Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu

Ngoja niishi na huu uzi

Ila huyo boss WA mbezi mpuuzi Sana, ni mtu WA kukurupuka Sana,unaletewa taarifa badala ya kuifanyia kazi na kupata uhakika unaitolea maamuzi Kwa hisia badala ya kureason, Kwanza angejiuliza hapa kuna wizi Sana,je hii sio sababu ya wezi kumhujumu huyu mtu?

Pili angepima tofauti ya mapato kabla ya usimamizi wako na baada ya wewe kuanza kusimamia je kuna tija yoyote? Kisha hapo ndo Angekuja na uamuzi sahihi.

Haya mambo yapo Sana,kuna kipindi nilikuwa meneja uajiri kampuni Fulani,kuna wafanyakazi nikawaajiri,basi wenzao wakaanza fitina, unajua boss hawa jamaa wachoreshaji Sana wanasoma mazingira halafu wanawaita majambazi! Sasa kwakuwa Mimi sio mkurupukaji nikawasikiliza hlf nikasema nitalifanyia kazi.

Baadae nikaja kugundua kwamba hao jamaa ni wapigaji kazi Wazuri Sana kwahiyo waliogopa watachukua nafasi zao,kwakuwa niliwapa kazi kama deiwaka hivi, kwahiyo ukiwa kiongozi sehemu yoyote Ile usiwe mkurupukaji,pata taarifa,tulia ichambue kisha ifanyie kazi na kisha uje na majibu.
 
Mkuu nakubaliana na wewe 💯 lakini hii iwe na mtu mwenye hekima kama ulivyofanya wewe. Lakini mtu asie na hekima wala busara anafanya maamuzi ya hafla kwa fitna aliyo letewa. Kuna watu wana PHD ya fitna wana itengeneza kama movie vile. Ndio maana huyo Boss wa mbezi kumuona jamaa akataka kuongea nae alijua alipatiwa fitna ili amfukuze jamaa. Ila baadae alijutia uamuzi wake, ndio maana akataka waongee.
 
Ngoja niishi na huu uzi

Ila huyo boss WA mbezi mpuuzi Sana, ni mtu WA kukurupuka Sana,unaletewa taarifa badala ya kuifanyia kazi na kupata uhakika unaitolea maamuzi Kwa hisia badala ya kureason, Kwanza angejiuliza hapa kuna wizi Sana,je hii sio sababu ya wezi kumhujumu huyu mtu?

Pili angepima tofauti ya mapato kabla ya usimamizi wako na baada ya wewe kuanza kusimamia je kuna tija yoyote? Kisha hapo ndo Angekuja na uamuzi sahihi.

Haya mambo yapo Sana,kuna kipindi nilikuwa meneja uajiri kampuni Fulani,kuna wafanyakazi nikawaajiri,basi wenzao wakaanza fitina, unajua boss hawa jamaa wachoreshaji Sana wanasoma mazingira halafu wanawaita majambazi! Sasa kwakuwa Mimi sio mkurupukaji nikawasikiliza hlf nikasema nitalifanyia kazi.

Baadae nikaja kugundua kwamba hao jamaa ni wapigaji kazi Wazuri Sana kwahiyo waliogopa watachukua nafasi zao,kwakuwa niliwapa kazi kama deiwaka hivi, kwahiyo ukiwa kiongozi sehemu yoyote Ile usiwe mkurupukaji,pata taarifa,tulia ichambue kisha ifanyie kazi na kisha uje na majibu.
Ni kweli mkuu ,shida ya watazania watakusaidia sawa lakini hawatataka ufanikiwe kupitia wao ,wakati wanakulipa mshahara ,unajua utofauti wa maisha upo kwenye matumizi ,Mimi sinyi pombe ,sivuti sigara ,napenda kuwa na mke na sio michepukowala mahawala ,naishi kwa hesabu ,natumia pesa niliyopanga kutumia hivyo Sina sababu ya kuacha kufanikiwa ,Sasa mtu anakuajili vizuri akiona unataka kufanikiwa anaanzisha chuki ,haiwezekani mtu umpe mshahara wa laki 5 halafu simu ya laki moja tu ikutoe imani

Aise naomba uendelee kufuatilia ,Kuna vitu vingi nitaeleza wazi ili nipate ushauri kutoka kwenu

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Shusha nondo kaka ukilaza sana unatoa hamu ya watu kusoma na kukupatia ushauri.
 
Ni kweli mkuu ,shida ya watazania watakusaidia sawa lakini hawatataka ufanikiwe kupitia wao ,wakati wanakulipa mshahara ,unajua utofauti wa maisha upo kwenye matumizi ,Mimi sinyi pombe ,sivuti sigara ,napenda kuwa na mke na sio michepukowala mahawala ,naishi kwa hesabu ,natumia pesa niliyopanga kutumia hivyo Sina sababu ya kuacha kufanikiwa ,Sasa mtu anakuajili vizuri akiona unataka kufanikiwa anaanzisha chuki ,haiwezekani mtu umpe mshahara wa laki 5 halafu simu ya laki moja tu ikutoe imani

Aise naomba uendelee kufuatilia ,Kuna vitu vingi nitaeleza wazi ili nipate ushauri kutoka kwenu

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Tawileee, tupe madini, na uondo.
 
Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -20
Basi aliendelea kunizungusha kuhusu mkataba nikaona nikazane na kazi ,kule kinondoni sikuacha kazi kwa sababu nilikuwa nakutana na watu wenye connection zau yaan watu wazito wazito hivyo nilikuwa napata hamasa ya kuendelea kupambana ,kosa kubwa nililolifanya niliwaacha baadhi tuliokuwa tunaelewana nao mwanzo hivyo basi yule bosi alikuja kupata wivu nikiwa sipo pale kazini anaenda kukutana na wale watu wake ,kumbe wanapanga mipango ya kunipindua

Sasa Kuna Dada mmoja katika wale niliowaacha akaanza kubuli mal a aje kazini mala asije Tena bila taarifa ,nikamuita ili anieleze shida ni Nini mtu kimya basi nikamwambia ukiendelea hivi itabidi utupishe
Basi nikawa nimeachana nae Wala hakubadilika ,Mimi nikaona huyu ananirudisha nyuma nikamuita Tena nikampa mshahara wake japo mwezi ulikuwa haujaisha nikamwambia siku akiwa sawa atanitafuta ila kwa Sasa aende akapumzike

Hapo kabla hayo mambo ya uyo Dada hayajaa za serikali ilitangaza ajira ,Mimi sikutaka kuomba ila wife alining'ang'ania niombe basi nikamwambia aniandikie barua ya maombi ,akaandika yangu na yake tukaenda kutuma posta

Zikapita pita siku kama 2 au tatu yule Dada akarudi alinikuta ofisini ninahudumia wateja akaingia nikamkaribisha fresh tu ,baadae akasema nimefuata mshahara wangu ,nakumbuka ilikuwa mwezi wa Ramadhan na mm pia nilikuwa nimefunga ,basi nikamwambia pesa ipi ,pesa nilikupa yote japo mwezi ulikuwa haujaisha ,basi akaanza kutukana halafu kwa sauti kweli ,basi Mimi nilichokifanya nikamshika nikamtoa nje Hilo ndio lilikuwa kosa langu yule bint akaondoka analia

Basi Mimi Sina hili Wala Lile naendelea na kazi ,nikashangaa mapolisi hawa hapa wako na yule Dada ,yule Dada akawaoneshea mkono kina kwangu ,wakaniweka chini ya ulinzi wakanichukua mpaka kituo Cha polisi ,Sasa pale kwenye kutuo Cha polisi ,akaniuliza umefunga nikamwambia ndio akasema Sasa kwa Nini unafanya vitu vya ajabu, nikamwambia vitu gani hivyo ,akasema yule Dada kasema umempiga pia ulitaka umbaka nakakuzid nguvu , nikamwambia siwezi fanya hivyo ,akaniambia fanya mawasiliano na ndugu zako kwa sababu sisi tumeambiwa tukukamate lakini oda imetoka kituo kingine hivyo baadae tunakupeleka huko

Basi nikafanya mawasiliano na wife pia nyumbani tulikuwa tunakaa na dogo mmoja mtoto wa mjomba wangu hao ndio walikuwa ndugu zangu wa dar
Basi baadae nikapelekwa hiko kituo kingine Aise

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -21
Kwa kweli wife na bwana mdogo walihangaika sana kunipatia dhamana lakini ilikuwa kazi bule basi nilihangaika kama wiki moja baadae ndio kesi ikapelekwa mahakamani ,nakumbuka moja kati ya maaskari walionisindikiza mahakamani alikuwa wa kike akaniambia tafuta wadhamini wawili sababu mahakamani wadhamini ni wawili
Tulivyofika mahakamani tukaweka sehemu ya mahabusu baadae akaanza kuitwa mmoja mmoja ,ila Kuna watu huko wanajua Mambo ya kesi ,yaani unafundishwa namna ya kujibu kesi utadhania upo na mwanasheria au hakimu

Jina langu baadae likaitwa nikasomewa mashtaka nikapinga , baadae wakasema dhamana ipo wazi ,nikawa nimedhaminiwa,kesi walisema turudi mwezi hujao

Basi Mimi nikarudi home nakumbuka dogo akaniambia nisiingie na nguo ndani ,nilizivua baadae nikaenda kuoga Kisha nikala nikapimzika ,nilivyoamka nikaelekea zangu kinondoni , nilivyofika nikaingia kwenye ofisi ya bosi nikamueleza kwa Nini sikuwepo kazini ,bosi alinipa pole baadae nikaaga nikaelekea zangu mbezi

Nilivyofika mbezi nikamkuta Dr mmoja hivi nilimuachia wakati nimeingia kwenye matatizo bado yupo ,tukasalimiana fresh tu akanipa pole

Basi Mimi nikaenda zangu kukagua mahesabu nikakuta mauzo yapo vizuri ,nikamuomba bint zile pesa ,binti akaniambia yule mzee ndio waga anakuja kuchukua pesa ,duh nikashangaa Sasa anakujaje kuchukua pesa

Basi bado Niko pale na yule binti yule mzee akafika nikamsalimia then akaniambia ana kikao na sisi wote ,Mimi nikatulia sikuongea chochote

Basi tukaingia kwenye kikao nikashangaa na yule binti alienda kunishtaki nae akaja basi mzee akaanza kuongea ,kwamba kuanzia leo hospital ipo chini yake na bwana eagle sio bosi Tena na meneja atakuwa ni yule jamaa ,yule Dr niliyemuweka pale ,bwana eagle kama anataka kazi atakuwa Dr wa kawaida hakuna kuulizia pesa Wala kuingia kwenye mahesabu

Aise Mimi sikuongea chochote nilikaa kimya tu ,baadae mzee alivyomaliza akaondoka na watu wakawa wametawanyika tu , walikuwa wamebaki wafanyakazi wawili katika hao wawili stinich alikuwa mmoja tu ,sababu yule Dr pia aliondoka kwamba ngoja akapumzike atarudi jioni kunitoa

Basi yule snich mwingine akawa ameenda kula ,tulipokuwa tunakula kulikuwa Kuna ka mwendo kidogo, nikabaki na moja kati ya wale wadada wawili ambao nilikuwa nawapenda sana maana walikuwa vizuri

Basi Mimi nikaingia sehemu ya dawa nikamwambia unaniamini akasema na kuamini sana bosi , kulikuwa na wadada wawili walikuwa very loyal to me ,na uyu pia aliyekuwepo amebaki alikuwa mmoja wao

Nikamwambia kama unaniamini naomba unifanyie msaada mmoja tu , nikamwambia nachukua dawa zote zilizomo humu akasema hakuna shida ,basi Mimi nikapakia kwenye mfuko zile dawa zote ,nikawaachia duka lipo tupu ,basi nikamwambia mm naondoka mungu akipenda tutaonana ,nikatoka na zile dawa nikaita bajaji nikapakia huyo nyumbani

Wakati huo roho inauma hatari ,japo nilijua haya yatakuja kutokea lakini sio mapema kiasi hiko ,nilijua jua tu kwa sababu yule mzee kwenye mkataba alikuwa ananizungusha nilijua lakini sio mapema kiasi hiko

Dah! ubinadamu kazi.

kama ni kweli pole sana!
 
Tupia muendelezo pls.
 
Aisee pole sana
 
Tabu ninayopata kutoka kwenye familia yangu -22

Hiyo yote ilikuwa mpango wa yule mzee ,alipata wivu kuona nafanikiwa ,kwa siku nilikuwa naigiza mil 1,saa ingine laki 8,laki 6 ,biashara ikiwa mbaya sana laki 4 ,sababu vipimo vyote vilikuwepo hasa utrasound wamama walikuwa wanapenda sana ,kwa hiyo kwa mwezi mili 18 zilikuwa hazinipigi chenga ,ukitoa 3m ya mzee ,mil 6 za watumishi ,mil 2 bili mbali mbali umeme maji ,unakuta nabaki na mil 7 au 8 kwa mwezi,na hapo ni kama miezi 3 tu tokea mzee aniachie ,wakati yeye hata kulipa watumishi alikuwa hawezi

Nilitamani nikashtaki lakini namshukuru rafiki yangu akanishauri niache ni dili na kesi kwanza , akaniambia huyo mzee hutomuweza kwanza ana pesa ,Aise rafiki yangu mungu akuweke mahali pema peponi ulinisaidia Mambo mengi sana (tumemzika mwezi wa kwanza huyu jamaa )

Unajua pale nijitoa sana niliumiza kichwa na akili roho iliniuma sana ,nilikuwa nimeshafanikiwa kununua kiwanja chanika kama unaelekea mvuti hapo katikati

Aise sikuwa na hamu nilichoka sana ukitegemea hapo Nina kesi mahakamani ,wakati Niko pale mbezi Kuna mma mmoja alikuja amekwama na mfupa wa samaki kwenye Koo ,Sasa nilimtolea simple tu mpaka akashangaa ,Sasa yule mama alikuwa yupo vizuri, sema ukweli nilimpenda sana ,nikawa nimemuaproch ,mama akasema Mimi nakukubali sana harakati zako lakini Mimi ni mkubwa sana kwako yaani hulingani hata na mwanangu wa mwisho , akaniambia ww endelea kuwa jamaa yangu tu wa kawaida ila kwenye mapenzi hapana

Basi nilivyopata Yale matatizo nikawa nimemueleza huyo mama ,yule mama akanipa namba ya rafiki yake akaniambia nimuone atanisaidia ,basi Mimi nikamtafuta yule rafiki yake ,basi huyo rafiki akaniambia nimfuate sehemu fulani hiv kama unaelekea uwanja wa taifa kulikuwa Kuna nyumba fulani kulikuwa Kuna watu wanafanya meditation basi nikaenda kumuona halafu nikamsimulia kisa changu

Basi yule rafiki wa rafiki yangu tumuite mama Tina ,mama Tina akaniambia ni vizuri tutafute njia nzuri ya kumaliza hii kesi tukisema tupambane hapa utaumia muda na pesa vitapotea ,hapa njia ambayo inabid tuitumie wewe nipe namba zake Mimi nitamtafuta huyo Dada ,basi nikampa namba

Akawa ameenda kumtembelea nyumbani kwake akamkuta na mume wake wakaongea , nashukuru sana yule mume wake alikuwa muelewa sababu alikuwa anajua kabisa kesi ni ya kusingiziwa ,basi waka taka pesa fulani hiv ili waweze kufuta kesi

Basi fedha zilitoka mwisho wa siku tuliweza kumaliza kesi ,mungu akibariki popote ulipo mama Tina (najua ukisoma uzi huu utakumbuka ) ulinisaidia kama ndugu yako na sikukulipa chochote

Basi Mimi niliendelea kufanya kazi kinondoni lakini nilikuwa na msongo wa mawazo ,baada kama ya wiki mbili hiv ajira za makufuli zikatoka kipindi kile aliajiri watu wengi sana wa afya Mimi pia nilikuwepo na mke wangu ila tulipangwa mikoa tofauti

Sema ukweli sikupenda ajira za serikali lakini niliona ngoja nikapumzikie huko ,basi tuliajiliwa lakini mikoa tofauti na mke wangu

Basi baada ya kuripoti basi tukarudi kufunga mizigo then tukaanza kufanya kazi rasmi ,aise tulipangwa sehemu nzuri japo nikijijini lakini mzunguko wa pesa ulikuwepo mkubwa has a sehemu niliyopanga Mimi

Basi tutaendelea na kazi ,Sasa mimi nilibakiwa na tupesa pesa kidogo nilikuwa kama na mil 12 ,nikaona niwekeze kule kijijini kilimo pamoja na ufugaji ulikuwa unalipa sana

Nyumbani kulikuwa na Dada yangu amezaa watoto 6 single mother halafu wababa tofauti ,njia ya kumsaidia nikaona nimpe mtaji mkubwa tu nilipa halafu nikachukua watoto wake wanne na pamoja na mfanyakazi wa kuwalea

Aise kazi ya kulea isikie tu kwa majirani

Back
Top Bottom