Tafadhali naomba kujua ni Maombi gani hapa Mwenyezi Mungu anayependa na Kuyabariki upesi?

Tafadhali naomba kujua ni Maombi gani hapa Mwenyezi Mungu anayependa na Kuyabariki upesi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Je,

1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?

2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?

3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
 
We omba tu kwa imani yako vyovyote utakavyoomba ukiamini Mungu anakusikia na atakujibu basi
 
Kipimo chako ni nini kujua yule anayesali muda mfupi ama muda mrefu "Hamaanishi"?

Ni ngumu sana kuyajua ya moyoni mwa mtu ama ya imani za wenzetu.

Cha msingi kila mtu anatakiwa aombe akiwa na "Spiritual Connection" na Mungu wake, iwe anasali kwa muda mfupi ama muda mrefu.
 
Mbona hili liko wazi kwenye maandiko? Hata kama sikumbuki lakini yanasema .....usipayukepayuke......, halafu yanasema ...jifungie chumbani kwako..........
Kiujumla ukiachana na maombi anza na matendo mema kwanza halafu maombi yawe mafupi, akili yote ikiwa inaona Muumba wako hata kama hujawahi kumwona we assume image yoyote.
 
Je,

1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?

2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?

3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
Hiyo namba 1 na 2 mbona hujaweka matendo yao,ingawa kwa akili ya haraka inaonyesha wewe ni namba 3...
 
Unapofanya Maombi hakikisha hauna mawaah au kasoro, kinyongo, hasira, wivu na dhambi.
Kuna maombi yanayopenya katika mbingu 1 na 2 na kufika mbingu ya 3 kwa muumba na kujibiwa. Maombi haya ndiyo huwa moshi nzuri wenye harufu nzuri hekaluna mwa Bwana. Maombi haya ni ya watakatifu na Maombi ya watu wanaofunga

Kuna maombi yanayo zuiliwa mbingu ya 2 yenye kasoro na mapepo, na haya Maombi yanayozuiliwa ndiyo uchukuliwa na mapepo kwenda kuyachunguza yanatoka kwa nani?
Maombi haya shetan huchukua huenda kushitaki kwenye kiti cha hukumu kwa Bwana
Mtu huyu astahili kupewa anachoomba nakutoa sababu mfano wakati ana omba ametoka kugombana na mkeo au mwezake ameshindwa kuomba msamaha, wakati anaomba ana hirizi yangu

Kiti cha hukumu kipo katikati upande 1 kuna malaika wema upande Mwingine malaika wabaya mashetani mapepo.
Mapepo wanapeleka mashataka na ushahidi hafai kupewa maombi yake. Malaika wema wanatetea Bwana mtu huyu anastahili kupewa anachoomba kwa sababu ulikufa kwa ajili yake na pia anayo imani ya kuliita jina lako hakwenda kwa waganga wa kienyeji na washirikina.

Kiti cha hukumu kinafanya maamuzi upewe au usipewe.
Kuna muda na wakati wakapata ulichoomba
Ukipewe tu Shetan na mapepo wanalalamika unaona alivyompendelea yule Binadamu. kikosa cha mapepo huandaliwa kuzuia ulichopewa. Pale ndipo Mtu huanza kukata tamaa Maombi yangu hayajibiwa na kuliacha jina la Bwana .
 
We omba tu kwa imani yako vyovyote utakavyoomba ukiamini Mungu anakusikia na atakujibu basi
Hakuna

issue sio imani kuwa unayo au huna na wala issue sio Sala ndefu au fupi wala issue sio unasali kwa kelele au kimya kimya au kwa pozi ya wima au magoti au umechuchumaa au uko kifudifudi

Issue ni uhusiano wako na Mungu ukoje. ukiwa mzuri anasema ombeni lolote nitawapa
Issue kubwa mahusiano. IMANI HATA SHETANI ANAYO

msisitizo mKubwa uwe kuwa na uhusiano mzuri na Mungu sio hizo porojo zingine za nje za taratibu za kidini za maonyesho mbele za watu za kuonyeshana Nani Ana pozi zuri la kuomba Mungu kuliko mwingine
 
Je,

1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?

2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?

3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
Haggai 1:8

Pandeni milimani, mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema Bwana.
 
Je,

1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?

2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?

3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
Hayo maswali mungu ndo alitakiwa kujibu chakushangaza mwanadamu ndo anajibu.majibu yote yatakua yakufikirika.
 
Hakuna

issue sio imani kuwa unayo au huna na wala issue sio Sala ndefu au fupi wala issue sio unasali kwa kelele au kimya kimya au kwa pozi ya wima au magoti au umechuchumaa

Issue ni uhusiano wako na Mungu ukoje. ukiwa mzuri anasema ombeni lolote nitawapa
Issue kubwa mahusiano. IMANI HATA SHETANI ANAYO

msisitizo mKubwa uwe kuwa na uhusiano mzuri na Mungu sio hizo porojo zingine za nje za taratibu za kidini za maonyesho mbele za watu za kuonyeshana Nani Ana pozi zuri la kuomba Mungu kuliko mwingine

Kwahiyo unajuaje kama una uhusiano mzuri na Mungu au hauna,
Kama siamini nikiomba Mungu anasikia, kama siamini Mungu ana exist, kama nikisoma neno I don’t see him through his word then nakuaje na relation nae…..

Okay, sina relation na Mungu then how can create hiyo relationship na yeye na nikajua kua yes now nina uhusiano na Mungu?
 
Kitu Kwahiyo unajuaje kama una uhusiano mzuri na Mungu au hauna,
Kama siamini nikiomba Mungu anasikia, kama siamini Mungu ana exist, kama nikisoma neno I don’t see him through his word then nakuaje na relation nae…..

Okay, sina relation na Mungu then how can create hiyo relationship na yeye na nikajua kua yes now nina uhusiano na Mungu?
Kitu kwanza huwezi kuwa na uhusiano na mtu usiyemjua

Kwa hiyo hatua ya kwanza ni kumjua huyo Mungu ni Nani kupitia neno Lake Biblia mjue kwanza

La pili ujue yeye anataka nini kwako ili muwe na uhusiano sio wewe unataka nini kwake ili muwe na mahusiano!! !! Anza kwake kwanza anataka nini kwako muwe na mahusiano,?

Ukishajua anataka nini kwako fanya lolote atakalokuambia.

Anza kuwa mtendaji zaidi kwa yale anayokuambia kupitia Biblia
Utaanza kufungua mlango wa mahusiano

Uwe consistent kwenye uhusiano na jikite zaidi kutenda yale yake ataakayo utende utashangaa mengi tu mazuri unayapata Hata bila kuomba. Anasema utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa
Mahusiano na Mungu Yana uwezo mkubwa wa kuleta Baraka nyingi kwenye maisha ya mtu kuliko maombi yeyote ya namna zozote na staili zozote za dini yeyote au kanisa lolote
 
Kitu kwanza huwezi kuwa na uhusiano na mtu usiyemjua

Kwa hiyo hatua ya kwanza ni kumjua huyo Mungu ni Nani kupitia neno Lake Biblia mjue kwanza

La pili ujue yeye anataka nini kwako ili muwe na uhusiano sio wewe unataka nini kwake ili muwe na mahusiano!! !! Anza kwake kwanza anataka nini kwako muwe na mahusiano,?

Ukishajua anataka nini kwako fanya lolote atakalokuambia.

Anza kuwa mtendaji zaidi kwa yale anayokuambia kupitia Biblia
Utaanza kufungua mlango wa mahusiano

Uwe consistent kwenye uhusiano na jikite zaidi kutenda yale yake ataakayo upended utashangaa mengi tu mazuri unayapata Hata bila kuomba. Anasema utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa
Mahusiano na Mungu Yana uwezo mkubwa wa kuleta Baraka nyingi kwenye maisha ya mtu kuliko maombi yeyote ya namna zozote na staili zozote za dini yeyote au kanisa lolote

Thank you nimekuelewa [emoji4]
 
Je,

1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?

2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?

3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
Huyo namba 2 ondoa najua hata wewe unajua hayuko sahihi hauhitaji kuwa mtabe wa Theolojia kulijua hilo.

Mungu hajibu maombi yetu kwa sababu ya wema tuliotenda,Biblia inasema yale ambayo wanadamu tunayaona ni mema kwa standard za Mungu hata hayo ni uchafu bado(Isaya 64:6).Ni kwa neema tu.Kwa kusema hili namuondoa pia mtu namba 3.

Kusali ni kuongea na Mungu.Kurefusha muda wa maombi haimaanishi kuwa ndio maombi yako yatajibiwa.Mungu anajua mahitaji yako kabla hujamuomba.Lakini pia kama kufupisha sana sala inamaana hauenjoy kuongea na Mungu.Maana yake ni kwamba hauna mahusiano na Mungu.(You dont have personal relationship with God).

Mungu hajaweka limit ya muda ya kumuomba lakini kutokuwa na interest ya kusali muda mrefu ni indication kuwa you dont love him.That means you pray kwa sbabu una shida otherwise usingesali. Binafsi when i go praying i dont count the time but the more i pray the more harder it gets to stop. Words keep coming and i enjoy it. Sometimes i pray for a long time and some time i dont.It just comes naturally.

I BELIEVE condition pekee ya kuexperience answered prayers is to ACCEPT and BELIEVE IN JESUS CHRIST. Beleiving in Jesus makes us righteous in the eyes of God.It gives us privileges of becoming children of God through his Son and that gives us confidence of approaching God like a Child approaching his Father.

You want answered prayers ? ask anything according to God's will by the name of Jesus his Son.

✝ John 16:23

"“.....................Most certainly I tell you, whatever you may ask of the Father in my name, he will give it to you."
 
Mungu hana Masharti.siku Nyingine Mwambie Tu Mungu Nimekuja Kukusikiliza Wewe Unasemaje. Maana Maisha Yangu Unayajua Sina Haja Ya Kukuomba Nipe Ninachostahili hata Kwa Ziada yake
Hiki ni kiburi.Mtu wa hivi hana haja ya kusali kwa sababu kabla hujasema haya tayari anajua shida yako so whats the point of even stating this?
 
Back
Top Bottom