FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.
Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuanza kuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longolongo.
Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.
Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.
Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.
Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.
Faida zake:
1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mizigo na abiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.
2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.
3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.
4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.
5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"
6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).
Always the simplest of ideas ndizo bora.