Wakatoliki ndo wenye ibada za namna hiyo kumbe ni kupoteza muda kwa mujibu wa bible basi ni heri kushika majembe wakalime kuliko kupoteza mudaKatika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:
Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde hiyohiyo ama anaenda peponi kwenye raha au kuzimu kwenye mateso yasiyokoma. Mtu ambaye tayari yuko kuzimu kwenye mateso, hawezi kutolewa huko na kuingizwa peponi kwa sala zetu, hata tukimuombea kwa kulia sana na kuomboleza na kugaragara chini. Maandiko yanasema wazi kabisa baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).
Kwa habari zaidi kuhusu hoja hii, soma kisa cha tajiri na Lazaro katika Luka 16:19-31 utaona wazi kwamba walioko kuzimu hawawezi kuhamia peponi and vice versa.
Kama kweli unampenda mtu, muombee sasa, akiwa bado hai. Ukiona anaishi maisha ya dhambi, muombee Mungu amsamehe, apate wokovu na aishi maisha yanayompendeza Mungu. Usisubiri azikwe ndio uanze kumlilia Mungu amuweke mahali pema. Utakuwa unapoteza muda wako bure.
Kuliko utenge muda wako kuwaombea wafu, heri ushike jembe ukalime!
Mleta madaNani Msabato
Kama unaongea ukweli, basi badilisha hilo jina lako mjingamimiAcha UONGO.
Uombezi Kwa wafu inaruhusiwa na MUNGU anawapunguzia adhabu zao.
Ndo maana waislam uwa tunarehemu na kugombea Dua marehemu zetu na inaruhusiwa.
Ndo maana katika amali njema unazotakiwa kuacha ni sadaka inayoendelea na mtoto mwema anayekuombea Dua baada ya kufariki
Umenena vyema.Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:
Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde hiyohiyo ama anaenda peponi kwenye raha au kuzimu kwenye mateso yasiyokoma. Mtu ambaye tayari yuko kuzimu kwenye mateso, hawezi kutolewa huko na kuingizwa peponi kwa sala zetu, hata tukimuombea kwa kulia sana na kuomboleza na kugaragara chini. Maandiko yanasema wazi kabisa baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).
Kwa habari zaidi kuhusu hoja hii, soma kisa cha tajiri na Lazaro katika Luka 16:19-31 utaona wazi kwamba walioko kuzimu hawawezi kuhamia peponi and vice versa.
Kama kweli unampenda mtu, muombee sasa, akiwa bado hai. Ukiona anaishi maisha ya dhambi, muombee Mungu amsamehe, apate wokovu na aishi maisha yanayompendeza Mungu. Usisubiri azikwe ndio uanze kumlilia Mungu amuweke mahali pema. Utakuwa unapoteza muda wako bure.
Kuliko utenge muda wako kuwaombea wafu, heri ushike jembe ukalime!
😃😃😃.Kama unaongea ukweli, basi badilisha hilo jina lako mjingamimi
Hayaaa.Kama unaongea ukweli, basi badilisha hilo jina lako mjingamimi
Still haikuhusu vyema ku-stick na unachoamini wewe!Sasa mpendwa wangu, tangu uanze kuwaombea wafu wanaokuhusu, Mungu ameishakujibu kwamba ameishawahamishia eneo jingine?
Nani huyo, mimi? Kwangu mimi wivu ni dhambi. Na dhambi hazina nafasi moyoni mwangu.Janja unawaonea wivu hadi wafu
Watu mliowaua 29.10.2025 sio wafu, ni watakatifu, kamwe hatutaacha kuwaombea, labda huyo mwanamke mmuuaji awaamuru mje mtuue na sisi ndipo ibada zatakapokomaKatika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:
Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde hiyohiyo ama anaenda peponi kwenye raha au kuzimu kwenye mateso yasiyokoma. Mtu ambaye tayari yuko kuzimu kwenye mateso, hawezi kutolewa huko na kuingizwa peponi kwa sala zetu, hata tukimuombea kwa kulia sana na kuomboleza na kugaragara chini. Maandiko yanasema wazi kabisa baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).
Kwa habari zaidi kuhusu hoja hii, soma kisa cha tajiri na Lazaro katika Luka 16:19-31 utaona wazi kwamba walioko kuzimu hawawezi kuhamia peponi and vice versa.
Kama kweli unampenda mtu, muombee sasa, akiwa bado hai. Ukiona anaishi maisha ya dhambi, muombee Mungu amsamehe, apate wokovu na aishi maisha yanayompendeza Mungu. Usisubiri azikwe ndio uanze kumlilia Mungu amuweke mahali pema. Utakuwa unapoteza muda wako bure.
Kuliko utenge muda wako kuwaombea wafu, heri ushike jembe ukalime!
No, inanihusu kwa sababu wewe ni binadamu mwenzangu. Kwanini nikuone unapoteza muda halafu nikuache tu bila kukushauri.Still haikuhusu vyema ku-stick na unachoamini wewe!
Kwanini usiulize nilipoomba afya njema alinipa au hakunipa?vyote tunaomba kwa imani that's why anayeomba sana anaumwa asiyehangaika kusali mzima kama kisiki usijikute mkamilifu!
Ndugu yangu, Yesu mwenyewe ndiye aliyetuamuru tuyafukuze mapepo.Kama ni hivyo basi na nyinyi muache mara moja kutupigia makelele ya kufukuza mapepo.
Rafiki, kama unatumia muda wako kwenye uzinzi na ulevi, hiyo ni zaidi ya kupoteza muda; ni kujipeleka mwenyewe jehanam kwenye moto wa milele.Kwahiyo kuwaombea wafu ni kupoteza muda, vipi muda tunaotumia kwenye uzinzi, Ulevi, masengenyo n.k?
Tuwaache watu wajipe faraja kwa kuwakumbuka marehemu zao
Ndiyo njia pekee ya kuwakumbuka wapendwa wao
Nimetoa observation yangu kwenye kupoteza muda rafikiRafiki, kama unatumia muda wako kwenye uzinzi na ulevi, hiyo ni zaidi ya kupoteza muda; ni kujipeleka mwenyewe jehanam kwenye moto wa milele.
1 Kor 6:9-10
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Walikuambia kwa kunukuu vifungu gani. Vitaje hapaWaliotuambia tufanye hivyo ni hao hao walotuletea hicho kitabu ulichotumia kutudanganya hapa, ushawahi jiuliza kama sio wao hiyo biblia ungekuwa nayo leo? so unajiona wewe ndio unaijua kuliko wao waliotuletea? wafu lazima waombewe penda usipende, tutawaombea TU hakuna namna
Wewe ukiwa unatenda dhambi zako mbona hauniiti nije nikushauri ikiwa umeona umuhimu wa kunishauri mimi niache dhambi ya kuombea wafu wangu?No, inanihusu kwa sababu wewe ni binadamu mwenzangu. Kwanini nikuone unapoteza muda halafu nikuache tu bila kukushauri.
Rudia kusoma maoni yangu ya kwanzaSijakupata, hebu "ongeza nyama"