EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Karibu mkuu napatikana Dodoma na DarNa wewe itabidi ukamatwe kwa kuhamsisha biashara haramu hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuu napatikana Dodoma na DarNa wewe itabidi ukamatwe kwa kuhamsisha biashara haramu hii.
Taja na wilaya na mitaa unayotokea.Karibu mkuu napatikana Dodoma na Dar
Nikurahisishie kazi nitajie kituo niende mwenyeweTaja na wilaya na mitaa unayotokea.
Lindi hakuna mauaji? Au hakuna waganga?Wasukuma na watu wa kanda hizo acheni ujinga.
Hivi mkiamua kuishi kwa amani kama watu wa Lindi mtapungukiwa nini?
Kuna kanda ambayo hiamini hivyo vitu? Nitajie hapaWasukuma na kanda hizo wanaamini sana mambo hayo.
Hiyo haileti utamu,inapendeza tukikukamata wenyewe na kukuburuza hadi sehemu husika.Nikurahisishie kazi nitajie kituo niende mwenyewe
Tabora na wasukuma! Mlikataa shule matokeo ndiyo haya hata nchi yako jauijui!Wasukuma na watu wa kanda hizo acheni ujinga.
Hivi mkiamua kuishi kwa amani kama watu wa Lindi mtapungukiwa nini?
Nipatie namba zao niwaelekeze nilipo kwanini wasumbuke?Hiyo haileti utamu,inapendeza tukikukamata wenyewe na kukuburuza hadi sehemu husika.
Ni ngumu kutunga sheria endapo watunga sheria kwa sehemu kubwa ni wateja wa ramli!!... hivi Ulaya na Marekani kuna waganga wa kienyeji hasa wapiga ramli? Ifike mahali itungwe sheria kupiga ramli iwe kosa la jinai! Mpiga ramli/mganga kifungo kisichopungua miaka 10 jela; mpigiwa ramli jela miaka 2.
Nani atunge sheria? Watunge wakati wao ndiyo wateja wao wakubwa ?... hivi Ulaya na Marekani kuna waganga wa kienyeji hasa wapiga ramli? Ifike mahali itungwe sheria kupiga ramli iwe kosa la jinai! Mpiga ramli/mganga kifungo kisichopungua miaka 10 jela; mpigiwa ramli jela miaka 2.
Mkuu, umewahi pitia huko mini?Nawaambia jambo moja tu ,ukiambiwa mtu amekili kufanya jambo fulani jua amepitia maumivu mkali sana, huwezi kubali kirahisi tu.
Kwani Tabora si imejaa Wasukuma na Wanyamwezi. Na hao Wasukuma ndio wenye tabia chafu chafu za kishirikinaTabora na wasukuma! Mlikataa shule matokeo ndiyo haya hata nchi yako jauijui!
Waganga wapo ila hawana mambo ya hovyo kiasi hiki.Lindi hakuna mauaji? Au hakuna waganga?
Wasukuma na kanda hizo wanaamini sana mambo hayo.
Nakazia hapa....Wasukuma na watu wa kanda hizo acheni ujinga.
Hivi mkiamua kuishi kwa amani kama watu wa Lindi mtapungukiwa nini?
Tabora ni ya Wanyamwezi ni lugha tu zinafanana, mbona mnaposema Moshi ni ya Wachaga wakati kuna Wahaya pia.Kwani Tabora si imejaa Wasukuma na Wanyamwezi. Na hao Wasukuma ndio wenye tabia chafu chafu za kishirikina
Sidhani kama unajua unachoongea,Waganga wapo ila hawana mambo ya hovyo kiasi hiki.
Imagine umuue mtu kisha damu yake uuze chupa sh.laki sita tu.
Huyo anayeuza laki sita kanunua kwa wauaji ambao sijui walimuuzia sh.laki 3
Ushirikina na laana zake. Na unakuta watu wazima wanajisifia sababu ya kushiriki au kufanya mambo ya kishirikina. Toka lini uchawi unamsaidia mtu?Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limekamata mtandao wa watu 9 ambao wametajwa kuhusika na tuhuma za mauaji pamoja na kuendesha biashara ya mauziano ya viungo mbalimbali vya sehemu ya mwili wa binadamu.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, ACP. RICHARD ABWAO amesema mtandao huo umekamatwa ikiwa ni siku chache tu baada ya kutokea mauaji ya kinyama ya binti mmoja huko wilayani Sikonge Mkoani Tabora.
Amesema kufuatia tukio la mauaji hayo watu watatu walikamatwa baada ya kutiliwa mashaka ambapo walimtaja mganga wa kienyeji ambaye amekuwa akinunua viungo vya mwili ikiwemo sehemu za siri za jinsia zote pamoja na matiti.
Aidha, mganga huyo ambaye hakutajwa jina lake kutokana na sababu za kiuchunguzi alikiri kuhusika na tuhuma hizo huku naye akimtaja mtu ambaye amekuwa akimuuzia viungo hivyo vya mwili ambaye pia alihojiwa na kukubali kufanya hivyo pamoja na kutekeleza matukio mengine ya mauaji ya kinyama yaliyo ambatana na kukinga damu katika chupa ambayo amekuwa akiiuza kwa kiasi cha shilingi laki 6.