Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,679
- 2,123
Katika Ufunuo 22:12 Yesu anasema: “Tazama, naja upesi! Thawabu yangu i mkononi mwangu, nami nitampa kila mtu sawasawa na alivyotenda."
Swali: Je, unaamini kuwa Yesu yuaja upesi kama alivyoahidi katika Maandiko hayo?
Jibu NDIYO au HAPANA
Maelezo ya Upigaji Kura:
Kama unaamini kuwa Yesu yuaja upesi tafadhali piga kura yako ya NDIYO, usimuonee Yesu aibu na maneno yake. Luka 9:26
"Mtu yeyote akinionea aibu mimi na maneno yangu, Mwana wa Adamu naye atamwonea aibu atakapokuja katika utukufu wake na katika utukufu wa Baba, pamoja na malaika watakatifu."
Kama huamini kuwa Yesu yuaja upesi, uwe mkweli tu, piga kura ya HAPANA

- Huruhusiwi kubadili jibu lako ukishapiga kura
- Kura hii ni ya wazi hivyo idadi ya kura/matokeo yataonyeshwa publicly
- Lakini usipopiga kura hutaweza kuona matokeo!
- Zoezi la kupiga kura litafungwa baada ya siku 10 tu