Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Ngoja niishi na huu uzi
Ila huyo boss WA mbezi mpuuzi Sana, ni mtu WA kukurupuka Sana,unaletewa taarifa badala ya kuifanyia kazi na kupata uhakika unaitolea maamuzi Kwa hisia badala ya kureason, Kwanza angejiuliza hapa kuna wizi Sana,je hii sio sababu ya wezi kumhujumu huyu mtu?
Pili angepima tofauti ya mapato kabla ya usimamizi wako na baada ya wewe kuanza kusimamia je kuna tija yoyote? Kisha hapo ndo Angekuja na uamuzi sahihi.
Haya mambo yapo Sana,kuna kipindi nilikuwa meneja uajiri kampuni Fulani,kuna wafanyakazi nikawaajiri,basi wenzao wakaanza fitina, unajua boss hawa jamaa wachoreshaji Sana wanasoma mazingira halafu wanawaita majambazi! Sasa kwakuwa Mimi sio mkurupukaji nikawasikiliza hlf nikasema nitalifanyia kazi.
Baadae nikaja kugundua kwamba hao jamaa ni wapigaji kazi Wazuri Sana kwahiyo waliogopa watachukua nafasi zao,kwakuwa niliwapa kazi kama deiwaka hivi, kwahiyo ukiwa kiongozi sehemu yoyote Ile usiwe mkurupukaji,pata taarifa,tulia ichambue kisha ifanyie kazi na kisha uje na majibu.