Tafakuri binafsi: Wakati unamhudumia mdada kipesa, ushawahi kutafakari hili

Kama unajiita mwanaume na hutaki kumpa ela mwanamke ,wewe siyo mwezetu.

Wanaume tunatoa hela kwa wanawake na bado pochi zao tunawabebea vizuri tuu huku tumewashika mkono.

Nb. UTAKI KUMPA MWANAMKE WAKO HELA SISI TUTAKUSAIDIA KUMPA NA TUTAKUCHAPIA
Sisi wanatuleteaga tuwabebee vipochi manyoya vyao na hizo hela mnazowapa
 
Kama unajiita mwanaume na hutaki kumpa ela mwanamke ,wewe siyo mwezetu.

Wanaume tunatoa hela kwa wanawake na bado pochi zao tunawabebea vizuri tuu huku tumewashika mkono.

Nb. UTAKI KUMPA MWANAMKE WAKO HELA SISI TUTAKUSAIDIA KUMPA NA TUTAKUCHAPIA
hujamuelewa mleta mada
 
Halafu hela ikijakukata analaumu watu hawamsaidii ?!

Wakati hela alitapanya na malaya?

Hao wanawake alotumbua nao hela alipokuwa nazo, alowajengea, alowanunulia viwanja, alowapa mitaji, alosomesha watoto wa michepuko si ndo awatafute wamsaidie wanipe hela ajikimu?

Ni bahati mbaya sana uzoefu ulivyo hela ya kuhonga mwanamke kuweza kuja kuona msaada wa future huwa ni nadra sana.
 
Hapa sasa tunaweza kufunga uzi #mwenyesindanotafadhali
 
Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma vya hapa na pale, shopping za nguo kila mwezi, unasaidia wadogo zake, sometime hadi unasomesha with a view kwamba baadae aje kuwa mkeo..
Unampa kila atakacho ni kama haitoshi bado unamgawia hata protini zako za akiba mwilini
 
Mimi nina mifano mingi sana, lakini kwa sababu silipwi chochote hapa, sina sababu ya kupoteza muda na nguvu ya fingers zangu kuandika mengi hapa, ila kiufupi nawajua kwa 98% hawa watu, na kati yao, washenzi ndiyo wengi na wanapaswa kulipwa kisasi kibaya
 
Duh,ila kilio kipo kote mkuu
 
Wakati wewe unamuhudumia kwa hivyo viposho yeye hakupi huduma yoyote ?

Maisha ni Quid Pro Quo hata ukimpa masikini pesa njiani roho yako inasuuzika kwamba umefanya jema kwahio unakuwa umejisaidia pia....

Mbinu nzuri ya maisha wewe fanya unachokiona ni sahihi kwa wakati huo sio ufanye ili uje uvune baadae (especially kama unamfanyia mtu)....
 
Huduma ya mapenzi siyo mtu mmoja tu anaye hudumiwa, kweni mwanaume hamhudumii mwanamke? Tendo lile kila mmoja analihitaji, wasijigeuze eti wao ni watoa huduma shenzi zao, yaani mwanamke wa kumuamini hapa Duniani ni mama yako tu ambaye nae ana misala yake Kwa BABA
 
Akishajijenga kiuchumi anaenda kumuonga na kula maisha na anaempenda... This is fact
 
Mwanamke asiyejimudu vitu vidogo vidogo hajawahi kunivutia kabisa..

Gap la kiuchumi lisiwe kubwa. Hapo mtawezana. Hawa wa kuwatoa matopeni, wakisha'settle hugeuka wanyama.

Hakuna mzazi anayejimudu kiuchumi atakayefurahia kuoza au kuozesha kwenye familia maskini.
 
Kama unajiita mwanaume na hutaki kumpa ela mwanamke ,wewe siyo mwezetu.

Wanaume tunatoa hela kwa wanawake na bado pochi zao tunawabebea vizuri tuu huku tumewashika mkono.

Nb. UTAKI KUMPA MWANAMKE WAKO HELA SISI TUTAKUSAIDIA KUMPA NA TUTAKUCHAPIA
Kelsea anavyopenda jumbe kama hizi akiona panasema mwanamume lazima atoe pesa lazima agonge like 😅

Mambo vipi mtu wangu wa nguvu? Hadimu sana siku hizi
 
Sasa kama mlikuwa mnapeana huduma na wewe ulikuwa unafurahia kutoa pesa usikasirike wala kutoa kwako pesa then hakumaanishi unamiliki mtu in the future...

Hakuna Binadamu mwenye hati miliki ya mwingine hayo yalikuwepo enzi za utumwa sio leo
 


Ukiwa huna mke waweza kufanya hiyo michezo, ukishaoa ukiendelea na hayo ni kujiangamiza.

Hiyo argument yako ni sawa na kusema, hivi viungo tukibadilishana na wife, nitakubali anibandue?

Jibu ni hapana, mwanaume ni wakuhudumia mwanamke ziku zote, pride yake ipo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…