GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hiyo namba 1 na 2 mbona hujaweka matendo yao,ingawa kwa akili ya haraka inaonyesha wewe ni namba 3...Je,
1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?
2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?
3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
HakunaWe omba tu kwa imani yako vyovyote utakavyoomba ukiamini Mungu anakusikia na atakujibu basi
Haggai 1:8Je,
1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?
2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?
3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
Hayo maswali mungu ndo alitakiwa kujibu chakushangaza mwanadamu ndo anajibu.majibu yote yatakua yakufikirika.Je,
1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?
2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?
3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
Hakuna
issue sio imani kuwa unayo au huna na wala issue sio Sala ndefu au fupi wala issue sio unasali kwa kelele au kimya kimya au kwa pozi ya wima au magoti au umechuchumaa
Issue ni uhusiano wako na Mungu ukoje. ukiwa mzuri anasema ombeni lolote nitawapa
Issue kubwa mahusiano. IMANI HATA SHETANI ANAYO
msisitizo mKubwa uwe kuwa na uhusiano mzuri na Mungu sio hizo porojo zingine za nje za taratibu za kidini za maonyesho mbele za watu za kuonyeshana Nani Ana pozi zuri la kuomba Mungu kuliko mwingine
Kitu kwanza huwezi kuwa na uhusiano na mtu usiyemjuaKitu Kwahiyo unajuaje kama una uhusiano mzuri na Mungu au hauna,
Kama siamini nikiomba Mungu anasikia, kama siamini Mungu ana exist, kama nikisoma neno I don’t see him through his word then nakuaje na relation nae…..
Okay, sina relation na Mungu then how can create hiyo relationship na yeye na nikajua kua yes now nina uhusiano na Mungu?
Kitu kwanza huwezi kuwa na uhusiano na mtu usiyemjua
Kwa hiyo hatua ya kwanza ni kumjua huyo Mungu ni Nani kupitia neno Lake Biblia mjue kwanza
La pili ujue yeye anataka nini kwako ili muwe na uhusiano sio wewe unataka nini kwake ili muwe na mahusiano!! !! Anza kwake kwanza anataka nini kwako muwe na mahusiano,?
Ukishajua anataka nini kwako fanya lolote atakalokuambia.
Anza kuwa mtendaji zaidi kwa yale anayokuambia kupitia Biblia
Utaanza kufungua mlango wa mahusiano
Uwe consistent kwenye uhusiano na jikite zaidi kutenda yale yake ataakayo upended utashangaa mengi tu mazuri unayapata Hata bila kuomba. Anasema utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake na hayo mengine mtazidishiwa
Mahusiano na Mungu Yana uwezo mkubwa wa kuleta Baraka nyingi kwenye maisha ya mtu kuliko maombi yeyote ya namna zozote na staili zozote za dini yeyote au kanisa lolote
Huyo namba 2 ondoa najua hata wewe unajua hayuko sahihi hauhitaji kuwa mtabe wa Theolojia kulijua hilo.Je,
1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?
2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?
3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
Hiki ni kiburi.Mtu wa hivi hana haja ya kusali kwa sababu kabla hujasema haya tayari anajua shida yako so whats the point of even stating this?Mungu hana Masharti.siku Nyingine Mwambie Tu Mungu Nimekuja Kukusikiliza Wewe Unasemaje. Maana Maisha Yangu Unayajua Sina Haja Ya Kukuomba Nipe Ninachostahili hata Kwa Ziada yake