Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

Bora hata majobless tumekumbukwa.
tunawapenda sana hamna mambo makubwa mnadumisha ndoa, ndoa inakuwa yenye furaha, hao wenzenu ni vimeo sana ndio maana wengi ni single mother, hawakai na wanaume wale, shida yao wapate watoto wawili imetoka hiyo
 
Kama unaoa mwanamke mwenye elimu basi hakikisha una elimu kubwa kushinda yeye na kipato kikubwa kushinda yeye. Hapo kama akili zake ni fupi basi ndio atakuheshimu. Ila mwanamke mwenye akili hata awe nani lazima atamuheshimu mwanaume.

Hivyo tatizo sio kuoa mwanamke msomi, bali tatizo ni kuoa mwanamke asiye na akili wala heshima. Na vilevile kama huna akili basi usioe mwanamke aliyesoma, kikawaida ili kuwe na heshima ni lazima mwanaume amzidi mwanamke akili.

Mimi hakuna mwanamke atakayenisumbua hata awe ni astronaut anafanya kazi nasa.
 
Hao dawa yao ni kuwapiga shoo tu, wakipata watoto hupenda kulea wenyewe na ndio shida yao ni kupata watoto wawili hata kwa baba tofauti, taaluma ya ndoa hawaitaki na hawaiwezi. Kama kuna mwanamke msomi na ana ajira yuko ndoa muda mrefu usipungua miaka kumi huku mume wake ni mtu wa kipato cha chini kazidiwa na mke wake na ndoa yao iko shwari huyo mwanamke apewe maua yake. Tena wachungaji wake wamtunuku tuzo na iwe rejea kwa mafunzo ya ndoa
 
Kweli kabisa.kwanza wamama wa nyumbani NI waoga kuachwa halafu Adabu lazima awe nayo.
Kwanini umekimbilia kwenye point ya kuachwa?na kwanini waachwe kama majukumu yao yote wanayatekeleza!!

Wewe mwenye kazi na mshahara ndiyo huachwi eti?kwa sababu huwa unaweka mshahara wako mezani unaingia kwenye budget ya familia au siyo!na huwezi kumuheshimu mumeo kwa sababu una kipato na kazi,hahah vijana watapata tabu sana.
 
💯
Vijana wamekuwa wavivu wakitarajia mteremko.

Suprisengly, they end up disappointed.
That's the point!!!

Wapumbavu wanadanganyana eti mke atatafuta hela ya kodi ya nyumba wao watatafuta ada za watoto hawajui hela ya mwanamke huwa haidondoki,I swear mwanamke asivyokuwa na akili na degree yake kichwani atamtaka mume na take home yake 750K still ampe hela ya salon alipe kodi alipe ada na ajenge nyumba na kila siku asubuhi wanatoka wote kwenda kazini.
 
kwanini mnateseka, ni kwasababu ya viburi, jeuri na ujuaji wenu uliotokana na kua na vijielimu na vijimshahara.

Back to square one pale pale kwa kuku na yai kipi kilianza.
Sio kila unachoona kipo kama kilivyo, vice versa is true ni vile tu moyo upo ndani ya mwili
 

View: https://youtu.be/j934OgiMBNQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…