Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Lakini hizi ni zama 50/50 hivi providing inatakiwa kuwa mutually au sio dada angu.Uzi ufungwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini hizi ni zama 50/50 hivi providing inatakiwa kuwa mutually au sio dada angu.Uzi ufungwe
Umeenda nje ya lengo, unakurupuka kichwani, siku njemaSasa kama mlikuwa mnapeana huduma na wewe ulikuwa unafurahia kutoa pesa usikasirike wala kutoa kwako pesa then hakumaanishi unamiliki mtu in the future...
Hakuna Binadamu mwenye hati miliki ya mwingine hayo yalikuwepo enzi za utumwa sio leo
Kisa ?Uzi ufungwe
Sitaki wabibi, watanivutia nn? Napenda kumpa hela mwanamke mwenye hisia na mm, sio tapeli Unique FlowerOmba umpate kibibi chenye mpunga kikupe hela uenjoy achakulalamika
Haya nakuombea umpate yule utakaye mpenda kwa moyo na mwenye hisia na weweSitaki wabibi, watanivutia nn? Napenda kumpa hela mwanamke mwenye hisia na mm, sio tapeli Unique Flower
Nazipenda lakini sio kuhonga 😅😂😂😂 Kwani wewe hupendi pesa?
Uanaume ni kuchakata mbususu kisawasawa hadi mwanamke aridhike, bora uwe masikini lakini mbususu uchakate barabara.Ukiwa huna mke waweza kufanya hiyo michezo, ukishaoa ukiendelea na hayo ni kujiangamiza.
Hiyo argument yako ni sawa na kusema, hivi viungo tukibadilishana na wife, nitakubali anibandue?
Jibu ni hapana, mwanaume ni wakuhudumia mwanamke ziku zote, pride yake ipo hapo.
Uzi ufungwee!"Vitu nvingine ni Auto tu Wala so vya kuumiza kichwa.
Mwanamme lazima utoe pesa ndio uenjoy.
Unatoa siri tenaaa?? KhaaahMkuu tunaishi na matapeli tu. Washikaji wanaowakubali wanawavulia chupi bila hata kutoa mia tena wao ndio wanawagharamikia.
Dunia uwanja wa vita
Nimechekaa had machoziiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uanaume ni kuchakata mbususu kisawasawa hadi mwanamke aridhike, bora uwe masikini lakini mbususu uchakate barabara.
Mwanamke kwao ameacha vyakula vinono pengine kuliko unavyompa, kaacha pesa kwa baba yake pengine ni nyingi kuliko zako, kaja kuolewa kwako kwasababu ya kunyanduana na kutengeneza familia(huduma ambayo nyumbani kwao hawezi kupata).
Sasa wewe jifanye unampa pesa nyingi halafu unamnyandua kwa kumgusa gusa tu, akikutana na wanaomzagamua kisawasawa hadi kuikata kiu yake, atawahonga hizo pesa unazompa ili wamzagamue, au watakuwa wanapewa kitumbua bure.
Hakuna raha kama ukikutana na demu ambaye bwana yake anamgusa gusa, yaani ukimuwezea kumkata kiu, atakuganda kama ruba, yaani yeye ndo anayekubembeleza ili usimuache.
Kabisa sema mimi sina.Ila bongo usiseme hatuna maisha mazuri ..unatakiwa useme "hauna" kuna lijamaa jirani hapa lina hela aise limempangishia mchepuko apartment kali sana na fenicha zote kali mno kalii balaaa
....hapo ukisema hamna hela jamaa hatakuelewa
Huu ni ukweli mchungu Jana jamaa alikua anasimulia kisa chake huku analia machozi kaenda mgodini Pesa anamtumia mwanamke anunue kiwanja ajenge Ila mwanamke baada ya kununua jina la kiwanja kaandikisha la kwake na Nyumba ilipokamilika jamaa kurudi toka mgodini anaomba kuoneshwa hati inasoma jina la Mwanamke tu inamaana pale lile eneo la Mwanamke sio eneo lao pamoja km wanandoawanawake wengi hamuwapendi wanaume mlio nao kwenye mahusiano, mko kwenye ndoa ili muukimbie umaskini, wanaume wawape ugali mshibe, siku ziende, ila kiuhalisia hamna hisia na hao wanaume
Mfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume umetoboa..
Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma vya hapa na pale, shopping za nguo kila mwezi, unasaidia wadogo zake, sometime hadi unasomesha with a view kwamba baadae aje kuwa mkeo..
Ushawahi jiuliza kama mngebadilishana nafasi za kiuchumi, wewe uwe kapuku na yeye awe anaendesha Gari halafu mkutane njiani, je huyo mdada unaemuhudumia, angekuangalia mara mbili? angeshtuka hata kujua amepishana na mwanaume?
Mke wa gsm angekuwa na hela kama za mumewe, angemfanyia birthday party huyo mumewe?
Naamini mwanaume ni Primary provider wa familia, na anatakiwa ahudumie mke, ila nimewaza tu..
Nimegundua mtu ukitumia logic, ku-enjoy mahusiano ni ngumu