Tafadhali naomba leo Saa 3 Usiku tusipoteane hapa Jukwaani JamiiForums!

Leo ndiyo Muajentina Koko atawajua Oya Oya wa Mafurikoni kwa jinsi ambavyo Watamtukana, Watampopoa na hata kumpiga / kumuwamba Makofi akifanya mzaha.

Kudadadeki.
Kiko wapiii? Bado hamjasema!
 
Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.

Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
🤣🤣🤣
 
Kwamba???
 
Itakua mlitumia wale wataalam wa mazingaombwe wanaotoaga burudani mashuleni maana kama vile hamjafanya kitu au ndo mlienda kabisa kuwabust yanga,wataalam wenu wamewapiga misumari waarabu badala ya kuwapiga Yanga
 
Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.

Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
Tuko hapa unasemaje sasa? Yanga sio saizi ya mijadala yenu Makolo, tulieni kuepuka aibu hizi ndogo ndogo.
 
[emoji23][emoji23]
1704621171281.jpg
 
Back
Top Bottom