β[emoji769] Mzungu kakasirika. Afanyi bihashara kichaaa kama mchina anauza dawa kwa South Africa people kwa kujua idadi ya wagonjwa na ndio aliposhikilia rungu la kuziazibu nchi za Africa na sehemu zingine.Kama aliweza kupeleka ndege Madagascar, hili kwake ni dogo. Hapo South Africaetu kuna pharmacy za watu binafsi wana supply ya moja kwa moja kutoka Ulaya na Marekani.
Ukweli mchunguNasema hivi: hamuwezi kuwa mnagongana peku daily harafu mnasubiri beberu aje kuwapa condoms na ARVs bure. Kama mnaweza kununua ndege kwa cash money, mnaweza kulipia condoms ninyi[emoji846]
β[emoji769] Yaani iyo kauli, baada ya kuongea tuuuu, uwezi kukuta dawa inapatikana kirahisi rahisi itapatikana kwa wenye fedha zao tuuu na viongozi, maaskari na madaktari. Hiii itakuwa dawa kupatikana kama dawa za kulevyaHili jambo ni hatari sana
Ukweli ni kwamba hizi ARV zimesaidia sana kupunguza maambukizi hasa kwa sababu watu wanaanza kutumia mapema. Sasa zikikosekana tutaanza kutafutana hapa
Zile Bilioni 27,mlizoomba EU zilikuwa za nini km kweli mna huo uwezo?.Sisi ni matajiri hakuna shida, tunajenga SGR, Bwawa kubwa la kufua umeme wa megawati 2000+, tumenunua ndege 11, mbali na ujenzi wa vituo vya afya, nk hivi vyote ni fedha za ndani nini dawa za magonjwa nyemelezi!!
Maboko awe makini kusema ni miaka miwili tu
Kweli eennhh?!!!!.Hakuna mtu atapukutika,,bajeti ya haya madawa haifiki hata bilioni 50,,nchi haiwezi kosa bilioni 50 banah...[emoji134][emoji134]
Potelea mbali,kufa ni kufa tu!,Ucheki afya usicheki afya,kufa kupo pale pale.Imagine unasoma ujumbe kama huu na hujawahi kabisa kucheck afya yako kujua upo upande upi...
Mkuu wangu mimi simzungumzii huyo Ina uliemtaja hapo!mwanangu sasa huko unaenda mbali. hujui Inna ni wife wangu kabisa , acha mizaha
Magufuli oyeeee
Moshi. Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya Ukimwi wamejitoa.
Taarifa hiyo imetolewa jana na mkurugenzi mtendaji wa Tacaids, Leonard Maboko kwenye ufunguzi wa wiki ya Ukimwi duniani uliofanyika viwanja vya Shule ya Msingi Mandela vilivyopo Kata ya Pasua, Moshi mjini.
Hata hivyo, alisema mfuko ulioanzishwa na tume hiyo (AIDS Trust Fund) ulioanzishwa mwaka 2015 utasaidia kuziba pengo litakalokuwepo kwa miaka miwili.
βWafadhili wameendelea kupungua nchini lakini huu mfuko wa ndani utasaidia kupunguza haya mapengo,β alisema Maboko.
Sasa hivi, alisema wafadhili wanatoa dawa za ARV lakini dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi wamejitoa.
Alisema mfuko huo utawasaidia Watanzania wanaohitaji dawa zilizokuwa zinatolewa na wafadhili waliojitoa.
Kwa upande wake, mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira alisema takwimu zinaonyesha maambukizo ya Ukimwi yamepungua mkoani humo kutoka asilimia 7.2 mwaka 2004 mpaka asilimia 2.6 mwaka 2018.
Aidha aliwataka wananchi kujitokeza kupima afya zao kwani kwa kufanya hivyo kutasaidia kujua hali za afya zao na kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi.
Kilele cha siku ya Ukimwi duniani ni Desemba mosi.
Chanzo: Mwananchi
MATAGA wanafikiri CHADEMA ndio watadhurika, kumbe nao ndio watumiaji wakubwa ARV .

πππMkuu acha uoga.
Hali ikoje huko field mkuu?
Wamekuchochea wapi?Chadema hao wamechochea
Anafikiri kila mtu mwenye VVU alijitakia kwa ngono zembe. Wengine maskini hata hatia hawana wamezaliwa tu wanayo. Alafu mtu anakuja kuongea ugoro huku bila kufanya uchunguziWee unasemaje, yaani akili zako kama za mjinga mmoja ambaye akili yake haifiki hata robo kilo. Unahisi wakijitoa itakuwaje kwa wagonjwa wanaohitaji hizo dawa.
Anyway nisikulaumu sana huenda usijue mambo yalivyo kwenye huduma za kiafya kwenye vituo vya kutolea huduma hasa hizi dawa za kufabaza VVU.
Hivi rafiki kumbe na wewe una hasira?Usimtaje bwana Mungu wako hovyo hovyo/bure.Mungu huwa hanusuru wajinga.Baada ya CCM kulawiti uchaguzi na wananchi wakakenua meno,mikwaju ya bakora inaanza kuja.The worst is yet to come!
Rafiki siku hizi umebadilisha avatar nikakusahau!Hivi rafiki kumbe na wewe una hasira?
Na wakati akiomba kura hakusema ataleta VVU.Subirieni kauli ya Amaboko endapo mtaanza kufa kama mende...
"Serikali yangu haijakutumeni mkagongane kifala! Nyie kufeni tu [emoji23][emoji23][emoji23] watazaliwa wengine"