Cr wa familia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 1,064
- 1,442
Comments ni tamu mno 😀 Nikama naona half time 0:0 ngoja ntarudi dk ya 89
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wanatuleteaga tuwabebee vipochi manyoya vyao na hizo hela mnazowapaKama unajiita mwanaume na hutaki kumpa ela mwanamke ,wewe siyo mwezetu.
Wanaume tunatoa hela kwa wanawake na bado pochi zao tunawabebea vizuri tuu huku tumewashika mkono.
Nb. UTAKI KUMPA MWANAMKE WAKO HELA SISI TUTAKUSAIDIA KUMPA NA TUTAKUCHAPIA
hujamuelewa mleta madaKama unajiita mwanaume na hutaki kumpa ela mwanamke ,wewe siyo mwezetu.
Wanaume tunatoa hela kwa wanawake na bado pochi zao tunawabebea vizuri tuu huku tumewashika mkono.
Nb. UTAKI KUMPA MWANAMKE WAKO HELA SISI TUTAKUSAIDIA KUMPA NA TUTAKUCHAPIA
Hapa sasa tunaweza kufunga uzi #mwenyesindanotafadhaliKiasilia mwanaume ndo anatakiwa awe provider kwenye familia, amhudumie mkewe na watoto kipesa, na mimi nakubaliana na hilo, ila tatizo wanawake wengi hamuwapendi wanaume mlio nao kwenye mahusiano, mko kwenye ndoa ili muukimbie umaskini, wanaume wawape ugali mshibe, siku ziende, ila kiuhalisia hamna hisia na hao wanaume Dejane
Unampa kila atakacho ni kama haitoshi bado unamgawia hata protini zako za akiba mwiliniUnakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma vya hapa na pale, shopping za nguo kila mwezi, unasaidia wadogo zake, sometime hadi unasomesha with a view kwamba baadae aje kuwa mkeo..
Mimi nina mifano mingi sana, lakini kwa sababu silipwi chochote hapa, sina sababu ya kupoteza muda na nguvu ya fingers zangu kuandika mengi hapa, ila kiufupi nawajua kwa 98% hawa watu, na kati yao, washenzi ndiyo wengi na wanapaswa kulipwa kisasi kibayaPole kwa kukutana na wanawake wa aina hiyo,lkn kuna wanawake wazuri tu na wanajali sana Hasa wakiwa wamependa mtu,japo Hawa ni wachache sana,imagine wapo wanawake wanawapa Hadi Hela.
Wapo pia wanawake wanaoridhika na kidogo wanachopewa na kushukuru,kuna mwanamke anaweza kupewa 5000, na anashukuru japo anajua anayempa ana uwezo mkubwa lkn anaridhika,na kushukuru.
Wakati mwingine wanawake tunajishusha ili tuwaheshimu waume zetu,tunaridhika na tunachopewa na kushukuru,tunaridhika na hali yyte Ile aliyonayo mwanaume,lkn mwisho wa siku tunadharaulika .
Duh,ila kilio kipo kote mkuuMimi nina mifano mingi sana, lakini kwa sababu silipwi chochote hapa, sina sababu ya kupoteza muda na nguvu ya fingers zangu kuandika mengi hapa, ila kiufupi nawajua kwa 98% hawa watu, na kati yao, washenzi ndiyo wengi na wanapaswa kulipwa kisasi kibaya
Huduma ya mapenzi siyo mtu mmoja tu anaye hudumiwa, kweni mwanaume hamhudumii mwanamke? Tendo lile kila mmoja analihitaji, wasijigeuze eti wao ni watoa huduma shenzi zao, yaani mwanamke wa kumuamini hapa Duniani ni mama yako tu ambaye nae ana misala yake Kwa BABAWakati wewe unamuhudumia kwa hivyo viposho yeye hakupi huduma yoyote ?
Maisha ni Quid Pro Quo hata ukimpa masikini pesa njiani roho yako inasuuzika kwamba umefanya jema kwahio unakuwa umejisaidia pia....
Mbinu nzuri ya maisha wewe fanya unachokiona ni sahihi kwa wakati huo sio ufanye ili uje uvune baadae (especially kama unamfanyia mtu)....
Akishajijenga kiuchumi anaenda kumuonga na kula maisha na anaempenda... This is factKiasilia mwanaume ndo anatakiwa awe provider kwenye familia, amhudumie mkewe na watoto kipesa, na mimi nakubaliana na hilo, ila tatizo wanawake wengi hamuwapendi wanaume mlio nao kwenye mahusiano, mko kwenye ndoa ili muukimbie umaskini, wanaume wawape ugali mshibe, siku ziende, ila kiuhalisia hamna hisia na hao wanaume Dejane
Inategemea mtu na mtuNimegundua mtu ukitumia logic, ku-enjoy mahusiano ni ngumu
Kelsea anavyopenda jumbe kama hizi akiona panasema mwanamume lazima atoe pesa lazima agonge like 😅Kama unajiita mwanaume na hutaki kumpa ela mwanamke ,wewe siyo mwezetu.
Wanaume tunatoa hela kwa wanawake na bado pochi zao tunawabebea vizuri tuu huku tumewashika mkono.
Nb. UTAKI KUMPA MWANAMKE WAKO HELA SISI TUTAKUSAIDIA KUMPA NA TUTAKUCHAPIA
Mkuu tunaishi na matapeli tu. Washikaji wanaowakubali wanawavulia chupi bila hata kutoa mia tena wao ndio wanawagharamikia.tatizo wanawake wengi hamuwapendi wanaume mlio nao kwenye mahusiano, mko kwenye ndoa ili muukimbie umaskini
Sasa kama mlikuwa mnapeana huduma na wewe ulikuwa unafurahia kutoa pesa usikasirike wala kutoa kwako pesa then hakumaanishi unamiliki mtu in the future...Huduma ya mapenzi siyo mtu mmoja tu anaye hudumiwa, kweni mwanaume hamhudumii mwanamke? Tendo lile kila mmoja analihitaji, wasijigeuze eti wao ni watoa huduma shenzi zao, yaani mwanamke wa kumuamini hapa Duniani ni mama yako tu ambaye nae ana misala yake Kwa BABA
Mfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume umetoboa..
Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma vya hapa na pale, shopping za nguo kila mwezi, unasaidia wadogo zake, sometime hadi unasomesha with a view kwamba baadae aje kuwa mkeo..
Ushawahi jiuliza kama mngebadilishana nafasi za kiuchumi, wewe uwe kapuku na yeye awe anaendesha Gari halafu mkutane njiani, je huyo mdada unaemuhudumia, angekuangalia mara mbili? angeshtuka hata kujua amepishana na mwanaume?
Mke wa gsm angekuwa na hela kama za mumewe, angemfanyia birthday party huyo mumewe?
Naamini mwanaume ni Primary provider wa familia, na anatakiwa ahudumie mke, ila nimewaza tu..
Nimegundua mtu ukitumia logic, ku-enjoy mahusiano ni ngumu