Tafakuri ya FaizaFoxy 9: Ushauri kwa Rais Samia, Dr. Hussein Mwinyi na Watanzania wote kuhusu Uchumi wa Bandari wenye tija

Umeiona mada hapa Unaonesha umelala usingizi mzito sana.

Jangwa wanalifanya hivi Waarabu:

 
Sasa hivi unafanyaje?

Fikiri.
 
Mawazo ya kiujima
Fikiri, ikiwa kinchi kidogo kama Dubai kinajenga reli ya chini maji ya kilomita 2000 kwenda Mumbai jiulize kwanini?

Nchi kama.Uingereza na Ufaranza zilishajenga tunnel lantrain la.kilometer 50.

Sisi na Unguja tuna plan ya daraja la juu ya bahri kilomita 25, ambalo sana sana litakuwa la magari na mabasi tu. kwanini tusiachane na daraja tujenge tunnel la reli ya chini ya bahari? Ina tija zaidi.
 
Huyu bibi mswahili hakijui hata kile anachokijadili hapa, ndio maana sasa tunamuangalia tu anavyohangaika humu.
 
Ujinga mtupu! Kwanini uwekeze kusipokupa faida. Badala ya kuwekeza Mainland unawekeza Zanzibar na ufanye biashara Mainland. Hiyo ni akili au upunguani
 
Kinacho wasumbuwa ni kwamba, fungu walilo katiwa wameisha gawana viongozi wetu na tunavyo endelea kupinga wanachanganyikiwa na hii imewakaa kooni. Utasitishaje wakati vya watu umekula?😷
 
SHIDA KUBWA WALISHATOA KABLA YA KUOMBA LIDHAA KWA WANANCHI WANAKATAAJE SASA.?
 
Kwani huyo Dp world bado hajakabidhiwa hiyo Bandari?

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga mtupu! Kwanini uwekeze kusipokupa faida. Badala ya kuwekeza Mainland unawekeza Zanzibar na ufanye biashara Mainland. Hiyo ni akili au upunguani
Kijana huelewi maana ya bandari na gharama zake. Ni heri ujisomee.

Soma japo historia ya bandari ya Zanzibar, labda utanielewa.
 
Ukinisoma vizuri nimesema ijengwe bandari kubwa Zanzibar. Obviously ikisha kuwa ni gateway na hub ya Afrika, haina budi, ikitaka isitake inakuwa ni freeport.
Harafu mzigo ukishuka Zanzibar unalipiwa ushuru wa transit, ukifika Bagamoyo ushuru tena! Wazo lako linaweza kuwa bora labda kuwe na muungano kamili wa serikali moja na TRA moja kote.
 
Faiza anataka Watanganyika tukafuate mzigo katika nchi jirani ya Zanzibar wakati na sisi tuna bahari.

Anataka kuifanya nchi yetu ya Tanganyika landlocked country wakati tuna bahari. Hakuna Mtanganyika mwenye akili anaweza kukubaliana na kitu kama hiki.

Hii itaongeza gharama za mzigo kwetu na kufanya bidhaa zetu ziwe ghali.

Halafu kwa kuwa Wazaznzibar waliziondoa bandari zao kwenye mambo ya muungano kimyakimya maana yake ni kuwa hela za bandari zitanufaisha nchi jirani ya Zanzibar huku Tanganyika ikiambulia vijisenti.
 
Eti tujenge tujenge tujenge🤣🤣🤣

Utajenga kwa pesa zipi?

Hizi za Pombe Kali, Bia, Kamari na Sigara???

Au labda uhonge bure kw wanaojua kutumia
 

Attachments

  • IMG_20230810_185040.jpg
    480.6 KB · Views: 2
Nafahamu kuwa ndiyo mwisho wa muono wako, sikulaumu. Utanikumbuka utapopata muono mpana
miaka 35 kuanzia leo (kama utaupata).

Kwenu wapi?
Angelea kijana hoja kama hii nisingesema neno maana ni upeo wao, ila kutoka kwa mtu kama wewe ni aibu tupu
 
Huyu bibi mswahili hakijui hata kile anachokijadili hapa, ndio maana sasa tunamuangalia tu anavyohangaika humu.
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Sasa kwa ninin tuingie gaharama ya kujenga tunnel chini ya bahari wakati sisi tuna bahari?
 
Harafu mzigo ukishuka Zanzibar unalipiwa ushuru wa transit, ukifika Bagamoyo ushuru tena! Wazo lako linaweza kuwa bora labda kuwe na muungano kamili wa serikali moja na TRA moja kote.
Hapana. Zanzibar wanachukuwa huduma tu za bandari (port charges). Kumbuka, itakuwa ni freeport.

Muungano unachukuwa kodi na tozo zingine zote zitazohusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…