joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
1)TribalismNeither Kenya nor Dubai are known for failed ideologies such as ujamaa. As I said Tanzania is mentally bankrupt
Mleta uzi buffalo44 upoo[emoji115][emoji115]You are a bongolala.... literally stupidity is in your name.
Hata yeye amegundua kwamba hawa watu ni wendawazimu, bahati mbaya hawezi kufuta huu uzi, ila nadhani ameshakubaliana na sisi katika kuwashambulia hawa jamaaMleta uzi buffalo44 upoo[emoji115][emoji115]
Hehehehee eti anapoteza mate na pumzi yake kuwatetea Wakenya, Dah inasikitisha sanaHata yeye amegundua kwamba hawa watu ni wendawazimu, bahati mbaya hawezi kufuta huu uzi, ila nadhani ameshakubaliana na sisi katika kuwashambulia hawa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Kati ya watanzania wapumbavu muwazoee tu. ila tulio wengi tunajivunia kuwa majirani zenu na hatuwezi kuwaacha kipindi Cha matatizo Kama haya.Hao tushawazoea Tena wanapenda wakati Kenya iko kwenye janga haswa Alshababu wakifanya yao joto la jiwe ni wa Kwanza kupost, kuponda na kumalizia na matusi na kejeli [emoji16]
Naomba Rais Uhuru awape mamlaka KDF waanze kuwachapa viboko wakenya maana wamezidi kuzurura na kutosikiliza viongozi wao .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama si tuna matatizo basi si dunia nzima nchi zilizo na kesi nyingi kuliko Kenya zina matatizo chungu teleKenya kuna matatizo makubwa sana.
Neither Kenya nor Dubai are known for failed ideologies such as ujamaa. As I said Tanzania is mentally bankrupt
Dah watu mna matusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hehehehee hapa naona kama unagusiagusia ishu ya hawa wajomba wazalendo wenye bendera ya nchi yao matakoni [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1400350
Tumeshawaambia sababu za kuwakebehi, wacha kupotosha umma, tunawakebehi kwasababu ya tabia yenu ya kujifanya ninyi ndio wajuaji wa kila jambo, kila linalofanywa Kenya hilo ndio sahihi Wakati nchi zingine zote zinakosea.Unajua pia marekani ilikua inaicheka Europe alafu wakanunua vifaa zaidi vya kupima corona sahii wakashtuka kumbe kwao ndo imeenea zaidi... Usifikirie kwavile kesi zimeongezeka Kenya unaanza kucheka kwavile kwenu hazijaongezeka
Jaribuni kusikiliza ushauri na mjitadhimini, punguzeni kujifanya wajuajiKama si tuna matatizo basi si dunia nzima nchi zilizo na kesi nyingi kuliko Kenya zina matatizo chungu tele
Kama Kenya ina matatizo ingekua tunabishana na waganda, warwanda na wengineo, lakini hilo hauoni likifanyika, Watanzania kuwashambulia wakenya ni kwasababu moja tu, wivu wivu wivu... Unajua kama mtu ni mnafik na anakuonea wivu kila unalofanya au unasema anadhania umemlenga yeye, Yani mko na inferiority complex flani mkiwa karibu na mkenya. Mkenya akisema "eh, shati yangu ni safi", wewe unajijazia yako na kuona anajisifu kwamba shati yake ni safi kwahivyo yako wewe ni chafu.....Tumeshawaambia sababu za kuwakebehi, wacha kupotosha umma, tunawakebehi kwasababu ya tabia yenu ya kujifanya ninyi ndio wajuaji wa kila jambo, kila linalofanywa Kenya hilo ndio sahihi Wakati nchi zingine zote zinakosea.
Jaribuni kuwa "humble" muone Kama tutawashambulia au kuwacheka, Rwanda wagonjwa wamefikia 50, kwanini tusiwakebehi Kama unadhani idadi ya wagonjwa ndio sababu ya kuwakebehi, tabia yenu ya kujifanya wajuaji, kugombana na majirani zenu wote ndio kunawafanya majirani wasisikitike mnapopatwa na matatizo, badilikeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnagombania kisiwa cha Migingo na Uganda, juzi mumezuia maziwa ya Uganda kuingia Kenya, Uganda wamepeleka kesi katika mahakama ya EACKama Kenya ina matatizo ingekua tunabishana na waganda, warwanda na wengineo, lakini hilo hauoni likifanyika, Watanzania kuwashambulia wakenya ni kwasababu moja tu, wivu wivu wivu... Unajua kama mtu ni mnafik na anakuonea wivu kila unalofanya au unasema anadhania umemlenga yeye, Yani mko na inferiority complex flani mkiwa karibu na mkenya. Mkenya akisema "eh, shati yangu ni safi", wewe unajijazia yako na kuona anajisifu kwamba shati yake ni safi kwahivyo yako wewe ni chafu.....
hebu angalia vile unatumia nguvu nyingi kuwachunguza tabia na miondoko ya wakenya, alafu kwavile tuna kesi nyingi za corona unasema eti ni kwasababu ya tabia,, blah blah blah upuzi mtupu
Nchi zote zinazowazunguka wanagombana nazo kwasabu ya roho mby na ubinafsi walio nao wao mpk viongozi waoMnagombania kisiwa cha Migingo na Uganda, juzi mumezuia maziwa ya Uganda kuingia Kenya, Uganda wamepeleka kesi katika mahakama ya EAC
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mjingawewe[emoji16][emoji16][emoji16]corona mzaramo mwenzetu kaja tu kutusalimia Hana shida na mtz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania ndo mnaongoza kwa kuweka vikwazo kwa nchi nyengine za EAC kwahivyo hilo swala la maziwa si kitu. Tena isitoshe hadi sasa Uganda haijaban maziwa (Processed milk) kutoka Kenya, wameenda kotini kushtaki Kenya, Yani unaona vile hao si wanafik wenye miondoko ya kitoto, Najua ingekua ni Tz mngekua mlishaharibu biashara yote kwa kuban kila kitu kutoka Kenya.Mnagombania kisiwa cha Migingo na Uganda, juzi mumezuia maziwa ya Uganda kuingia Kenya, Uganda wamepeleka kesi katika mahakama ya EAC
Sent using Jamii Forums mobile app