Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
sidhani kama kuna umuhimu au ulazima wa kwenda kuhani ikiwa huna nafasi ya kufanya hivyo,
msiba hua hauishi, anaweza kwenda wakati mwingine akiwa na nafasi baadae,

hata hivyo mapicha na makamera ya video misibani haifai kabisa
 
Msiba huwa hauishi, elewa hilo kwanza
 
Ina wezekana alituma muwakilishi kama ilivyokuwa kwa baba mzazi wa katibu mkuu kiongozi huko Njombe
 
sidhani kama kuna umuhimu au ulazima wa kwenda kuhani ikiwa huna nafasi ya kufanya hivyo,
msiba hua hauishi, anaweza kwenda wakati mwingine akiwa na nafasi baadae,

hata hivyo mapicha na makamera ya video misibani haifai kabisa
Umuhimu upo kama baba wa kiongozi au mteuliwa wake. Ulazima upo maana huo ni msiba.
Na usitie shaka. Kumbuka ni msiba wa kiislamu. Haunaga siku nyingi hivo mambo yataenda tu.
 
misibani mapicha na makamera ya video haifai gentleman,

DDC mlimani park walieleza vizuri zana mbona
Mbona videos na picha za wazalendo wakiwa wamezimia huku wameshikilia vifurushi vyenye samaki pale uwanja wa uhuru zilizagaa na takwimu za wazalendo walikuwa wakienda kuishangaa ile maiti zikitolewa na akina January kila uchwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…