Mwamba wa Kifo
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 268
- 164
Swala hapa sio kupata ukimwi kwa ngono zembe au namna yeyote ile.Anafikiri kila mtu mwenye VVU alijitakia kwa ngono zembe. Wengine maskini hata hatia hawana wamezaliwa tu wanayo. Alafu mtu anakuja kuongea ugoro huku bila kufanya uchunguzi
ARV zinapunguza tu kasi ila hazifugi wala kuondoa tatizo.Swala hapa sio kupata ukimwi kwa ngono zembe au bahati mbaya.
Swala ni ARV zinafuga tatizo au zinaondoa tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao waliokula fedha za Covid ndio waokoe Maisha, au hao waliouza dawa za aids zilizo expire ndio leo wawe na uchungu wa Maisha ya wa Tz?Kitakachofuatia ni serikali kuomba mkopo wa dharura WHO kushirikiana na World Bank ili kuokoa maisha ya waathirika.
Nielimishe hapa, zinapunguza kasi ya nini?ARV zinapunguza tu kasi ila hazifugi wala kuondoa tatizo.
[emoji28][emoji28][emoji28]Leo nilikuwa na appointment ngoja nicancel...
Daah kama nilitamni hivi mkuu uendelee kufunguka , huwa najiuliza hivi ni kwanini ziwepo za kurefusha maisha lakini si kutibu kabisa au kuondoa tatizo.Jibu ni moja tu hizi dawa hazitibu ukimwi. Zinarefusha maisha. Kama zinarefusha maisha, tujiulize sisi waathirika hatuna nyege?. Kama tunanyege tunazimaliza vipi?, Je kwa kupiga nyeto au kwa kushiriki tendo?.
Tuache ujinga, narudia tena tuache ujinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Au watanzania tujifunze kutumi dawa zetu za asili maana kwanza kisayansi hakuna ugonjwa unaoitwa ukimwiUtasikia "kwani mlipokuwa mnanichagua niliahidi kuleta ukimwi?"View attachment 1635247
Wapi nimetaja ukimwi kama ugonjwa?Au watanzania tujifunze kutumi dawa zetu za asili maana kwanza kisayansi hakuna ugonjwa unaoitwa ukimwi
Tuendelee kujifukiza corona bado ipo
Kama ni kweli basi kifuatacho ni Gesti kulalwa na wageni tu,Rate ya ndoa kupungua maana wengi watakuwa wanaogopa kupima VVU,Mzunguko wa pesa kupungua kwa sababu rate ya kuhonga na udangaji itapungua kwa kasi,Tz kuendelea kushikilia rekodi ya watu wasio na furaha kwa sababu ya kujiuliza swali "nitaishije".Ruksa kuweka nyongeza!.Hata hivyo neno langu siyo sheria.Yamkini yule aliyesema amebadilisha uwanja wa mapambano maybe ndo kama hivi.
Moshi. Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids) imesema wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya Ukimwi wamejitoa.
Taarifa hiyo imetolewa jana na mkurugenzi mtendaji wa Tacaids, Leonard Maboko kwenye ufunguzi wa wiki ya Ukimwi duniani uliofanyika viwanja vya Shule ya Msingi Mandela vilivyopo Kata ya Pasua, Moshi mjini.
Hata hivyo, alisema mfuko ulioanzishwa na tume hiyo (AIDS Trust Fund) ulioanzishwa mwaka 2015 utasaidia kuziba pengo litakalokuwepo kwa miaka miwili.
“Wafadhili wameendelea kupungua nchini lakini huu mfuko wa ndani utasaidia kupunguza haya mapengo,” alisema Maboko.
Sasa hivi, alisema wafadhili wanatoa dawa za ARV lakini dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi wamejitoa.
Alisema mfuko huo utawasaidia Watanzania wanaohitaji dawa zilizokuwa zinatolewa na wafadhili waliojitoa.
Kwa upande wake, mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira alisema takwimu zinaonyesha maambukizo ya Ukimwi yamepungua mkoani humo kutoka asilimia 7.2 mwaka 2004 mpaka asilimia 2.6 mwaka 2018.
Aidha aliwataka wananchi kujitokeza kupima afya zao kwani kwa kufanya hivyo kutasaidia kujua hali za afya zao na kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi.
Kilele cha siku ya Ukimwi duniani ni Desemba mosi.
Chanzo: Mwananchi
Hakuna mtu atapukutika,,bajeti ya haya madawa haifiki hata bilioni 50,,nchi haiwezi kosa bilioni 50 banah...[emoji134][emoji134]
Tukaombe kwa mabebelu!Kitakachofuatia ni serikali kuomba mkopo wa dharura WHO kushirikiana na World Bank ili kuokoa maisha ya waathirika.
mkuu cio arv. hizo bado ztaendelea kuletwa. walizokata ni za magonjwa nyemelezNina wasi wasi na hiyo takwimu.
Hadi sasa bado dawa za malaria tu ni changamoto,unawezaje kuzungumzia ARV ambazo si chini ya elfu 30 kwa dozi za mwezi mmoja kwa kila mgonjwa?