Tafadhali usirudie tena kuwaombea wafu. It's a waste of time

Tafadhali usirudie tena kuwaombea wafu. It's a waste of time

marko2 :27-28 happy sabath dada
Umenukuu Maandiko yanayothibitisha vizuri uzi wangu huo.
"Basi, Yesu akawaambia, “Sabato iliwekwa kwa ajili ya binadamu na si binadamu kwa ajili ya Sabato! Kwa hiyo, Mwana wa Adam ana uwezo hata juu ya Sabato.”
NDIYO SABABU YESU ALIIVUNJA SABATO kwa sababu yuko juu ya Sabato
 
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:

Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde hiyohiyo ama anaenda peponi kwenye raha au kuzimu kwenye mateso yasiyokoma. Mtu ambaye tayari yuko kuzimu kwenye mateso, hawezi kutolewa huko na kuingizwa peponi kwa sala zetu, hata tukimuombea kwa kulia sana na kuomboleza na kugaragara chini. Maandiko yanasema wazi kabisa baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).

Kwa habari zaidi kuhusu hoja hii, soma kisa cha tajiri na Lazaro katika Luka 16:19-31 utaona wazi kwamba walioko kuzimu hawawezi kuhamia peponi and vice versa.

Kama kweli unampenda mtu, muombee sasa, akiwa bado hai. Ukiona anaishi maisha ya dhambi, muombee Mungu amsamehe, apate wokovu na aishi maisha yanayompendeza Mungu. Usisubiri azikwe ndio uanze kumlilia Mungu amuweke mahali pema. Utakuwa unapoteza muda wako bure.

Kuliko utenge muda wako kuwaombea wafu, heri ushike jembe ukalime!
Yahani akina Ibra,Yakobo Issac,Daudi, Mfalme Sele,... To mention few. Wote ni marehemu.
 
Umenukuu Maandiko yyanayothibitisha vizuri uzi wangu huo.
"Basi, Yesu akawaambia, “Sabato iliwekwa kwa ajili ya binadamu na si binadamu kwa ajili ya Sabato! Kwa hiyo, Mwana wa Adam ana uwezo hata juu ya Sabato.”
NDIYO SABABU YESU ALIIVUNJA SABATO kwa sababu yuko juu ya Sabato
ndoivo ulivo elewa dada?
sabath haijawekwa ili kuwaumiza watu sabatho IPO ili watu tule Bata na kuenjoy na sio kufata Sheria ngumu ngumu ijui usifanye hivi mara usifanye vile na sio kwamba aliivunja sabatho"uo ni UWONGO"
 
Injili ninayohubiri sio feki. Ushahidi huu hapa
Mbona umechanganyikiwa ? Unanilisha maneno ambayo sikusema ...wewe utakuwa una geto MILEMBE siyo bure...wachawi mbona wengi tu
 

Attachments

  • 20251113_220421.jpg
    20251113_220421.jpg
    56.6 KB · Views: 1
Kanisa Katoliki hizo Ibada zipo. Tena zamani walikuwa wanapokea malipo ya kuombea msamaha wafu waliokufa na dhambi
 
ndoivo ulivo elewa dada?
sabath haijawekwa ili kuwaumiza watu sabatho IPO ili watu tule Bata na kuenjoy na sio kufata Sheria ngumu ngumu ijui usifanye hivi mara usifanye vile na sio kwamba aliivunja sabatho"uo ni UWONGO"
Sabath ilikuwa inaumiza kabla Yesu hajaivunja. Hata sasa Wanaofuata sheria zilezile za mwanzo za Sabath wanaumia. Soma huo uzi kwa makini utaelewa nilimaanisha nini kusema: Yesu aliivunja Sabato
 
Yahani akina Ibra,Yakobo Issac,Daudi, Mfalme Sele,... To mention few. Wote ni marehemu.
Ndio, wote hao walifariki; but how does that connect to the central thread of our discussion?
 
Sabath ilikuwa inaumiza kabla Yesu hajaivunja. Hata sasa Wanaofuata sheria zilezile za mwanzo za Sabath wanaumia. Soma huo uzi kwa makini utaelewa nilimaanisha nini kusema: Yesu aliivunja Sabato
SAWA
 
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:

Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde hiyohiyo ama anaenda peponi kwenye raha au kuzimu kwenye mateso yasiyokoma. Mtu ambaye tayari yuko kuzimu kwenye mateso, hawezi kutolewa huko na kuingizwa peponi kwa sala zetu, hata tukimuombea kwa kulia sana na kuomboleza na kugaragara chini. Maandiko yanasema wazi kabisa baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).

Kwa habari zaidi kuhusu hoja hii, soma kisa cha tajiri na Lazaro katika Luka 16:19-31 utaona wazi kwamba walioko kuzimu hawawezi kuhamia peponi and vice versa.

Kama kweli unampenda mtu, muombee sasa, akiwa bado hai. Ukiona anaishi maisha ya dhambi, muombee Mungu amsamehe, apate wokovu na aishi maisha yanayompendeza Mungu. Usisubiri azikwe ndio uanze kumlilia Mungu amuweke mahali pema. Utakuwa unapoteza muda wako bure.

Kuliko utenge muda wako kuwaombea wafu, heri ushike jembe ukalime!
Sisi hatuwaombei wapumzike kwa Amani, tunawakumbuka tu, yaani tuna celebrate maisha yao
 
Hakika.... vitabu vya makabayo havijavuviwa na ROHO mtakatifu.
Sitetei kwamba ibada ya kuombea wafu ni sahihi, ila kama upo deep zaidi lile Baraza la Nicea lina mengi sana ni vile tu watu hawapendi kufuatilia hasa kwetu Africa.

Unaukumbuka mkutano wa Berlin? Humu wangekuwepo bado active kina Eyer, juve2012 ungenielewa.
 
Sisi hatuwaombei wapumzike kwa Amani, tunawakumbuka tu, yaani tuna celebrate maisha yao
Hii sala ni ya nani:
"Raha ya milele umpe, Ee Bwana,
Na mwanga wa milele umwangazie.
Apumzike kwa amani. Amina."
 
Sitetei kwamba ibada ya kuombea wafu ni sahihi, ila kama upo deep zaidi lile Baraza la Nicea lina mengi sana ni vile tu watu hawapendi kufuatilia hasa kwetu Africa.

Unaukumbuka mkutano wa Berlin? Humu wangekuwepo bado active kina Eyer, juve2012 ungenielewa.
Kama Baraza la Nicea lina mengi, taja mambo mawili ya Baraza hilo yanayohusiana na mada hii tuyajadili
 
Kama Baraza la Nicea lina mengi, taja mambo mawili ya Baraza hilo yanayohusiana na mada hii tuyajadili
Samahani Kiongozi naomba nitoee kidogo maoni kuhusu mada yako ni kweli logic ya mawazo yako yanapaswa yapewe heshima sababu ni mawazo binafsi na mtazamo wako haujawa mbaya at all but ukiichunguza biblia vizuri kwa kusoma unaona kitabu cha wamakabayo ambacho kinatumika katika Catholic side na Orthodoxy ambacho ni vya Deutekeranoni lakini kuna mtu awali alisema kitabu hicho hakikuvuviwa na Roho Mtakatifu basi tuangalie kitabu cha timotheo
Bwana na amjalie Onesiforo rehema kuiona siku ile; maana mara nyingi aliniburudisha, wala hakuionea haya minyororo yangu... Bwana na amjalie kuona rehema kwa Bwana siku ile." — 2 Timotheo 1:16, 18

(Hapa Paulo anaombea rehema kwa ajili ya Onesiforo, na mapokeo ya Kikristo ya kale yanaonyesha Onesiforo alikuwa ameshafariki wakati huo).

Hoja yako naiheshimu na iko logical but nahisi imebase zaidi kwenye protestant sides ambavyo ni views zao kwa wingi kwenye Self salvation na Sola Scriptura lakini kwa Kanisa kama Catholic Sisi Tunafundishwa Intercessions kwamba unaweza mwombea mtu as A friend na Mungu akafanya kitu kwa ajili yake kutokana na Sala zako mfano Mama zetu wanapotuombea makazini tupate riziki Mungu anaweza tupatia kutokana na ile sala ya Mama yako(ni mfano tu) hivyo kwa imani yako if it is okay kuto pray kwa ajili ya Marehemu its okay ila in Us kama Catholic side tunafundishwa kuna Purgatory(toharani)hivyo ni vyema zaidi kuwaombea waliopo huko waende mbinguni…Though ukiangalia hata kwenye Islamic side kwenye Holy Qur’an inasemwa hivyo nikitoa ushahidi kutoka kwenye kitabu Hicho Kitukufu
Surat Al-Hashr (59:10):
"Na wale waliokuja baada yao wanasema: Mola wetu Mlezi! Tusamehe sisi na ndugu zetu waliotangulia kutupokea katika imani, wala usiweke roho zetu chuki yote kwa wale walioamini. Mola wetu Mlezi! Hakika Wewe ni Mwenye huruma, Mwenye kurehemu."
Hapa, dua ya kuombea waliotangulia (wafu) inatajwa moja kwa moja kama sifa njema ya waumini wa kweli.
Although naweza pokea Critics but nawasilisha hii sio kupinga hoja yako bali kuonesha ukweli unaotakiwa kuonekana wazi na yes i am a seminarian hivyo teaching faith ni moja ya jukumu langu
Asante.
 
Kama Baraza la Nicea lina mengi, taja mambo mawili ya Baraza hilo yanayohusiana na mada hii tuyajadili
Ni kweli uko sahihi kwamba aliyesema baraza la nicea halikuongelea swala la Maombezi ya Marehemu ila namsupport kwa kutia hapo baraza lililoongelea maswala hayo although may sound too Catholic unaruhusiwa kuyapinga but kama unataka kujifunza zaidi siku moja moja si mbaya kupitia hiii council of trent ambayo ilikuja tu baada ya Protestant Reformation
2. Baraza la Trent (Council of Trent – 1545 hadi 1563)

Baraza hili lilikutana kujibu changamoto za vuguvugu la Matengenezo ya Kiprotestanti (Reformation), ambapo baadhi ya wanamabadiliko walipinga kabisa desturi ya kuombea wafu na kuwepo kwa Purgatori.

Katika kipindi cha 25 cha baraza hili, Kanisa Katoliki lilitangaza rasmi na kuthibitisha tena fundisho hili (Dogma), likisisitiza kwamba fundisho la Purgatori lipo, na kwamba roho zilizoko huko zinasaidiwa na maombi ya waamini (haswa sadaka ya Misa). Baraza hili lilikemea wale wote waliopinga au kusema kuwa maombi kwa ajili ya wafu hayana faida.
Though nimeona hapo awali kwamba umeokoka so inabidi usome vizuri ile Timotheo niliyoiquote kwenye reply iliyopita ndiyo jibu unalolitafuta sababu unatumia hiko kitabu🙏
siwezi ongelea sana Imani zingine kama Islam ambayo pia inaombea Marehemu wao but i Think ukisoma na wao pia wana hoja zao za kutosha za kusupport jambo hilo so instead ya mtu kuattack direct au kupinga tujaribu kujifunza chimbuko la hiyo dhana yao wanayoitumia kuamini kwenye maombezi ya Marehemu kama wewe ulivyotumia kitabu cha Waebrania na Luka kutoa msingi wa hoja yako
Stay Blessed🩵
Afya bila Chuki🙏
 
Kama Baraza la Nicea lina mengi, taja mambo mawili ya Baraza hilo yanayohusiana na mada hii tuyajadili
Moja wapo hilo limeongelewa hapo kuhusu makabayo kwamba ni Apocrypha book walokole huwa mnajifanya biblia mnaijua sana ili hali Roman Catholic ndiyo waliyo amua kipi kiingizwe kipi kiachwe chunguza hata idadi kubwa ya wana reforms walikuwa ni Kasisi wa Roman Catholic mfano M.Luther.

Nimesoma vitabu vitatu vya Father Malachi Martin aliyekuwa ni Kasisi pia wa kanisa la waroma ila alikuja kujitoa na kuandika vitabu mbalimbali nilisoma The Jesuits :The Society of Jesus and the Betrayal of the Roman Catholic Church, The Scribal Character of the Dead Sea Scrolls na pia The Decline and Fall of the Roman Church achilia mbali cha The Keys of this blood cha mwaka 1990 tu hapa ambacho hadi leo kinauza sana.

Sasa huyo alikuwa ni Jesuits na anayafahamu mengi sana kuhusiana na kabisa na mapotovu yake kwasababu wewe hupendi kujifunza unapenda kukariri na ubishi nakushauri msome huyo father kwasababu kayasema mengi sana kwanini anakosoa hata Baraza la Nicea na utolewaji wa baadhi ya vitabu na nyaraka na si yeye pekee kwahiyo naweza kusema tujifunze na kujifunza ni mpaka mwisho ila kuna mengi sana si sahihi.

Hivi kuna version ngapi za biblia mtumishi, na zipo kwa bahati mbaya?
 
Back
Top Bottom