Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew na wazo lako wote nimewapenda WallahKwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.
Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.
Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.
Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.
Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.
Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.
Faida zake:
1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.
2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.
3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.
4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.
5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"
6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).
Always the simplest of ideas ndizo bora.
MTU amesoma madrsa unategemea atakuwaje,kama sio kuandika pumbaSikuwahi kujua kama una akili ndogo hivi.
Wew mwenye akili kubwa tunasubir utupe mbadala wa alichowasilisha mtoa madaSikuwahi kujua kama una akili ndogo hivi.
Mawazo ya alfu lela ulela haya, umelala kitanda cha nani leo!Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.
Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.
Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.
Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.
Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.
Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.
Faida zake:
1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.
2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.
3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.
4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.
5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"
6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).
Always the simplest of ideas ndizo bora.
MmmmhKwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.

YesKwani bandari ni jambo la muungano?
Ningekuelewa kama ungeshauri tuwe na Tanganyika huru na Zanzibar huru, tudumishe ujirani mwemaKwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.
Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.
Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.
Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.
Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.
Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.
Faida zake:
1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.
2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.
3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.
4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.
5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"
6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).
Always the simplest of ideas ndizo bora.
Naunga mkono hoja, hongera na ubarikiwe sanaKwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.
Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.
Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.
Always the simplest of ideas ndizo bora.
kwa makubaliano gani wakati bandari imeshawekwa nje ya mambo ya muungano. Zaidi ya hapo kila serikali ikiingia inakuja na sera zake. Yaani unataka kodi za Tanganyika zikajenge bandari Unguja, underground way kuja huku wakati kero za muungano zinaongezeka. Kuna vitu bila muungano kamili havitekelezeki. Tumalize kwanza la DpwHapana. Zanzibar wanachukuwa huduma tu za bandari (port charges). Kumbuka, itakuwa ni freeport.
Muungano unachukuwa kodi na tozo zingine zote zitazohusika.
Ushauri wa kiboya huu sijapata ona..!!!Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.
Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.
Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.
Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.
Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.
Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.
Faida zake:
1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.
2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.
3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.
4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.
5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"
6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).
Always the simplest of ideas ndizo bora.
Binafsi siungi mkono wazo la FaizaFoxy kwa sababu zifuatazo;Naunga mkono hoja, hongera na ubarikiwe sana
P
Usiseme tu kirahisi kwamba haijalishi..!! Weka kinachokufanya uamini hivyo. Hivi sasa unajuwa kuna kero za muungano na kuna mambo yasiyo ya muungano..!!Haijalishi.
Huu ushauri wangu haujalishi iwe ya Muungano au isiwe ya Muungano. Ni win win situation.
Ushauri wangu umelenga uchumi wa siku za usoni zaidi.
Hahahaaa huyo kichwani ni empty set mkuu, yani sijui anawaza utopolo gani.Sikuwahi kujua kama una akili ndogo hivi.
Haijalishi kuna Muungano au hakuna, haijalishinkuna DPW au hakuna.kwa makubariano gani wakati bandari imeshawekwa nje ya mambo ya muungano. Zaidi ya hapo kila serikali ikiingia inakuja na sera zake. Yaani unataka kodi za Tanganyika zikajenge bandari Unguja, underground way kuja huku wakati kero za muungano zinaongezeka. Kuna vitu bila muungano kamili havitekelezeki. Tumalize kwanza la Dpw