Tafiti mpya yabainisha ubora wa kinywaji kijulikanacho kama mbege!

Mimi ninachoona mbege zote kule uchagani ni nzuri ukutane tu na anaejua kuitengeneza... Nikienda nyumbani wananishangaa namnunulia mtu bia alafu mimi nakunywa mbege ambayo inauzwa Tsh 5oo kwa lita
Kwangu mimi kuna mbege zinanishinda asee ,kuna siku pale useri nilikunywa mbege nikachanganyiwa na dadii ikabidi nilale mashati kwenye ile hotel yani nililewa kama siku 3
 
Kwangu mimi kuna mbege zinanishinda asee ,kuna siku pale useri nilikunywa mbege nikachanganyiwa na dadii ikabidi nilale mashati kwenye ile hotel yani nililewa kama siku 3
Wahuni walikuchanganyia πŸ˜‚πŸ˜‚. Mbege ya kule ukiinywa asubuh hadi saa saba nguvu yake ni ndogo sana unaweza kunywa lita kadhaa... Ikishafika jioni nguvu yake huongezeka mara dufu lakini kwa wale makonki wa pombe bado wanaweza kunywa nyingi
 
Kaka usichokijua mbege inaongeza umri wa kuishi kama unainywa tu peke yake bila Ma bia na pombe nyingne
walevi bana kwa kupeana matumaini
hiyo mbege sio kitu cha kushindia meku zamani wazee huko vijijini waliwatesa sana wake zao kwa kuwachumisha kahawa hadi vidole vinakakamaa,wakipata pesa USHIRIKA wanakimbilia kwenye mambege sasa hawana nguvu wanachezea kipigo haswa nenda huko kibosho ujione vituko mkuu na unambiwa sio huko tuh bali vijiji vingi wake ndio wamekua vichwa wazee kwenye mbege wakirudi nyumbani kichapo
 
Wanadai wamaweka mukuta 😁 napenda mbege ya msesewe
 
Kibosho ipi mangi πŸ˜„mwenyewe mkibosho ,Kibosho yetu wazee ambao hawatembelei tako nyani ni wachache mno bwashee😁😁
 
Jana nimeigonga sana Pale Marangu Rauya
 
Hii sio kweli sababu zamani mbege ilikua kama bure tu alafu kila jumapili kulikua na sherehe ya mbege na nyama kwa siku 2-3

Kipindi safari kubwa inauzwa 700 mbege ilikua Tsh 100 kwa lita. Leo safari kubwa ni 2000 mbege ni 500.
Kwahiyo ulichokiandika ni uongo mkubwa kabisa
 
Mbege unashindia hata miezi na afya haitetereki bila chakula kingine .
Naisoma tafiti hapa

Inasema kuna vijana wanaokula vyakula vya kizungu walipewa mbege lita moja kwa siku, kwa wiki moja wakaonesha dalili nzuriπŸ˜‚
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…