Tafadhali usirudie tena kuwaombea wafu. It's a waste of time

We mwenyewe ni mtumishi wa wanasiasa na ni ajira yako. Watu kufanya ibada za kufarijiana kwa mikasa iliyowapata usilete hoja za kiimani humu
 
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimekutana na video zinazoonesha misa au ibada za kuwaombea Marehemu. Kama na wewe huwa unashiriki misa hizo, sikulaumu, nafikiri ni kwa kutokujua kwako ukweli huu:

Kuwaombea watu waliofariki ili Mungu awalaze mahali pema, ni kupoteza muda. Mtu akifa, sekunde hiyohiyo ama anaenda peponi kwenye raha au kuzimu kwenye mateso yasiyokoma. Mtu ambaye tayari yuko kuzimu kwenye mateso, hawezi kutolewa huko na kuingizwa peponi kwa sala zetu, hata tukimuombea kwa kulia sana na kuomboleza na kugaragara chini. Maandiko yanasema wazi kabisa baada ya kifo ni hukumu (Waebrania 9:27).

Kwa habari zaidi kuhusu hoja hii, soma kisa cha tajiri na Lazaro katika Luka 16:19-31 utaona wazi kwamba walioko kuzimu hawawezi kuhamia peponi and vice versa.

Kama kweli unampenda mtu, muombee sasa, akiwa bado hai. Ukiona anaishi maisha ya dhambi, muombee Mungu amsamehe, apate wokovu na aishi maisha yanayompendeza Mungu. Usisubiri azikwe ndio uanze kumlilia Mungu amuweke mahali pema. Utakuwa unapoteza muda wako bure.

Kuliko utenge muda wako kuwaombea wafu, heri ushike jembe ukalime!
Kwamba una copyright ya kutafsiri Biblia? Hebu tupe kwanza elimu yako ya dini ili tuone kama unauhalali wa kutushauri
 
We unaona waste of time lakini wenzako wanafarijiana kwa ibada hiyo ya misa ya kuwaombea wafu. Acha kutumia imani huku background yako ni siasa tupu unaleta kwa mgongo wa imani ya kidini, unatumikia ajira yako upande wa siasa zilizokupa ajira
 
Kwa hiyo wewe ndo unamiliki ukweli?
 
Kwa hiyo wewe ndo unamiliki ukweli?
Mimi ni mjumbe tu wa Yesu. Na Yesu ndiye ukweli wenyewe.
Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uzima. Hakuna awezaye kwenda kwa Baba ila kwa kupitia kwangu (Yohana 14:6)
 
Kwamba una copyright ya kutafsiri Biblia? Hebu tupe kwanza elimu yako ya dini ili tuone kama unauhalali wa kutushauri
Asante Mpaina kwa ku-comment.
First, I have never claimed to own the copyright to Bible translations, nor have I claimed to be the final authority on biblical interpretation. Bible translations are available for everyone to read, examine, compare and discuss.

Second, the truth of a biblical argument does not depend on elimu ya dini ya mtoa mada. What matters is whether the argument is consistent with Scripture.

You are welcome to challenge my interpretation, but I would appreciate it if you addressed the biblical arguments rather than making my personal educational background the subject of discussion.

If you believe that praying for the dead is biblical, kindly present the relevant Scriptures and explain their context. I am equally willing to examine them.

As Christians, we should be willing to test every teaching against Scripture, just as the Bereans did in Acts 17:11.

Let us discuss the Word of God, not the credentials of the person sharing it.
Umenipata, mkuu?
 
Hizi simu bhana Aya 👋 ila omba yasikukute au utajisikiaje ikiwa umepoteza mzazi halafu ndo anasikia kauli kama hii 🫡
 
Tumeambiwa tuombe jambo lolote, kwahyo usipangie watu cha kuomba_

Yohana 14:13 Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana.
 
Mkuu

Setfree

Je kumuomba MUNGU ambaye humjui hii haikufanyi kuwa hayawani wa maarifa.
Kaka yangu, unasema simjui Mungu?! Unaota ndoto, au?
Mungu ninayehubiri habari zake na matendo yake makuu, mchana na usiku, unasema simjui?!
Mungu ambaye nimeshuhudia humu jinsi alivyoniwezesha kuwapiga wachawi,
na kuwatawanya majambazi kwa Jina la Yesu, unasema simjui?!
Mungu ambaye ameniponya magonjwa 100+ unasema simjui?!
Mungu anayenipa pesa kwa miujiza na akili za kufanikiwa katika kazi na biashara unasema simjui?!
Soma nyuzi hizo ujue jinsi ninavyomjua Mungu na jinsi ambavyo
nikimuomba Mungu ananipa mahitaji yangu
ONJA LEO UONE JINSI MUNGU ALIVYO MWEMA
Zaburi 34:8
Onjeni muone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumainia.
 
We mwenyewe ni mtumishi wa wanasiasa na ni ajira yako. Watu kufanya ibada za kufarijiana kwa mikasa iliyowapata usilete hoja za kiimani humu
Soma Ufunuo 21:8 ujue hatima ya waongo
 
Kaka yangu, unasema simjui Mungu?! Unaota ndoto, au?
Mungu ninayehubiri habari zake na matendo yake makuu, mchana na usiku, unasema simjui?!
Mungu ambaye nimeshuhudia humu jinsi alivyoniwezesha kuwapiga wachawi,
na kuwatawanya majambazi kwa Jina la Yesu, unasema simjui?!
Mungu ambaye ameniponya magonjwa 100+ unasema simjui?!
Mungu anayenipa pesa kwa miujiza na akili za kufanikiwa katika kazi na biashara unasema simjui?!
Soma nyuzi hizo ujue jinsi ninavyomjua Mungu na jinsi ambavyo
nikimuomba Mungu ananipa mahitaji yangu
ONJA LEO UONE JINSI MUNGU ALIVYO MWEMA
Zaburi 34:8
Onjeni muone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumainia.
Dada

Lakini hakuna ushahidi wenye mantiki ya kusema huyo mungu anaonekana.

Huoni kwamba wanao ombea wafu kama wapo wrong huenda nao hawana tofauti na wanao omba Mungu ambaye hajawahi kuja kujipigania isipo kua anapiganiwa na raia.
 
Raha ya milele uwape ee Bwana, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani. Amina. 🙏🏽
 
Dada

Lakini hakuna ushahidi wenye mantiki ya kusema huyo mungu anaonekana.

Huoni kwamba wanao ombea wafu kama wapo wrong huenda nao hawana tofauti na wanao omba Mungu ambaye hajawahi kuja kujipigania isipo kua anapiganiwa na raia.
Yesu anaitwa Emanueli yaani Mungu pamoja nasi (Mathayo 1:22-23). Yesu alikaa na wanadamu, alitenda miujiza mingi na baadaye alipaa kwenda mbinguni.

Uwepo wa Yesu duniani umethibitishwa hata na wana historia wasiomjua Mungu. Sasa sijui unataka ushahidi wa namna gani tena.

Na hata baada ya kupaa mbinguni bado miujiza na matendo ya Yesu yanaonekana wazi katikati ya wote wanaomuamini, kama nilivyoshuhudia kwenye nyuzi hizo.

Wakati unakuja mbio, Yesu atarudi tena kutoka mbinguni. That time atakuja kwa utukufu mwingi, sio kinyonge tena. Na wakati huo hutasema Mungu haonekani, maana kila jicho litamuona na kila goti litapigwa mbele yake. Subiri wakati huo ufike uone utakavyokuwa unatetemeka na kuomboleza mbele zake. Heri utubu leo na kumwamini Yesu, kabla wakati huo haujafika.
 
Ila kwel maana watu tunavyo kazana kuombea walio kufa ina maana kwamba siku ya mwisho shetana atachomwa peke yake na malaika zake, hata ambulia binadamu hata mmoja aye chomwa nae maana wote tukifa tunaombewa sana tu
 
Dah, this is the best comment of the year.
Maua yako, mkuu 🌷🌹❤️😍
 
Back
Top Bottom