Amen, Mtumishi wa Mungu 🙏Yesu Anarudi Upesi na sasa tupo Kwenye Kanisa la mwisho linaitwa Laodikia,Kabisa la viguvugu. Yesu Atusaidie sana Kuwa na Mwisho Mwema
Alisharudi na hawakumpokea hasa manabii wakubwa maana walijua ila sasa hivi wanamsubiri ambaye alishakuja!Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda."
Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo?
Jibu NDIYO au HAPANA
Maelezo ya Upigaji Kura:
=============
- Huruhusiwi kubadili jibu lako ukishapiga kura
- Kura hii ni ya wazi hivyo idadi ya kura/matokeo yataonyeshwa publicly
- Lakini usipopiga kura hutaweza kuona matokeo!
- Zoezi la kupiga kura litafungwa baada ya siku 10 tu
Kama unaamini kuwa Yesu yuaja upesi tafadhali piga kura yako ya NDIYO, usimuonee Yesu aibu na maneno yake. Luka 9:26
"Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa Adamu naye atamwonea aibu atakapokuja katika utukufu wake na katika utukufu wa Baba, pamoja na malaika watakatifu."
Kama huamini kuwa Yesu yuaja upesi, uwe mkweli tu, piga kura ya HAPANA
Kwa hiyo anapaswa awe wa moto au awe wa baridi?Usimcheke. Huyo ni wa kuombea sana maana ni vuguvugu. Hatari ya kuwa vuguvugu imeandikwa katika Ufunuo 3:16 SRUV
Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu.
Usiogope Mungu akikuchora kwenye vitanga vya mikono yake.au unatuchora
DuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhUsiogope Mungu akikuchora kwenye vitanga vya mikono yake.
"Tazama, nimekuchora katika vitanga vya mikono yangu; kuta zako zi mbele zangu daima." (Isaya 49:16)
Lakini hiyo ni ahadi ya Mungu kwa watu wanaoishi katika utakatifu.
Hivi huko mbinguni kuna raha au kuna kuabudu bila kupumzikaMbinguni kwenye raha ya milele na milele. Umeishapiga kura?
Mh, naona kama maelezo yako yamepotea njia, mkuu.jamiiforums #JFKUMBUKIZI: Mwaka 2008 Waumini
51 wa Dhehebu la Wasabato Masalia, walianzisha kambi katika maeneo ya Tabata baada ya kuzuiwa na kufukuzwa zaidi ya mara 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakita kusafiri kwenda Ulaya kuhubiri Injili bila hati yoyote ya kusafiria huku wakidai wameagizwa na Mungu
Wakiwa Tabata, Waumini hao waliokuwa 17 na kuongezeka hadi 51 walikumbana na hali ngumu ya Maisha, (hivyo kugeuka ombaomba), pia walikuwa wakiugua hawaendi Hospitali kwa kudai "Mungu atawaponya". Majirani walilalamikia uchafuzi wa Mazingira na kero ya kuombaomba
Imeelezwa, 24 kati yao walihukumiwa kwenda jela Mwaka 1 baada ya kuvamia eneo la Watu, lakini hata walipokuwa wakipelekwa gerezani, bado walisema, "Hii ni safari pia na Mungu ana mipango yake."
Mdau, kipindi tukio hili linatokea ulikuwa wapi?
Source: JamiiForums
Akiwepo Lucas Mwanshamba,Pascal Mayala na WengineoHakija siku parapanda itakapo lia tanzania wengi waliokuwa na jezi za chama cha ccm na mashabiki hawata paaa kwenda mbinguni.
Watakimbilia ofisi zao chama kuwauliza mbona tumeshindwa kupaa.
Sababu ni uwongo na hamna akili
Yesu yupo nasi kiroho kama alivyoahidi: 'Na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.' (Mathayo 28:20). Lakini pia Yesu aliahidi kwamba atakuja tena. Na safari hii atakuja kwa utukufu. 'Huyu Yesu aliyepaa kutoka kwenu kwenda mbinguni, atarudi jinsi iyo hiyo mlivyomwona akienda mbinguni.' (Matendo 1:11).Hapana, siamini.
Yesu yupo hata sasa, hakuna Yesu atakuja zaidi ya aliyepo saa hii.
Umeeleza scenario ileile. Baada ya Yesu katika mwili Arirudi katika roho, hiyo ndio kurudi kwa Yesu iliyoelezwa kila sehemu.Yesu yupo nasi kiroho kama alivyoahidi: 'Na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.' (Mathayo 28:20). Lakini pia Yesu aliahidi kwamba atakuja tena. Na safari hii atakuja kwa utukufu. 'Huyu Yesu aliyepaa kutoka kwenu kwenda mbinguni, atarudi jinsi iyo hiyo mlivyomwona akienda mbinguni.' (Matendo 1:11).
Si kweliHehehe!!!
Kwa hiyo umetania tu!Si kweli
AlinitukanaKwa hiyo umetania tu!