Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Wewe ulijuaje kuwa ni yeyeAlinitukana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulijuaje kuwa ni yeyeAlinitukana
Wewe nani uniandameWewe ulijuaje kuwa ni yeye
Nani kakuandamaWewe nani uniandame
Usikute ni ID yake nyingineWewe nani uniandame
Nyie mnangapiUsikute ni ID yake nyingine
Indeed, MastaKiraka , there exists a considerable number of individuals who, once staunch adherents of atheistic philosophy, subsequently found themselves inexorably drawn toward the veracity of Christ’s existence and divinity, following rigorous intellectual inquiry or profound personal experiences. Allow me to elucidate with a few exemplars of such transformational journeys:Kuna watu bado wanaamini yesu alipaa mbinguni na ipo siku atarudi?!!! Amaa kweli imani za dini ni sawasawa na uraibu wa madawa ya kulevya
3Nyie mnangapi
Duh, SweetyCandy , kumbe ndivyo mnavyofanya!Ulibadilisha id ukanitukana
Usijiaibishe, mkuu. Anayepiga kura kuhusu Yesu ni nani hapa? Hii inaitwa Forum PollUkifikia kwenye hatua ya kupiga Kura kuhusu Yesu/Mungu basi hujui unachokiamini
Duh, aliyekuelewa anifafanulie hoja yako.Alisharudi na hawakumpokea hasa manabii wakubwa maana walijua ila sasa hivi wanamsubiri ambaye alishakuja!
Wengi kutokana na mapokeo wana picha yao kichwani ya ujio wa Yesu ila haikuwa kama wengi walinavyodhani itakuwa.
Ni kama majira ile ameshukia Israel,walivyofundishwa ni tofauti na alivyokuja (Same situation na alivyorudi)ndo maana asilimia 90% ya waisrael hawakumpokea na Yesu akawaambia ufalme utahama Mathayo 21:43.
Kama miaka 1000 inaonekana sawa na siku moja, kuna raha zaidi ya hiyo, mkuu. Unafikiri tutaabudu kama tunavyoabudu hapa duniani? Wakati wa kunyakuliwa tutavaa miili mipya, isiyochoka. Wewe unazungumzia kupumzika kwa sababu unawaza miili hii inayochoka hata kuimba pambio.Hivi huko mbinguni kuna raha au kuna kuabudu bila kupumzika
Soma Biblia yako kwa utulivu. Kama Yesu ameisharudi, ndugu zako waliofariki katika Kristo walifufuliwa? Yesu akirudi waliokufa katika Kristo watafufuliwa:Umeeleza scenario ileile. Baada ya Yesu katika mwili Arirudi katika roho, hiyo ndio kurudi kwa Yesu iliyoelezwa kila sehemu.
Sasa kama saa hii tunaye Yesu, kwahiyo akija tena huyo mwingine tunakuwa na Yesu wawili?