Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

TEC watumie busara zaidi maana hiki chama chakavu hakikawii kuwaita BAKWATA ili mgogoro wa kuligawa Taifa uanze.

Kuna kundi la UVCCM linawakusanya Mashehe huku TMK ni kusambaza sumu za Udini

Umoja wetu wa Kitaifa ni TUNU ya kujivunia.
Serikali ni dubwana kubwa sana Tusidanganyane please πŸ™
 
ndugu @Sir John Roberts
Huyu ni wa kuhurumia tu ndugu zang, ashakula vya watu Dubai na bahasha juu unategemea nn humu zaid ya kupambana na wanaopinga mkataba wa DP world? Usione humu wanakurupuka kuleta threads kila cku mkuu kiujumla hali c hali huko!!!
 
Umeshaambiwa TEC hawana maneno mengi, wakishasema lao wamemaliza, nyie nunuaneni huko Temeke kama mafungu ya nyanya mseme mtakalo, hamna madhara yoyote.
Mimi sio Mdini kama wewe usijaribu kunihusisha na Udini kama huna hoja acha upuuzi
 
Angalau umeandika jambo inagwa badala ya kusema serikali izingatia ushauri kama upo, umepanga tena zitumike mbinu za kukabiliana nazo! Sasa kama ni makabiliano tunaazia Hapa Hapa tulipoishia Kwa namna ya taratibu Wala isiyotumia nguvu. Invisible powe ! Huyo jamaa uliyemnukuu ni mfuasi wala sio mwanaccm kwani haijui CCM hata kidogo anaijua Kwa kuona rangi zake )kuwa za kijani na propaganda kama za akina Mwashambwa!
Hoja zijibiwe Kwa hoja na serikali ifanye marekebisho! Hakuna tatizo katika Hilo!

Kingine ni k amba Kuna watu tayari walishatongozwa na DP 🌎 Kwa njia ya misaada ya kibinaadamu wasijue mwarabu alikua atakataliwa hivyo akaandaa kundi la kumtetea

View: https://youtu.be/D2POHltursgLakini Kwa taarifa na tetesi zilizopo aliwapa fedha nyingi sana watawala (rushwa) ili wamkubalie ndio mana unaona Mbarawa na PM walitofautiana ni namna Gani DP alipatikana kama mzabuni Kwa kukiuka sheria ya manunuzi.

Ushahidi mwingine ni wabunge wote Kwa pamoja kuwa na sauti Moja ya kuidalalia dP Kwa kuuliza maswali chokonozi kinafki katika vikao vya bunge, huku wajumbe wa Kamati ya miundo mbinu wakiwa na ukwasi wa kutosha ghafla mara baada ya ziara ya Dubai.

Waandishi na wasaini kupelekwa Dubai na baadae wao Kuja kuhubiri nchi nzima na kuwananga wanaokosoa mkataba huku wakila maisha ya Fahari na Anasali, Maulid na wenzie aibu!
Ulifuatilia mgogoro wa Djibouti na DP world ni mamlaka kuilalamikia DP Kwa vitendo vya Rushwa na mkataba unaotoshia amani na usalama wa nchi.

Ni kusikitisha zaidi Chama Cha Mapinduzi na viongozi wa serikali wameegemea kuielezea mafaida ya mkataba na kuacha kujibu hoja za msingi kabisa za kisheria na za kimkataba. Hii ni dalili kwamba Kuna mazingira ya Rushwa ambayo kurejesha fedha ni ngumu isipokua kuwakandamiza wanaokosoa ili mradi mwarabu apewe bandari kama mwekezaji binafsi (Dr mwambukusi et al)

Kuna provisions katika hiyo IGA inasema kuwa IGA ikishasainiwa haibadiliki tena na serikali Haina uwezo wa kufanya hivyo na ikifanya hivyo itashtakiwa na kutakiwa kulipa. Hii ni hofu kubwa Kwa watawala kwamba yunarudi kule kule kwenye MIGA ambapo sasa sehemu kubwa ya mapato yetu yanatumika kuservice deni linalotokana na uzembe huo huo!

Magufuli aliliomba bunge mwaka 2017 litunge Sheria za usimamizi wa Maliasili ya Taifa. Leo hii njama zimeshafanyika na bunge lnaenda kubadili Sheria hiyo ili kukidhi mahitaji ya mwarabu badala ya mkataba ubadilishwe kukidhi mahitaji ya Mtanzania.
 
Sidhan kama Lord denning Faizafoxy covax HIMARS choiceVariable Lucas mwashamba na yule Sir Robert wa mchongo kama watakuelewa hapa!!!
 
Kuna watu watabisha. Ila ukweli ndiyo huo. Kanisa Katoliki ni litaasisi likubwa sana duniani. Tena bora hata siku hizi limepungua nguvu.

Miaka ya Middle Ages lilikuwa na uwezo wa kumuondoa Mfalme wa nchi yoyote ile duniani, anaye enda kinyume na matakwa ya Kanisa.
 
Kama TEC wana ubavu mbona kwa Magufuli walinywea.
Huna kumbu kumbu au hujui au umeamua kuwa miongoni mwa wajinga wasiofutailia mambo. Rejea nyaraka za pasaka na kwaresma!
Na agizo la serikali kutupiliwa mbali!
Niwemugizi ambaye Magufuli alimnyang'anya hati ya kusafiria na kutaka kumnyima pia uraia halali ndio aliyemwekea udongo wa kwanza kwenye shimoni lake. Uwe na kumbu kumbu sio unakaza fuvu tu
 
Mkataba mbovu wa HOUMA mbona TEC hawakuujadili?
 
Watu wanasahau sana. Juzi tu hapa Maaskofu wa Congo wamemtoa Kabila kwenye Urais. Mwenyezi Mungu amjaze hekima Rais Samia, hata kama hatumpendi.
Acha upumbavu na uginingi!
Rais yupi wa Congo aliondoloewa na Maaskofu au umesimuliwa vijiweni.
Maaskofu waliingilia kati baada ya Kabila Joseph aliyemaliza muda wake kuanza kufanya Hila za kusogeza uchaguzi mbele hali ambayo inakiuka katiba na ingeitumbukiza DRC kwenye machafuko, na ilizaa matunda kwani uchaguzi ulienda Kwa amani na Tsisheked ndio Rais. Tuambie Rais yupi aliondoloewa madarakani na Maaskofu Katoliki DRC
 
Hata VP Phillip Mpango leo alikuwa church, na ameupokea waraka kwa unyenyekevu mkubwa.
 
Mkataba mbovu wa HOUMA mbona TEC hawakuujadili?
Jibu maswali yangu kabla hujauliza yako na nitayajibu usikaze fuvu! Kila topic ma muda wake! Mambo ya mbona huwa yanawaingiza wapumbavu wengi matatani kama wewe.
 
Wakikaa kimya ujue kuna michakato na mikakati inaandaliwa kutimiza lengo. Zamani Parokia iliitwa "misheni".
 
 
Serikali ni Dubwana kubwa sana kuliko issue hii ya Bandari. !!

Tusubiri tuone. !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…