Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

Kwan madaktari wa kiume wana shida gani , pengine hao ndio wanaopendelewa na wanawake wenyewe wawahudumie 🤔
 
Hata usituonee wivu kaka, hatufaidi chochote aisee 😂😂😂
 
Kuna shida gani kwenye matibabu? Au wewe ni muumini wa ile dini ya mwarabu huwa nafuatilia mafundisho Yao ya kibaguzi kwenye matibabu wanapinga sana hilo swala tana mbaya zaidi akiwa sio wa dini Yao? Si mlisema kitabu chenu kina elimu zote ukikihifadhi umefuzu elimu zote duniani? Basi mtumie wanawake waliofuzu kuhifadhi kitabu hicho( nadhani ni wengi) wawatibu wanawake wenzao ili kuilindha dhababu yao
 
Kuna mama mmoja kijijini alikataa kuzalishwa na daktari wa kiume dispensari ya kijiji ikabidi aende mjini waliko manesi wakamzalishe huko
 
Ndo fikra yako ilipoishia...
 
Mtibu mwenyewe ama kasomee udaktari bingwa wa wanawake ili wasimchungulie swali fikirishi je wewe ni wangapi kumchungulia?
 
Kama kuna Option unadhani itafanyika hivyo lakini ndio hivyo pale hamuendi kwenye Dating Club bali una shida na shida hio wa kuitatua kama ndio huyo basi ndio hivyo.....

Haya mambo yanakwenda na practicability ungekuwa na uwezo ungeweza hata mwenyewe kusomea udaktari ili uweze kutibu mke wako (lakini utaona kwamba haishauriwi kwa mtu ku-treat ndugu yake kama kuna mbadala)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…