Tafadhali Rais Samia, Kikeke apewe Ukurugenzi TBC pengine ataleta mabadiliko

Shule yake vipi? Kuwa CEO wa Shirika la Umma shurti uwe na Shahada ya Uzamili (Masters)
 
Mkuu, ni kweli zilezile taratibu ndizo hizohizo zitatumika "provided" umo kwenye system.
Uko sahihi kabisa Mkuu. Wengi wako kazini. Kama ambavyo tunao kibao Tz ambao nao ni wa nchi nyingine na uraia wa Tanzania wanao ila wako kazini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…