
Lindi na Mtwara ndo kumeharibika kabisa sahivi.Wasukuma na watu wa kanda hizo acheni ujinga.
Hivi mkiamua kuishi kwa amani kama watu wa Lindi mtapungukiwa nini?
Sasa unataka kutuambia yule dada aliemuua mama ake Moshi kwa kushirikiana na mganga nae ni msukuma au ni kutoka kanda ya ziwa!!? Ebu fatilia vizuri visa vya waganga wa kienyeji kabla hujaconclude kiukanda, ushirikina upo maeneo yote primitive na ambayo hayana mchanganyiko mkubwa wa watu. Alaf sometimes link ni kubwa mganga anaweza kuwa wa Tabora wewe kutoka Lindi huko ukaja huku akakutaftia na vijana mtimize kilichokuleta.Mikoa yote kuna washirikina lakini kanda ya ziwa, hasa maeneo ya usukumani, imani za kishirikina zimezidi sana. Hawa, walio wengi wanauabudu, wanauishi, na wanautumikia ushirikina.
Ukiwa kanda ya Ziwa, hasa maeneo ya wasukuma, ukipata ajali, kama unajimudu, kimbia haraka ukajifiche. Watakuja haraka, usije ukadhani wanakuja kukusaidia. Kama hujiwezi, watakuja kukukata viungo mbalimbali.
Niliwahi kushuhudia huko Kahama, kijiji cha Mbizi, mtoto aliyetoka kumaliza darasa la saba, aliyehisiwa kuiba begi tupu lililoanikwa, akipigwa, baadaye kumbe walimwua, wakamchoma moto. Nilipita sehemu hiyo baadaye wakiwa wamemchoma moto, baada ya muda mfupi, hakuna kiungo kilichosalia, na hata walipomchomea likageuka kuwa shimo maana walibeba majivu, mpaka udongo wa pale walipomchomea. Nikaambiwa kuwa eti mabaki hayo yote yalichukuliwa kwenda kutumika kwenye ushirikina.
Kanda ya Ziwa, bado kuna mambo mengi ya hovyo sana. Ustaarabu wa mwanadamu wa kawaida, kwa walio wengi haupo.
Hatuyasemi haya kwa nia ya kuwadharau bali kuwahamasisha wale waliostaarabika kutoka kanda hiyo, kusaidia kuibadili jamii yao.
Lindi na Mtwara ndo kumeharibika kabisa sahivi.
Hambu hambu ngojaAcheni ukabila/ukanda. Otherwise tuambieni kabila/kanda gani haina/halina matukio ya mauaji/ushirikina.