Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

Hapana
Amewaza vizuri sana
Kiuhalisia haiepndezi kabisa basi tu
Hata kama ww ni mwanaume sidhani kama unafurahia mkeo kutiwa vidole na mwanaume mwenzio ukawa comfortable
kwan hvyo vidole anatiwa kwa dhumuni gan?
Pia kwa kujua hicho kitu kinaweza jitokeza ndio maana wakaweka faragha baina ya mtoa huduma na mgonjwa na pia hiyo kazi ina miiko na maadili yake ukiona imevunjwa ruksa kushtaki
 
Hili ni tatizo kubwa sana,wakati vyoo vya Public vimetengwa,vya wanaume mbali na wanawake mbali.
 
Mawazo ya kitalebani
 
Kama nakuelewa vile,

Polisi wakiume haruhusuwi kumpekua maungoni mtuhumiwa wa kike, iweje daktari wa kiume aruhusiwe kuona na kushika uchi wa mwanamke?
 
Daktari ndio mtu pekee anayeweza kumvua nguo mkeo, na hela ukamlipa na asante ukatoa.
 
Mficha uchi hazai..!
Madokta wa kiume wanajali sana kuliko wa kike
Mimi nikienda hospital nikikuta dokta ni wa kike Nanuna...!
Nilimpeleka mchepuko wangu kutoa mimba, kwa jinsi alivyokuwa analalamika nikahisi daktari anakula mzigo kwanza kulainisha njia.

Walivyokuja kuniita nikagundua kumbe ni wasiwasi wangu tu.
 
Na kama ata ilishawahi kutokea unafikiri ataiweka bayana?
Inaweza kuwa ni kweli na alifurahia kabisa.
Kwa upande wangu mimi, ni BIG NO. Swala la kuzalisha Wanawake tungepaswa kusomesha wanawake wengi ukunga sekta hiyo ibaki chini ya wanawake, au wanawake kutibiana magonjwa ya wanawake kwani ina shindikana nini ?!

Mzungu kaweza tengeneza rocket inaenda mwezini au mars sembuse sisi kusomesha wakunga wanawake wakatibiane huko mahospitalini.

Ujinga mwingine ni kuendekeza tuu.
 
Shida yako ni nini?Mwanaume kuangalia tupu ya kike?Maisha ya leo bado umevalisha ubongo wako hijab?Utalala sana.
 
Kabisa kiongoz lakin wapo watu wanalitazama hili in negative way kwa uelewa wao mdogo pasi na kuangalia madhara yatokanayo hili, narudia kusema yule si robot ni mwanadamu ana matamanio.
 
Ndugu yangu ata kama ni wew labda tukubaliane madocta huwa wanapigwa sindano za kupunguza matamanio lakin kama sivyo ni uongo.
Acha mawazo hayo ndugu.Ni kweli unaweza kuanguka mtegoni.Lakini,maadili ya kazi yapewe kipaumbele.Laa sivyo,wafwaaaa!Miaka "salasini" jela itakuhusu.Chagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…