Tafadhali sana, kama hujui maana ya siasa usiandike mada za kisiasa!

Hebu ngoja nicomment ili nisipitwe na taarifa za uzi huu. Maana mwandishi inaonekana kabisa ana msongo wa mawazo.
 
Understood. One can respect BBC English as a benchmark and still recognize that coherent, advanced English is not ignorance. Rest well, Sir; you’ve clearly earned a good night’s sleep defending simplicity.
 
vip hujaelewa.?
Fikra sahihi, huja kwa lugha sahihi.

Imagine kijijini hakuna maji, utumie lugha hii kwa wananchi,

Watawezaje kujiletea maendeleo?

Kumbe Elimu isipochakatwa kugeuka kuwa maarifa kutatua changamoto za watu, inakuwa upuuzi na mzigo mixer utumwa.

Basi tufanye ni mgombea uko jukwaani unaomba kura pale geita, ukitumia lugha hiyo pale, utaeleweka? Sasa kumbe Elimu ibadilike kuwa nyenzo ya kueleweka na Kila mtu kupata uelewa na utatuzi wa pamoja wa changamoto za watu.

Alichoandika mtoa mada ni ujinga,

Umeelewa?
 
Mtoa mada, katika posts zake amesema kwamba, hivi sasa jukwaa hili linaitwa JamiiAfrica na lina-accessiwa na nchi ambazo kiingereza ni kama lugha mama, hivyo maneno magumu aliyoyatumia, kwa watu wa nchi hizo, ni maneno yao ya kawaida, yanaeleweka bila shida!
 
Mtumishi umepatwa na nini huko uliko? Hiki Kiinglish chako hakina msaada kwa wasomaji wa kawaida! Hivyo ulichokisudia kuwasilisha nina uhakika asilimia kubwa ya walengwa hawajakielewa.
Rudi tu kwenye kuhubiri Injili.
SUBIRI BAADA YA DAKIKA CHACHE UTAELEWA KWANINI NIMETUMIA HICHO KIINGLISH
 
Kha, mpaka uchaguzi mkuu uishe tutasoma mengi
 
The River Between.
 
In the monolith of civic discourse,
where threads fork endlessly without merge,
we scaffold governance atop abstract interfaces—
yet the core class remains undefined,
its constructor lost in recursive inheritance.

Controllers echo with verbose declarations,
but the route to truth throws a 404.
Middleware filters intent,
yet the payload is null,
and the headers speak in tongues.

The schema of society is over-normalized,
relations fragmented across epistemic tables,
foreign keys dangling in ontological voids,
never resolving to a primary source.

We deploy ideologies like unstable builds,
hotfixing the soul with semantic patches,
while the kernel of comprehension
remains sandboxed in a metaphysical VM,
unreachable by any public API.

So we iterate—
refactoring belief, linting logic,
hoping one day to push a stable release
where governance compiles clean
and renders meaning without error.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…