Tafakuri ya FaizaFoxy 9: Ushauri kwa Rais Samia, Dr. Hussein Mwinyi na Watanzania wote kuhusu Uchumi wa Bandari wenye tija

Wew na wazo lako wote nimewapenda Wallah
 
Mlivyobinafsisha hadi sasa inatosha jamani
Acheni awamu nyingine nayo ipate muda wa kutafakari.

Kwanini mnataka kubinafsisha kila kitu hii awamu?
Tena mnabinafsisha kwa jamii moja tu ya Kiarabu?

Hebu fanyeni mambo mengine baada ya kurekebisha huo Mkataba wa DPW au kuachana nao.

Huku nje wapo wenye akili na busara wengi tu wapeni nafasi nao.

Kwa awamu hii inatosha kwa hayo mliyo yauza.
Ni Dubai Dubai kila kukicha. Huko Dubai kuna nini cha kipekee?

Mshaulini hivyo Mwenyekiti.
 
Mawazo ya alfu lela ulela haya, umelala kitanda cha nani leo!
 
Mmmmh
 
Ningekuelewa kama ungeshauri tuwe na Tanganyika huru na Zanzibar huru, tudumishe ujirani mwema
 
Naunga mkono hoja, hongera na ubarikiwe sana
P
 
Hapana. Zanzibar wanachukuwa huduma tu za bandari (port charges). Kumbuka, itakuwa ni freeport.

Muungano unachukuwa kodi na tozo zingine zote zitazohusika.
kwa makubaliano gani wakati bandari imeshawekwa nje ya mambo ya muungano. Zaidi ya hapo kila serikali ikiingia inakuja na sera zake. Yaani unataka kodi za Tanganyika zikajenge bandari Unguja, underground way kuja huku wakati kero za muungano zinaongezeka. Kuna vitu bila muungano kamili havitekelezeki. Tumalize kwanza la Dpw
 
Ushauri wa kiboya huu sijapata ona..!!!
 
Naunga mkono hoja, hongera na ubarikiwe sana
P
Binafsi siungi mkono wazo la FaizaFoxy kwa sababu zifuatazo;

1. Sioni kwanini hayo anayoyasema yasifanywe Bagamoyo

2. Sioni kule kuna nini hasa kinachosababisha hayo anayoyasema yafanyike kule.

3. Bandari siyo jambo la muungano. ndiyo kusema vya bara vinaenda Zanzibar wakati havipo kwenye muungano.

4. Kero za muungano zimeainishwa na zipo wazi. Kusipowekwa juhudi mahususi za kutatua kero za muungano, project za aina hii, hata kama ni sehemu ya muungano, hazitafanikiwa ngóo. Hii ni kwa sababu kila mtendaji wa kwenye project husika, atawaza na kutenda kwa ubara na uzanzibari
 
Haijalishi.

Huu ushauri wangu haujalishi iwe ya Muungano au isiwe ya Muungano. Ni win win situation.

Ushauri wangu umelenga uchumi wa siku za usoni zaidi.
Usiseme tu kirahisi kwamba haijalishi..!! Weka kinachokufanya uamini hivyo. Hivi sasa unajuwa kuna kero za muungano na kuna mambo yasiyo ya muungano..!!
 
Haijalishi kuna Muungano au hakuna, haijalishinkuna DPW au hakuna.

Huu ushauri wangu haujalishi iwe ya Muungano au isiwe ya Muungano. Ni win win situation.

Ushauri wangu umelenga uchumi wa siku za usoni zaidi.


Dubai na India wana Muungano upi? Wanaplan kujenga tunnel la kilomita 2000.

Ufaransa na Uingereza wamejenga la kilomita 50.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…