Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Kikenke ni Mwingereza long time. Tetesi anaenda Azam Media. Hivyo ataajiriwa taratibu za Kigeni.Ameshachukua uraia..??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikenke ni Mwingereza long time. Tetesi anaenda Azam Media. Hivyo ataajiriwa taratibu za Kigeni.Ameshachukua uraia..??
kekeke ndio nani?Tbc ilikufa toka walivyomuondoa Tido mhando ,Labda akiletwa kekeke maiti inaweza fufuka ,Ila sidhani hilo lkitawezekana maana pale hatakiwi mtu mwenye mawazo chanya
Tbc ilikufa toka walivyomuondoa Tido mhando ,Labda akiletwa kekeke maiti inaweza fufuka ,Ila sidhani hilo lkitawezekana maana pale hatakiwi mtu mwenye mawazo chanya
Kwa sheria za Tanzania mpaka sasa Mtanzania wa kuzaliwa ukiwa Raia wa nchi nyingine automatically umeukana uraia na si Raia wa nchi hii. Na ndiyo maana Diaspora ambao ndiyo wameshajiondoa Utanzania walipigania Sana Uraia pacha ili watambulike na kuwa na haki nchi zote 2 I e Tz na nchi aliyo Raia. Mambo ya M16 yanaingiaje hapa?Sahihi mimi sizijui!
Wewe unazijua?
Alafu hoja yako ni kukana uraia au Mi6? Usichnganye mambo wewe,
Alaaah, kumbe!Mtaendelea kujaza ma M16 Ikulu ya Tanzania mpaka Lini??.
Nani Huwa anamshauri Samia ?.
Kwa sheria za Tanzania mpaka sasa Mtanzania wa kuzaliwa ukiwa Raia wa nchi nyingine automatically umeukana uraia na si Raia wa nchi hii. Na ndiyo maana Diaspora ambao ndiyo wameshajiondoa Utanzania walipigania Sana Uraia pacha ili watambulike na kuwa na haki nchi zote 2 I e Tz na nchi aliyo Raia. Mambo ya M16 yanaingiaje hapa?
Yaani ndo maana hata sishangai CCM/TANU kutawala miaka 62 .Maana watanzania wengi hawajielewi.Yaani wabongo ndio maana mnashikishwa ukuta... Mtu akiishi ulaya kidogo akirudi mnaamini atakuwa ana maarifa au pesa kuliko nyie... Kikeke ni fala tu kama mafala wengine kukaa bbc miaka 20 haimanishi ana utashi kuliko bibi yako kule kijijini...
Ana kadi namba ngapi ya ccm?Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20)
Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba matangazo ya jana ndiyo ya mwisho katika shirika hilo ambalo amefanya nalo kazi kwa miaka 20.
Kwa "experience" na "exposure" aliyoipata Kikeke kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika moja kati ya mashirika makubwa ya habari ulimwenguni nadhani ni muda wa Kikeke kurejea nyumbani, ni muda wa Taifa kufaidi matunda ya kijana wake, ni muda sahihi Rais Samia Suluhu afanye maamuzi yakayoleta mapinduzi pale TBC, ni muda sahihi KIKEKE AENDE KUHUDUMU KAMA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA HABARI TANZANIA (TBC).
Tumeona Zhura Yunus akipeleka ujuzi wake Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ya Tanzania na Charles Hillary akifanya hivyo kwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Zanzibar, sasa tumtumia Kikeke pale TBC.
Haya ni maoni na mapendekezo yangu tu, wadau mnaonaje?
Wewe unaonaje?Suali la udadisi, kwani bi Zuhura pale kurugenzi ameajiriwa kama mgeni au mTZ?
Litakuwa si vema kumpa Salim Kikeke ukurugenzi wa TBC ni chombo kikubwa sana kwake.Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20)
Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba matangazo ya jana ndiyo ya mwisho katika shirika hilo ambalo amefanya nalo kazi kwa miaka 20.
Kwa "experience" na "exposure" aliyoipata Kikeke kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika moja kati ya mashirika makubwa ya habari ulimwenguni nadhani ni muda wa Kikeke kurejea nyumbani, ni muda wa Taifa kufaidi matunda ya kijana wake, ni muda sahihi Rais Samia Suluhu afanye maamuzi yakayoleta mapinduzi pale TBC, ni muda sahihi KIKEKE AENDE KUHUDUMU KAMA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA HABARI TANZANIA (TBC).
Tumeona Zhura Yunus akipeleka ujuzi wake Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ya Tanzania na Charles Hillary akifanya hivyo kwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Zanzibar, sasa tumtumia Kikeke pale TBC.
Haya ni maoni na mapendekezo yangu tu, wadau mnaonaje?
Mkuu, kuuliza si ujinga.Wewe unaonaje?
Yeye Zuhura sijui ila Kikenke ni Raia Uingereza. Wenye kujua Zuhura waseme. Na kama Zuhura ni Raia Uingereza basi na Kikenke ataajiriwa kwa taratibu zilezile zilizotumika kumuajiri Zuhura. Tanzania kila kitu kinawezekana🤣🤣🤣🤣Suali la udadisi, kwani bi Zuhura pale kurugenzi ameajiriwa kama mgeni au mTZ?
Watu weusi tuna akili za kiBWEGE sana sana!....kwanini APEWE badala yakushindana halafu hata akipewa kama akili yako inavyokutuma unadhani atabadili nini....Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20)
Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba matangazo ya jana ndiyo ya mwisho katika shirika hilo ambalo amefanya nalo kazi kwa miaka 20.
Kwa "experience" na "exposure" aliyoipata Kikeke kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika moja kati ya mashirika makubwa ya habari ulimwenguni nadhani ni muda wa Kikeke kurejea nyumbani, ni muda wa Taifa kufaidi matunda ya kijana wake, ni muda sahihi Rais Samia Suluhu afanye maamuzi yakayoleta mapinduzi pale TBC, ni muda sahihi KIKEKE AENDE KUHUDUMU KAMA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA HABARI TANZANIA (TBC).
Tumeona Zhura Yunus akipeleka ujuzi wake Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ya Tanzania na Charles Hillary akifanya hivyo kwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Zanzibar, sasa tumtumia Kikeke pale TBC.
Haya ni maoni na mapendekezo yangu tu, wadau mnaonaje?
Pitapita humo palapala utaona machache.Hivi Zuhura Yunus ameleta mabadiliko gani Ikulu ?
Mkuu, ni kweli zilezile taratibu ndizo hizohizo zitatumika "provided" umo kwenye system.Yeye Zuhura sijui ila Kikenke ni Raia Uingereza. Wenye kujua Zuhura waseme. Na kama Zuhura ni Raia Uingereza basi na Kikenke ataajiriwa kwa taratibu zilezile zilizotumika kumuajiri Zuhura. Tanzania kila kitu kinawezekana🤣🤣🤣🤣