Tafadhali Rais Samia, Kikeke apewe Ukurugenzi TBC pengine ataleta mabadiliko

Kwa maoni yangu, naona ni Upumbavu na Upuuzi kumchukua 'Mtangazaji' anayepikiwa kila kitu, yaani kwamba hahusiki na na lolote lile,Kuanzia ukusanyaji wa habari mpaka matayarisho ya kipindi(editing,production etc) halafu ndie aje kuwa Mkurugenzi wa Chombo kama TBC ati kwasababu alikuwa akionekana kwenye luninga na alikuwa akifanya kwenye kampuni ya uingereza ya BBC! Huo ndio Ushamba wenyewe! Ndi Ulimbukeni 2.0

Tunawatafutia watu sifa ambazo kiuhalisia hawana, ni sifa za Kishamba Kuna tofauti gani na Kusema ati kwa sababu anajua King-eleza na amekuwa amebatizwa na anavaa kaptula na anakaa chumba cha ndani cha mkoloni basi ndie aje kuwa Kiranja wa wengine! This is a Stupidiest mentality on earth.
Sitaki kuamini bado tuna watu wamepumbazwa na bado wanataka kuendeleza kama sio kuchochea Ukoloni mamboleo. its Absurd.
 
Camera za TBC wakati wa ARDHIO kama vile wanatmia CAMERA ZA SIMU ZA TECNO. Watangazaji wanavyovaaa sasa hasa watangazaji wa kiume jamani kama wametoka kuazima makoti. Viatu vina vumbi. Masofa sijui wanachonga kwa fundi maiko. Huwa naangalia RWANDA TV jamani tukubali tupo usingizini TBC
 
Tbc ilikufa toka walivyomuondoa Tido mhando ,Labda akiletwa kekeke maiti inaweza fufuka ,Ila sidhani hilo lkitawezekana maana pale hatakiwi mtu mwenye mawazo chanya
Maiti itaweza piga chafya bana wee unafanya mchezo na kufufuka?
 
Hii inamaanisha Kila anaepitia BBC basi anafaa kuwa mkurugenzi!?....

Uongozi hasa wa ngazi ya juu ...unahitaji vipawa fulani specific si umaarufu....

Si kila mchezaji bora..ama mashuhuri...Anaweza kuwa kocha bora
Kikeke ana kipi?kujua kutangaza ndio kujua management?Mawazo ya hovyo sana!

Kwanini msimpeleke pale Azam kama mnamtaka?Acheni kupigia watu debe mara TBC mara Msemaji Mkuu wa Serikali mara Ikulu!

Kwanini msimchukue awe Msemaji Mkuu wa Chadema pale Ufipa?

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Tupinge na Kukemea posti zote zilizojaa Lugha za Ubaguzi dhidi ya Mtanzania na Mwafrika kwa Ujumla.

Rebuke all posts with subtle racist origins and or connotation.
 
Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20)

Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba matangazo ya jana ndiyo ya mwisho katika shirika hilo ambalo amefanya nalo kazi kwa miaka 20.

Kwa "experience" na "exposure" aliyoipata Kikeke kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika moja kati ya mashirika makubwa ya habari ulimwenguni nadhani ni muda wa Kikeke kurejea nyumbani, ni muda wa Taifa kufaidi matunda ya kijana wake, ni muda sahihi Rais Samia Suluhu afanye maamuzi yakayoleta mapinduzi pale TBC, ni muda sahihi KIKEKE AENDE KUHUDUMU KAMA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA HABARI TANZANIA (TBC).

Tumeona Zhura Yunus akipeleka ujuzi wake Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ya Tanzania na Charles Hillary akifanya hivyo kwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Zanzibar, sasa tumtumia Kikeke pale TBC.

Haya ni maoni na mapendekezo yangu tu, wadau mnaonaje?
Ukurugenzi ni zaidi ya kushika mic
 
Mawazo ya kijinga kabisa Ila Kwa vile ni muislamu mwenzake na mtoa mada fuvu lake Lina shida basi atapewa
Wewe uliyewaza udini kwenye jambo lisilohusu dini ndio una mawazo ya kijinga,tena ni mawazo ya kimasikini kabisa kutoka kwa mtu aliyekata tamaa ya maisha.
 
Tatizo kubwa la TBC siyo Mkurugenzi na watangazaji.

Hata aende pale LISSU au Mbowe itabidi atangaze mambo ya CCM wanayotaka.

Ni aidha ukubaliane na maudhi yao au uache kazi.

  • Tunatekeleza
  • Kishindo Cha awamu ya 6
  • Safari ya Dodoma
 
Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20)

Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba matangazo ya jana ndiyo ya mwisho katika shirika hilo ambalo amefanya nalo kazi kwa miaka 20.

Kwa "experience" na "exposure" aliyoipata Kikeke kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika moja kati ya mashirika makubwa ya habari ulimwenguni nadhani ni muda wa Kikeke kurejea nyumbani, ni muda wa Taifa kufaidi matunda ya kijana wake, ni muda sahihi Rais Samia Suluhu afanye maamuzi yakayoleta mapinduzi pale TBC, ni muda sahihi KIKEKE AENDE KUHUDUMU KAMA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA HABARI TANZANIA (TBC).

Tumeona Zhura Yunus akipeleka ujuzi wake Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ya Tanzania na Charles Hillary akifanya hivyo kwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Zanzibar, sasa tumtumia Kikeke pale TBC.

Haya ni maoni na mapendekezo yangu tu, wadau mnaonaje?
Umenena mkuu,yule Profesa wa makaratasi atolewe fasta,amefundisha uandishi wa habari lakini,shirika limemshinda,Hana tofauti kabisa na masanja mkandamizaji,
Hata kijana wa tandale Mond,ni CEO Bora mara mia kuliko huyu mwenye shahada nne.
 
Kwani huyo aliyepo kafanya kipi cha maana? Tunamstiri tu humu,mengine yakimwagwa hapa mtasema ni personal attack..ngoja tukaushe tu!
 
Kwa jinsi TBC ilivyo hata wawaajiri kina Anderson Cooper na Sean Hannity bado itaendelea kuwa hivyo hivyo ,Tido alijaribu lakini umeona yaliyomtokea....Sasa Tido na Kikeke nani "KONKI"?
 
Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20)

Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba matangazo ya jana ndiyo ya mwisho katika shirika hilo ambalo amefanya nalo kazi kwa miaka 20.

Kwa "experience" na "exposure" aliyoipata Kikeke kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika moja kati ya mashirika makubwa ya habari ulimwenguni nadhani ni muda wa Kikeke kurejea nyumbani, ni muda wa Taifa kufaidi matunda ya kijana wake, ni muda sahihi Rais Samia Suluhu afanye maamuzi yakayoleta mapinduzi pale TBC, ni muda sahihi KIKEKE AENDE KUHUDUMU KAMA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA HABARI TANZANIA (TBC).

Tumeona Zhura Yunus akipeleka ujuzi wake Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ya Tanzania na Charles Hillary akifanya hivyo kwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Zanzibar, sasa tumtumia Kikeke pale TBC.

Haya ni maoni na mapendekezo yangu tu, wadau mnaonaje?
Anaenda Zenji.
 
Camera za TBC wakati wa ARDHIO kama vile wanatmia CAMERA ZA SIMU ZA TECNO. Watangazaji wanavyovaaa sasa hasa watangazaji wa kiume jamani kama wametoka kuazima makoti. Viatu vina vumbi. Masofa sijui wanachonga kwa fundi maiko. Huwa naangalia RWANDA TV jamani tukubali tupo usingizini TBC

imfikie [mention]ayoub lyoba [/mention] kwenye jalada

huna mpya, TBC haina mvuto umeshindwa

utoke hapo
 
Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20)

Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba matangazo ya jana ndiyo ya mwisho katika shirika hilo ambalo amefanya nalo kazi kwa miaka 20.

Kwa "experience" na "exposure" aliyoipata Kikeke kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika moja kati ya mashirika makubwa ya habari ulimwenguni nadhani ni muda wa Kikeke kurejea nyumbani, ni muda wa Taifa kufaidi matunda ya kijana wake, ni muda sahihi Rais Samia Suluhu afanye maamuzi yakayoleta mapinduzi pale TBC, ni muda sahihi KIKEKE AENDE KUHUDUMU KAMA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA HABARI TANZANIA (TBC).

Tumeona Zhura Yunus akipeleka ujuzi wake Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ya Tanzania na Charles Hillary akifanya hivyo kwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Zanzibar, sasa tumtumia Kikeke pale TBC.

Haya ni maoni na mapendekezo yangu tu, wadau mnaonaje?
Zuhura na Charles wameleta mabadiliko gani?? Serikali ina namna yake ya kufanya kazi unaweza ukatoka kwenye private corporate env. Na ujuzi wa kutosha ila ukifika Serikalini unaelezwa kuna taratibu na miiko yake kabla ya ujuzi wako, kwenye taasisi binafsi chain ya kufanya maamuzi ni fupi na effective, serikalini suala dogo la maamuzi linaweza kuchukua mwaka
 
Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20)

Kikeke kupitia matangazo ya Dira ya Dunia yanayorushwa na StarTV kwa hapa Tanzania aliaga rasmi kwamba matangazo ya jana ndiyo ya mwisho katika shirika hilo ambalo amefanya nalo kazi kwa miaka 20.

Kwa "experience" na "exposure" aliyoipata Kikeke kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika moja kati ya mashirika makubwa ya habari ulimwenguni nadhani ni muda wa Kikeke kurejea nyumbani, ni muda wa Taifa kufaidi matunda ya kijana wake, ni muda sahihi Rais Samia Suluhu afanye maamuzi yakayoleta mapinduzi pale TBC, ni muda sahihi KIKEKE AENDE KUHUDUMU KAMA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA HABARI TANZANIA (TBC).

Tumeona Zhura Yunus akipeleka ujuzi wake Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ya Tanzania na Charles Hillary akifanya hivyo kwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Zanzibar, sasa tumtumia Kikeke pale TBC.

Haya ni maoni na mapendekezo yangu tu, wadau mnaonaje?
Upuuzi mtupu!
Hivi mnapewaga nini nyie?
Au siku hizi mmekuwa washauri wa Mh. Rais?
Vyombo vinavyohusika na issues za vetting si vipo?
Una uhakika wewe mla maandazi kama mimi tu hapa unamfahamu vizuri Salim Kikeke?!
Acheni kumpangia Rais bhana.
Mnakera sana.
 
naunga mkono hoja.
Niwakati muafaka sasa kikeke kuja kujenga nchi yake.
 
Tbc ilikufa toka walivyomuondoa Tido mhando ,Labda akiletwa kekeke maiti inaweza fufuka ,Ila sidhani hilo lkitawezekana maana pale hatakiwi mtu mwenye mawazo chanya
Enzi za Tido nakumbuka weekend TBC ilikuwa inaonyesha mechi moja ya ligi kuu Uingereza

Halafu Mechi za UEFA ulikuwa unazipata ....
 
Back
Top Bottom