Tafakuri ya FaizaFoxy 9: Ushauri kwa Rais Samia, Dr. Hussein Mwinyi na Watanzania wote kuhusu Uchumi wa Bandari wenye tija

Haijalishi kuna Muungano au hakuna, haijalishinkuna DPW au hakuna.

Huu ushauri wangu haujalishi iwe ya Muungano au isiwe ya Muungano. Ni win win situation.

Ushauri wangu umelenga uchumi wa siku za usoni zaidi.

Dubai na India wana Muungano upi? Wanaplan kujenga tunnel la kilomita 2000.

Ufaransa na Uingereza wamejenga la kilomita 50.
[emoji7]
 
Huwezi kufanya hayo kama DPW atapewa mkataba kama ulivyo sasa.

Hayo mamlaka yatakuwa ya DPW.
Ndio maana watu wanasema mkataba urekebishwe au uachwe na hawana nia mbaya wala ubaguzi ni wapo makini tu.

Mkataba unasema fulsa zote za Bandari zote hazitafanywa na yeyote bila ridhaa na ruhusa ya DPW.

Tunavyo ongea ongea msidhani tunatania.
Tunailinda Tanzania dhidi ya hila za Wakoloni Mambo Leo.

Soma ewe Nabii Ummi.

'iiqra ya nabi 'umiy
إقرأ يا نبي أمي
Kwani Faiza Foxy ni "nabii" ?!!!

Hivi mlikwenda madawatini kusomea "kupakwa mafuta"?!!![emoji1787][emoji15][emoji15]
 
Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.

Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.

Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.

Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.

Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.

Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.

Faida zake:

1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.

2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.

3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.

4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.

5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"

6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).

Always the simplest of ideas ndizo bora.
Huu ni utumbo mtupu kabisa maana haya yote uliyo yaongea hayatawezekana mpaka tuu makataba wa DP world na Tanganyika uvunjwe au baadhi ya vipengele vibadilishwe..,.

Hivi umeelewa kweli ule mkataba?
Hakuna ulichokitaja kinawezekana chini ya jua la Tanganyika kama mkataba ule wa DP world utaendelea kubaki kama ulivyo!
Hadi sasa hayo yote hatuna nguvu ya kuyafanya mpaka tumuombe au DP world ahamue mwenyewe kufanya…..! Hiyo ardhi yote ni mali ya DP world!

Hapa unajilisha upepo tuu na kujitekenya na kucheka mwenyewe……
 
Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.

Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.

Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.

Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.

Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.

Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.

Faida zake:

1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.

2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.

3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.

4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.

5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"

6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).

Always the simplest of ideas ndizo bora.
Wazo lako lingewezekana kama Tanzania ingekuwa nchi moja yenye katiba moja lakini kwa muundo huu wa serikali mbili na hata zingekuwa tatu haiwezekani! Pale ambapo Wazanzibari watakoma kujiita nchi na Watanganyika wataacha kudai serikali yao bila shaka mpango wako ungepokelewa kwa mikono miwili!
 
Ukinisoma vizuri nimesema ijengwe bandari kubwa Zanzibar. Obviously ikisha kuwa ni gateway na hub ya Afrika, haina budi, ikitaka isitake inakuwa ni freeport.
Bandari, Wazanzibari walishaliondoa kwenye mambo ya Muungano. Hivyo hakuna uwezekano wa Serukali ya Tanzania kwenda kujenga bandari Zanzibar. Labda uwashauri SMZ wawaombe DP wakawajengee bandari Zanzibar.
 
Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.

Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.

Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.

Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.

Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.

Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.

Faida zake:

1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.

2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.

3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.

4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.

5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"

6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).

Always the simplest of ideas ndizo bora.
Tanganyika ni nchi nyingine ambayo sio land locked. Inayo ardha ya kutosha kufanyia shughuli zake. Haihitaji Zanzibar - nchi ingine, yenye mamlaka yake!
 
Haijalishi kuna Muungano au hakuna, haijalishinkuna DPW au hakuna.

Huu ushauri wangu haujalishi iwe ya Muungano au isiwe ya Muungano. Ni win win situation.

Ushauri wangu umelenga uchumi wa siku za usoni zaidi.

Dubai na India wana Muungano upi? Wanaplan kujenga tunnel la kilomita 2000.

Ufaransa na Uingereza wamejenga la kilomita 50.
Hiyo "win win situation" ndiyo inaleta maswali. Je, kuna mashindano kati ya bara na visiwani? Kama bara na visiwani ni nchi moja, kwann ujenge Bandari Unguja na uitapishe tena migo pwani nyingine ya nchi hiyohiyo moja? Ushauri wako ni wa kisiasa zaidi kuliko faida za kiuchumi.
 
Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.

Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.

Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.

Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.

Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.

Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.

Faida zake:

1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.

2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.

3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.

4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.

5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"

6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).

Always the simplest of ideas ndizo bora.
Tuwajengee Zanzibar yenu kwa pesa zetu eeh? Umechemka.
 
Mpaka unakufa HAITOPATIKANA...

Usiwe mjinga....wakati babu zetu wakipambana na mjerumani Vita vya majimaji na kumwaga damu zao....si mababu wote wa nchi hii walituunga mkono....kwa hiyo TANGANYIKA haikuwa moja....haikuwahi kuwa moja hivyo utakavyo........

Hayati baba wa taifa alikuwa sahihi "kuifuta"....

Resty easy El Commandante JKN ,amen[emoji120]
Nani angeweza kuamini kubwa USSR ingesambaratika kirahisi vile, wewe ni myopic
 
Bandari si jambo la muungano.
Sidhani kama kuna mantiki
 
Hakuna haja ya kujenga tunnel ya treni, huo mradi ni white elephant project hauna manufaa.

Bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar zote hazina sehemu ya kupaki (gati) meli kubwa za Abiria na Cruise ship. Hii ndio inatakiwa ijengwe hapo Posta sehemu ya abiria kupandia boti ni kama unaingia kariakoo shimoni. Inabidi ijengwe underground parking na tunnel road ya kuingia na kutoka hapo.

Volume ya mizigo ya kutoka Dar kwenda Zanzibar ni ndogo saizi PMM kaleta meli ya Judith Milembe inabeba empty container na magari au full containers za transhipment zinabebwa na meli za Dar Zanzibar.
 
Huwezi kufanya hayo kama DPW atapewa mkataba kama ulivyo sasa.

Hayo mamlaka yatakuwa ya DPW.
Ndio maana watu wanasema mkataba urekebishwe au uachwe na hawana nia mbaya wala ubaguzi ni wapo makini tu.

Mkataba unasema fulsa zote za Bandari zote hazitafanywa na yeyote bila ridhaa na ruhusa ya DPW.

Tunavyo ongea ongea msidhani tunatania.
Tunailinda Tanzania dhidi ya hila za Wakoloni Mambo Leo.

Soma ewe Nabii Ummi.

'iiqra ya nabi 'umiy
إقرأ يا نبي أمي
Hakuna mkataba wowote na DPW.

Hapa mada ni badala ya kufikiria daraja serikali na wakuu wa nchi hizi mbili wafikirie tunnel.
 
Hakuna haja ya kujenga tunnel ya treni, huo mradi ni white elephant project hauna manufaa.

Bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar zote hazina sehemu ya kupaki (gati) meli kubwa za Abiria na Cruise ship. Hii ndio inatakiwa ijengwe hapo Posta sehemu ya abiria kupandia boti ni kama unaingia kariakoo shimoni. Inabidi ijengwe underground parking na tunnel road ya kuingia na kutoka hapo.

Volume ya mizigo ya kutoka Dar kwenda Zanzibar ni ndogo saizi PMM kaleta meli ya Judith Milembe inabeba empty container na magari au full containers za transhipment zinabebwa na meli za Dar Zanzibar.
Haina faida? Watu wanafikiri kujenga kinchi kidogo ambacho ukubwa wake ni kama wilaya moja tu ya Tanzania?

Tanzania kwa mradi huu, Zanzibar nzima igeuzwe Freeport, train kilometer 25 ni dakika 10 tu, na mizigo mingi haitakuwa hata na haja ya kudondoshwa Bagamoyyo. Bagamoyo ni shunting tu, haina haja ya kuwa na bandari kubwa ya kwenye maji.

Hizi ni fikra chanya za maendeleo.
 
Back
Top Bottom