Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.
Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.
Faida zake:
1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mizigo na abiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.
Not economically viable , yaani mizigo ishuke Zanzibar ianze safari ya DRC au Rwanda badala ya kushuka Dar au Bagamoyo na kuendelea na safari. Hatutapata wateja.
Kuna airport kubwa hadi sasa! kinacho determine performance ya airport ni fursa kama za biashara na utalii.
Kilimanjaro airport ina manufaa makubwa kiuchumi kuliko ile ya Zanzibar kwa namna zozote
Kama hub ya EAC, karibu na major attractions za dunia. Kari bu na madini
Karibu na chumi kubwa za EAC na karibu na population kubwa za Arusha, Moshi, Mwanza, Dodoma n.k
2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.
Hili lilikuwa kosa kubwa sana alilofanya Magufuli. Technically hakukuwa na tatizo, Bagamoyo ipo katika nafasi nzuri kijiografia, Wawekezaji walishapatikana na faida zake zilishaelezwa. Magufuli alikataa kwa chuki tu hakuwa na sababu yoyote ya maana.
3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.
Not economically viable
6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).
Always the simplest of ideas ndizo bora.
Hakuna malumbano ya kuoneana kati ya Tanganyika na Zanzibar.
Kuna tatizo la kubebeshana mzigo halafu fursa zinagawanywa.
Kuna tatizo la kutowajibika kwa Zanzibar katika Muungano
Malumbao yatoke wapi wakati Bajeti ya Wizara ya ulinzi ni 2.7 T ile ya SMZ ni 2.8T. !!!!
Magufuli alipokataza uingizaji holela wa bidhaa za viwango duni kutoka Zanzibar hakuna anayekumbuka.
Watu hawakujua kuna tatizo kama hilo kwasababu halikuwagusa kwa namna yoyote
Mgomo wa soko la Kariakoo nchi nzima ilizizima zikiwemo wa jirani.