Bibi yangu mzaa baba ana 112 yupo na yupo fiti ,kila siku lazima apate kitochi/ bohora moja, yeye babu kafa na 95 , tafiti weka kapuni😁Naisoma tafiti hapa
Inasema kuna vijana wanaokula vyakula vya kizungu walipewa mbege lita moja kwa siku, kwa wiki moja wakaonesha dalili nzuri😂
ukiambiwa ulevi uliwashusha nguvu kiuchumi na afya hadi sasa kupokea kichapo kwa wake zao haimanishi mbege ilikua ghali, bali ulevi huambatana na umalaya ukiambiwa mtu kamaliza kilabuni elifu hamsini sio kanunua mbege pekee za hiyo pesa bali na umalaya kauingiza ndani mekuHii sio kweli sababu zamani mbege ilikua kama bure tu alafu kila jumapili kulikua na sherehe ya mbege na nyama kwa siku 2-3
Kipindi safari kubwa inauzwa 700 mbege ilikua Tsh 100 kwa lita. Leo safari kubwa ni 2000 mbege ni 500.
Kwahiyo ulichokiandika ni uongo mkubwa kabisa
kibosho yote meku... 😂Kibosho ipi mangi 😄mwenyewe mkibosho ,Kibosho yetu wazee ambao hawatembelei tako nyani ni wachache mno bwashee😁😁
Unakumbuka ile kijana ukitaka kuoa unajenga kwanza, unaandaa sherehe alafu yule binti unaemtaka unaongea na mashoga zake unawapanga waje nae lakini wasimshtue... Mziki ukikolea ikifika jioni au usiku unaenda alipokaa bint mhusika unasaidiwa na marafiki zake au marafiki zako wa kiume anabebwa juujuu hadi ndani kwako, wao wanaondoka wanafunga kwa nje mnaachwa huko hata siku 2 inakua ndio umeoa hivo.Yani vibe la nyumbani ni la kipekee ,kula mbege choma nyama na kucheza mziki😄 ,hapo bado hatuchafua meza na bia 😁
Mjini hasa dar naskia flavour ya mbege inauzwa kwahiyo hawawaweki ndizi ni ulezi na flavour tuu, inakua kama uji😖😖😖Mpaka muda huu mbege ipo karibia nchi nzima sema mbege za huku mjini sizielewagi japo watu wanazipiga kawaida
labda hizi pombe za asili hazina madhara kama za viwandaniBibi yangu mzaa baba ana 112 yupo na yupo fiti ,kila siku lazima apate kitochi/ bohora moja, yeye babu kafa na 95 , tafiti weka kapuni😁
Hii si kwa mbege uchagani sasa hivi kuna pombe nyingi za hovyo , ambazo vijana na wazee wa sasa wametumbukia huko , ila mbege imetoa vichwa ambavyo vimeweka legacy ya mchaga duniani.ukiambiwa ulevi uliwashusha nguvu kiuchumi na afya hadi sasa kupokea kichapo kwa wake zao haimanishi mbege ilikua ghali, bali ulevi huambatana na umalaya ukiambiwa mtu kamaliza kilabuni elifu hamsini sio kanunua mbege pekee za hiyo pesa bali na umalaya kauingiza ndani meku
Ile juece nyekundu auNimeishi Moshi muda mrefu bila kuonja pombe ya mbege. Niliishia kunywa juisi yake tu kabla haijageuka kuwa pombe, kwa hiyo sijui ladha ya pombe ya mbege ikoje
Inategemea mkuu ikikaaa mno inaweza fika mpaka 45labda hizi pombe za asili hazina madhara kama za viwandani
naona hapa wanasema mbege alchohol yake ni 1-3%
nilijua ni kali
hizo mbege mnaweka na msesewe..meku hebu wachakudanganya watuHii si kwa mbege uchagani sasa hivi kuna pombe nyingi za hovyo , ambazo vijana na wazee wa sasa wametumbukia huko , ila mbege imetoa vichwa ambavyo vimeweka legacy ya mchaga duniani.
Ila hii mpaka wazee wachungulie ukoo wake kwanza 😄Unakumbuka ile kijana ukitaka kuoa unajenga kwanza, unaandaa sherehe alafu yule binti unaemtaka unaongea na mashoga zake unawapanga waje nae lakini wasimshtue... Mziki ukikolea ikifika jioni au usiku unaenda alipokaa bint mhusika unasaidiwa na marafiki zake au marafiki zako wa kiume anabebwa juujuu hadi ndani kwako, wao wanaondoka wanafunga kwa nje mnaachwa huko hata siku 2 inakua ndio umeoa hivo.
Yani mkishafungiwa hata bint apige kelele hatoki,, sanasana wazazi ndio watakua wanaleta chekula na dirishani alafu asubuh wazazi wanaenda kwa wazazi wa binti kutoa taarifa kwamba mtoto wenu yupo kwetu... Kiutamaduni hii inakua imeisha mnaaza mipango ya ndoa 😁😃😃
Kimwili ndio NI kweli kuugua NI nadra Sana NI Kama haya makomoni tunayonywesha na CCM Tangu 1961 unaambiwa yanapikwa Kwa vidonge image pombe ndani inadawa kabisa. But ukija kwenye Afya ya akili kusema kweli Akili mnembe ifanyiwe maboresho zinapatikana na hardware wachaga na wapare wawe wanafungiwa Kwa vichwa vyao .Mbona sasa kuna watu wanainywa mchana na jioni hawaugui?
Kinachoharibu vijana kule sio mbege bali ni hizi pombe za viwandani... Vijana kule wanakunywa mbege nyingi wakiona hawalewi wanasema ngoja wakapige kali ili kichwa kiwakeBibi yangu mzaa baba ana 112 yupo na yupo fiti ,kila siku lazima apate kitochi/ bohora moja, yeye babu kafa na 95 , tafiti weka kapuni😁
Msesewe hauna shida mekuhizo mbege mnaweka na msesewe..meku hebu wachakudanganya watu