Tafadhali nidanganye kwa jambo lingine sio hili

Mkuu umewaza kikubwa zaidi
Kwa maana tunapanda mbegu ambayo ndo inaleta matunda haya.
Nadhani wasome ila mitaala iboreshwe kulingana na mahitaji ya jamii yetu.
 
Mkuu umewaza kikubwa zaidi
Kwa maana tunapanda mbegu ambayo ndo inaleta matunda haya.
Nadhani wasome ila mitaala iboreshwe kulingana na mahitaji ya jamii yetu.
Inashangaza tutashauriana hapa wake wasomi ni tatizo, tutawakosoa sana na inawezekana ni kweli kabisa ila tupo mstari wa mbele kuwasomesha watoto wetu wa kike(sipingi hili).

Tunasahau ya kwamba haya tunayoyasema yanawahusu kwa kuwa ni kundi hilo hilo.

Jambo ya muhimu ni kipi kifanyike ili kuepusha haya yanayolalamikiwa?
Maana miaka ijayo kuna uwezekano mkubwa wasomi wakazidi kuongezeka zaidi na ukizingatia wanapewa kipaumbele zaidi.
 
Sijaoa ila nlkuwa nadate na mwanamke mwenye kiajira aseeh ni mitihan jmn muda mwngne unapga cm anapokea anakwambia nko busy baadae hpo hpo anakata cm khaa! Mm siwez
Sasa kama yupo busy asikwambie?
Unapigaje simu ww upo busy na yeye yupo busy 🤣🤣🤣
Ulitaka kazini aache kufanya kazi aanze kusema ehee niambie mume wangu

Wanaume mda mwingine tunafeli sana
 
Na hapo lazima vijembe vya chini chini kua "wewe sio mwanaume kamili kama fulani" hawa viumbe ni konyo
 
Mwanamke hawezi kupenda, mwanaume ndio hupenda
Nilishawaambia sana watu humu hata nje ya jf.

Kupenda na kuchagua partner naturally sio role ya mwanamke, ni role ya mwanaume. Yeye mwanamke akishawekwa ndani ndio anaanza majukumu yote kwa mumewe.

Mwanamke psychologically hawezi kupenda, anatamani tu. Na mwanamke hajui anachokitaka mpaka akione, leo akiona hiki, kesho ataona kile atajua anapenda hiki na kuacha kile cha jana na circle inajirudia. Ndio maana swala la kuchagua partner wa ndoa sio jukumu la mwanamke. Na ndio maana pia wanawake ndio watumiaji wakubwa wa social media.

Hivi ulishawahi kulala na mke wa mtu? Jaribu utajua maana ya ninachosema ukishalala nae na akakuchoka. Ndio maana mwanamke aliecheat one time ana 70% probability ya kucheat tena.

Ila sasa kuna wanaume wenzetu ni wapuuzi nao wanawaendekeza.
 
Duh pole sana mkuu.
 
Wakishavaa vinguo vyao vifupi na high heels wanajiona Dunia yote wameiweka kiganjani.

Hapo hata ukimuuliza shati langu lipo wapi atakujibu huku anakwenda ..angalia kwenye kabati upande wa kushoto...
nyumba nzima vinasikika viatu vyake tu ko..ko..ko..ko..ko [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Inashangaza sana ,bora mimi ambae sitaoa kabisa ni mwendo wa kimasihara tu [emoji56].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…