Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji7]Haijalishi kuna Muungano au hakuna, haijalishinkuna DPW au hakuna.
Huu ushauri wangu haujalishi iwe ya Muungano au isiwe ya Muungano. Ni win win situation.
Ushauri wangu umelenga uchumi wa siku za usoni zaidi.
Dubai na India wana Muungano upi? Wanaplan kujenga tunnel la kilomita 2000.
Ufaransa na Uingereza wamejenga la kilomita 50.
Nje ya mada!Wabunge wamepanga foleni ya Kitubio na Kubusu mkono wa Baba Mtakatifu Papa Francisco huko Vatican!
Kwani Faiza Foxy ni "nabii" ?!!!Huwezi kufanya hayo kama DPW atapewa mkataba kama ulivyo sasa.
Hayo mamlaka yatakuwa ya DPW.
Ndio maana watu wanasema mkataba urekebishwe au uachwe na hawana nia mbaya wala ubaguzi ni wapo makini tu.
Mkataba unasema fulsa zote za Bandari zote hazitafanywa na yeyote bila ridhaa na ruhusa ya DPW.
Tunavyo ongea ongea msidhani tunatania.
Tunailinda Tanzania dhidi ya hila za Wakoloni Mambo Leo.
Soma ewe Nabii Ummi.
'iiqra ya nabi 'umiy
إقرأ يا نبي أمي
Huu ni utumbo mtupu kabisa maana haya yote uliyo yaongea hayatawezekana mpaka tuu makataba wa DP world na Tanganyika uvunjwe au baadhi ya vipengele vibadilishwe..,.Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.
Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.
Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.
Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.
Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.
Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.
Faida zake:
1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.
2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.
3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.
4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.
5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"
6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).
Always the simplest of ideas ndizo bora.
Unasema gharama ni nafuu sana kulinganisha na zipi? Kwani "shingapi" ?5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"
Wazo lako lingewezekana kama Tanzania ingekuwa nchi moja yenye katiba moja lakini kwa muundo huu wa serikali mbili na hata zingekuwa tatu haiwezekani! Pale ambapo Wazanzibari watakoma kujiita nchi na Watanganyika wataacha kudai serikali yao bila shaka mpango wako ungepokelewa kwa mikono miwili!Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.
Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.
Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.
Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.
Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.
Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.
Faida zake:
1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.
2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.
3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.
4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.
5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"
6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).
Always the simplest of ideas ndizo bora.
Bandari, Wazanzibari walishaliondoa kwenye mambo ya Muungano. Hivyo hakuna uwezekano wa Serukali ya Tanzania kwenda kujenga bandari Zanzibar. Labda uwashauri SMZ wawaombe DP wakawajengee bandari Zanzibar.Ukinisoma vizuri nimesema ijengwe bandari kubwa Zanzibar. Obviously ikisha kuwa ni gateway na hub ya Afrika, haina budi, ikitaka isitake inakuwa ni freeport.
Tanganyika ni nchi nyingine ambayo sio land locked. Inayo ardha ya kutosha kufanyia shughuli zake. Haihitaji Zanzibar - nchi ingine, yenye mamlaka yake!Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.
Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.
Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.
Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.
Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.
Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.
Faida zake:
1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.
2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.
3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.
4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.
5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"
6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).
Always the simplest of ideas ndizo bora.
Kwako Wewe!Nje ya mada!
Hiyo "win win situation" ndiyo inaleta maswali. Je, kuna mashindano kati ya bara na visiwani? Kama bara na visiwani ni nchi moja, kwann ujenge Bandari Unguja na uitapishe tena migo pwani nyingine ya nchi hiyohiyo moja? Ushauri wako ni wa kisiasa zaidi kuliko faida za kiuchumi.Haijalishi kuna Muungano au hakuna, haijalishinkuna DPW au hakuna.
Huu ushauri wangu haujalishi iwe ya Muungano au isiwe ya Muungano. Ni win win situation.
Ushauri wangu umelenga uchumi wa siku za usoni zaidi.
Dubai na India wana Muungano upi? Wanaplan kujenga tunnel la kilomita 2000.
Ufaransa na Uingereza wamejenga la kilomita 50.
Tuwajengee Zanzibar yenu kwa pesa zetu eeh? Umechemka.Kwa nia njema kabisa, kwa mustakabali wa Taifa lenye tija na malengo ya miaka 200 mbele.
Hii yangu ni simple na straight forward idea ambayo inaweza kuwnzamkuwa "implemented" kesho. Ni kuamuwa tu haina longo longo.
Hakuna shaka kabisa kuwa dunia nzima sasa hivi inaitazama na kuichungulia Afrika inaelekea wapi kiuchumi.
Ushauri wangu, wakati tunaendelea kulumbana mtandaoni kuhusu vijigati vinne vya bandari ya Dar. Tuanzishe mradi mkubwa na wakipekee ambao utakuwa ni win win situation kwa Tanzania nzima.
Tuanze ujenzi wa pango la treni ya chini ya bahari (submarine tunnel railway) baina ya Unguja na Bagamoyo.
Tuwachane kabisa na fikra za kizamani za kuweka daraja baina ya Unguja na bagamoyo.
Faida zake:
1) Unguja yote ndiyo ijengwe bandari kubwa na Airport kubwa ziwe ndiyo (gateway) hub ya mixigo nw wbiria wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Kijiografia, pwani yetu pamoja na Unguja ndiyo kitovu cha Afrika. Tuitumie fursa.
2) Ujenzi wa bandari ya kwenye maji ya Bagamoyo usitishwe na gharama zake ziende kwenye ujenzi wa tunnel.
3) Bagamoyo ijengwe bandari kubwa ya nchi kavu itakayokuwa inapokea treni kutoka Zanzibar na kutawanya (,shunting) mabehewa yote. Hii ni gharama nafuu sana.
4) bandari ya Dar iendelee kuboreshwa (areform) kwa na kuwa hub ya huduma za bandari za pwani yetu yote.
5) Utekelezqji wa Hili gharama zake ni nafuu sana na ni "highly practical"
6) Eala hatutakuwa na malumbano ya kuoneana kiuchumi katika Muungano (win win situation).
Always the simplest of ideas ndizo bora.
Nani angeweza kuamini kubwa USSR ingesambaratika kirahisi vile, wewe ni myopicMpaka unakufa HAITOPATIKANA...
Usiwe mjinga....wakati babu zetu wakipambana na mjerumani Vita vya majimaji na kumwaga damu zao....si mababu wote wa nchi hii walituunga mkono....kwa hiyo TANGANYIKA haikuwa moja....haikuwahi kuwa moja hivyo utakavyo........
Hayati baba wa taifa alikuwa sahihi "kuifuta"....
Resty easy El Commandante JKN ,amen[emoji120]
Hujui kama FaizaFoxy, ni Nabii kumbe...!Kwani Faiza Foxy ni "nabii" ?!!!
Hivi mlikwenda madawatini kusomea "kupakwa mafuta"?!!![emoji1787][emoji15][emoji15]
Kwani daraja linataka kujengwa na nani?Hiyo kazi atafanya DP WORLD au sisi tujenge alafu tumpe DP WORLD?
Hakuna mkataba wowote na DPW.Huwezi kufanya hayo kama DPW atapewa mkataba kama ulivyo sasa.
Hayo mamlaka yatakuwa ya DPW.
Ndio maana watu wanasema mkataba urekebishwe au uachwe na hawana nia mbaya wala ubaguzi ni wapo makini tu.
Mkataba unasema fulsa zote za Bandari zote hazitafanywa na yeyote bila ridhaa na ruhusa ya DPW.
Tunavyo ongea ongea msidhani tunatania.
Tunailinda Tanzania dhidi ya hila za Wakoloni Mambo Leo.
Soma ewe Nabii Ummi.
'iiqra ya nabi 'umiy
إقرأ يا نبي أمي
Haina faida? Watu wanafikiri kujenga kinchi kidogo ambacho ukubwa wake ni kama wilaya moja tu ya Tanzania?Hakuna haja ya kujenga tunnel ya treni, huo mradi ni white elephant project hauna manufaa.
Bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar zote hazina sehemu ya kupaki (gati) meli kubwa za Abiria na Cruise ship. Hii ndio inatakiwa ijengwe hapo Posta sehemu ya abiria kupandia boti ni kama unaingia kariakoo shimoni. Inabidi ijengwe underground parking na tunnel road ya kuingia na kutoka hapo.
Volume ya mizigo ya kutoka Dar kwenda Zanzibar ni ndogo saizi PMM kaleta meli ya Judith Milembe inabeba empty container na magari au full containers za transhipment zinabebwa na meli za Dar Zanzibar.