udes
Senior Member
- Jan 21, 2023
- 103
- 124
Mchai chaiTabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -8
Basi bana usiku ukafika tulitoka tukaenda gesti mbali kidogo na tunapokaa ,tulivyofika tukafanya malipo then tuka choma ndani ,dah kumbe Catherine alikuwa hajawahi kabisa kufanya tendo japo haikuwa rahisi hatimae nilifanikiwa.
Asubuhi ilivyofika Catherine aliongea Mambo mengi sana ,alisema nihakikishe nakuja kumuoa sababu alisema atakae mpa usichana wake ndio mume wake japo dini tulitofautiana lakini siyo shida kwenye mapenzi ya kweli ,basi tokea siku hiyo masomo yalienda tukichoka tulikuwa tunajipooza ila uyu msichana alikuwa yupo vizuri sana kichwani tulikuwa tunasoma wote lakini alikuwa ananiacha mbali sana .
Basi tukaweka mipango ya kuoana baada ya kumaliza chuo ,tuliendelea kusoma mpaka tulivyofika mwaka wa mwisho lakini haikuwa rahisi kufika hapo Kuna muda nilikuwa nakosa ada nasaidiwa na watu wengine kama Dada na mjomba wangu mmoja hivi .
Mwisho wa siku tulifanya mtihani wa mwisho na Kila mtu akarudi kwao .
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Muendelezo soma Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app