Tafakuri ya FaizaFoxy 9: Ushauri kwa Rais Samia, Dr. Hussein Mwinyi na Watanzania wote kuhusu Uchumi wa Bandari wenye tija

Tafakuri ya FaizaFoxy 9: Ushauri kwa Rais Samia, Dr. Hussein Mwinyi na Watanzania wote kuhusu Uchumi wa Bandari wenye tija

Mwarabu anakaa jangwani hata ukimpangisha nyumba yenye miti anakata yote anasema miti inaleta majini,iweje ndio atake kupewa kusimamia Mali asili zetu wakati ajui hata miti inapandwaje.
Je usalama wa wanyama wetu utakuaje, usalama wa madini yetu mbugani utakuaje.
Rejea kauli "wanyama hawali madini kwann wasipewe watu wachimbe madini kwenye hifadhi zetu" hii kauli inaendana na mambo Tete yanayoendelea mara sijui sheria za maliasili kubadilishwa,mara sijui nini
Umeiona mada hapa Unaonesha umelala usingizi mzito sana.

Jangwa wanalifanya hivi Waarabu:

Yani una hisi ni gharama nafuu kila siku kila saa kila dakika kuungurumisha treni kwenye maji kufata mizigo unguja kuileta bagamoyo kuliko meli kutia nanga moja kwa moja bagamoyo na wakati huo huo bandari ya Dsm ina fanya kazi!?

Fikiri upya tengeneza mkakati wako upya! Labda iwe ya kusafirisha abiria na mizigo yao lakini sio useme tujenge kwa ajili ya bandari ambayo ipo zenji na bagamoyo iwe bandari kavu kazi kupokea makontena toka unguja!

Bandari ya Bagamoyo itajengwa tu nakuakikishia itajengwa ata kama sio sasa Au awamu hii ila itajengwa tu! Na tutaongeza ufanisi na wigo wa utoaji huduma na kuingiza mapato zaidi!
Sasa hivi unafanyaje?

Fikiri.
 
Mawazo ya kiujima
Fikiri, ikiwa kinchi kidogo kama Dubai kinajenga reli ya chini maji ya kilomita 2000 kwenda Mumbai jiulize kwanini?

Nchi kama.Uingereza na Ufaranza zilishajenga tunnel lantrain la.kilometer 50.

Sisi na Unguja tuna plan ya daraja la juu ya bahri kilomita 25, ambalo sana sana litakuwa la magari na mabasi tu. kwanini tusiachane na daraja tujenge tunnel la reli ya chini ya bahari? Ina tija zaidi.
 
Hayo yote yatakuwa kazi bure iwapo bandari akikabidhiwa DP Wrld

Kwasababu katika moja ya vipengele vya mkataba kuna section imesema "na njia zingine za usafirishaji"

Maana yake waarabu ndio watakuwa watu wakwanza kunufaika na huo mradi wa submarine tunnel.

Sasa kama kweli unataka maslahi mapana ya nchi basi anza sasa kukataa huu mkataba ili Dp World wasipewe bandari.
Huyu bibi mswahili hakijui hata kile anachokijadili hapa, ndio maana sasa tunamuangalia tu anavyohangaika humu.
 
Ujinga mtupu! Kwanini uwekeze kusipokupa faida. Badala ya kuwekeza Mainland unawekeza Zanzibar na ufanye biashara Mainland. Hiyo ni akili au upunguani
 
Kinacho wasumbuwa ni kwamba, fungu walilo katiwa wameisha gawana viongozi wetu na tunavyo endelea kupinga wanachanganyikiwa na hii imewakaa kooni. Utasitishaje wakati vya watu umekula?😷
 
SHIDA KUBWA WALISHATOA KABLA YA KUOMBA LIDHAA KWA WANANCHI WANAKATAAJE SASA.?
 
Hayo yote yatakuwa kazi bure iwapo bandari akikabidhiwa DP Wrld

Kwasababu katika moja ya vipengele vya mkataba kuna section imesema "na njia zingine za usafirishaji"

Maana yake waarabu ndio watakuwa watu wakwanza kunufaika na huo mradi wa submarine tunnel.

Sasa kama kweli unataka maslahi mapana ya nchi basi anza sasa kukataa huu mkataba ili Dp World wasipewe bandari.
Kwani huyo Dp world bado hajakabidhiwa hiyo Bandari?

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga mtupu! Kwanini uwekeze kusipokupa faida. Badala ya kuwekeza Mainland unawekeza Zanzibar na ufanye biashara Mainland. Hiyo ni akili au upunguani
Kijana huelewi maana ya bandari na gharama zake. Ni heri ujisomee.

Soma japo historia ya bandari ya Zanzibar, labda utanielewa.
 
Ukinisoma vizuri nimesema ijengwe bandari kubwa Zanzibar. Obviously ikisha kuwa ni gateway na hub ya Afrika, haina budi, ikitaka isitake inakuwa ni freeport.
Harafu mzigo ukishuka Zanzibar unalipiwa ushuru wa transit, ukifika Bagamoyo ushuru tena! Wazo lako linaweza kuwa bora labda kuwe na muungano kamili wa serikali moja na TRA moja kote.
 
Faiza anataka Watanganyika tukafuate mzigo katika nchi jirani ya Zanzibar wakati na sisi tuna bahari.

Anataka kuifanya nchi yetu ya Tanganyika landlocked country wakati tuna bahari. Hakuna Mtanganyika mwenye akili anaweza kukubaliana na kitu kama hiki.

Hii itaongeza gharama za mzigo kwetu na kufanya bidhaa zetu ziwe ghali.

Halafu kwa kuwa Wazaznzibar waliziondoa bandari zao kwenye mambo ya muungano kimyakimya maana yake ni kuwa hela za bandari zitanufaisha nchi jirani ya Zanzibar huku Tanganyika ikiambulia vijisenti.
 
Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.

Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.

Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.

Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.

Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.

Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.

Faida zake:

1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.

2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.

3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.

4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.

5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"

6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).

Always the simplest of ideas ndizo bora.
Eti tujenge tujenge tujenge🤣🤣🤣

Utajenga kwa pesa zipi?

Hizi za Pombe Kali, Bia, Kamari na Sigara???

Au labda uhonge bure kw wanaojua kutumia
 
Attachments

  • IMG_20230810_185040.jpg
    IMG_20230810_185040.jpg
    480.6 KB · Views: 2
Nafahamu kuwa ndiyo mwisho wa muono wako, sikulaumu. Utanikumbuka utapopata muono mpana
miaka 35 kuanzia leo (kama utaupata).

Kwenu wapi?
Angelea kijana hoja kama hii nisingesema neno maana ni upeo wao, ila kutoka kwa mtu kama wewe ni aibu tupu
 
Huyu bibi mswahili hakijui hata kile anachokijadili hapa, ndio maana sasa tunamuangalia tu anavyohangaika humu.
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Sasa kwa ninin tuingie gaharama ya kujenga tunnel chini ya bahari wakati sisi tuna bahari?
 
Harafu mzigo ukishuka Zanzibar unalipiwa ushuru wa transit, ukifika Bagamoyo ushuru tena! Wazo lako linaweza kuwa bora labda kuwe na muungano kamili wa serikali moja na TRA moja kote.
Hapana. Zanzibar wanachukuwa huduma tu za bandari (port charges). Kumbuka, itakuwa ni freeport.

Muungano unachukuwa kodi na tozo zingine zote zitazohusika.
 
Back
Top Bottom