Magari yote makubwa (7series,S class etc) kwa used ni cheap to buy lakini kuishi nalo si shughuli ya kitoto. Kama uko vizuri kiuchumi unachukua huku umetenga bajeti chochote kikitokea unarekebisha. Ila kama ni mwenzangu na mimi utalifaidi miezi michache ya mwanzo tu likianza kudai matunzo linakushinda.Juzi nimekaa Car wash kwa mwanangu Changanyikeni ikapita ile BMW ya Jux li 750i flani jeupe linakunya Moshi like a joke...Huko chini utadhani kuna wapiga ngoma ni kulukulu za kutosha.πππ Nikajisemea moyoni ustaa mzigo wa mwiba
Hahaha S class ni noma mzee, 6th Generation kwangu ndio best S Class Benz ever built inside outMiba ya u star ukiubeba unaumia.. ππ S class ni zaidi ya gari..
Hahah rudi nyumbani(kwa mjep) kumenoga.Mimi huyu ninunue Dualis ? π¬π¬π¬
Nachukue kidenge cha chini tu Fuga yenye VQ35 ππ.. japo vipo vipo ila sio kama athlete πππ.. ila crown tamu sanaa.. sema ndio ivyo.. japo nitarudi hapo siku za usoni kwa baba yao Majesta..
Ni kweli, siku hizi wahuni wanachakachua sana km.. sio bongo tu hadi ulaya.. ila naona nchi za Europe wana sheria kali kwenye hilo eneo ukiotewa ni msala. Kuna video moja niliona youtube wanaelezea hiyo kitu. Kwenye KM ni nzuri naona uikute gari ikiwa chini ya 80,000. Huwa nala nyingi zinakuwa na hali nzuriKukuongezea tu sio miaka 10 tu, na km zina matter kwenye maisha ya vipuri. Mfano gari ya miaka 5 iliotembea km160,000 haiwezi kuwa bora kuliko gari ya miaka 15 iliotembea km 70,000. Changamoto kuwa na uhakika na hizo km.
Hahahahah hio midude tuwaachie wajukuu wa Hitler tu. Wengi vipato vyetu tunavijua. Gari inaweza zingua repair costs zinafika 10M na ni vitu vichache tu.Magari yote makubwa (7series,S class etc) kwa used ni cheap to buy lakini kuishi nalo si shughuli ya kitoto. Kama uko vizuri kiuchumi unachukua huku umetenga bajeti chochote kikitokea unarekebisha. Ila kama ni mwenzangu na mimi utalifaidi miezi michache ya mwanzo tu likianza kudai matunzo linakushinda.
S + maybach.. ni shidaaa πππ alafu ukute lile li V12 πHahaha S class ni noma mzee, 6th Generation kwangu ndio best S Class Benz ever built inside out
Hata mimi, Skyline hazijanibariki sana.. wana yale ma skyline GTR yanapuyanga hadi 340 kama sikosei, nilikuwa nayatamani.. ili kila nikipiga hesabu za pesa ngoma inagonga mwamba naishia kuziona na kuzitamani na kuzisifia tuHahah rudi nyumbani(kwa mjep) kumenoga.
Safi sana choice iko poa,mimi napendelea VQ 35 ikiwa kwny nissan skyline coupe(napenda coupe car sana),ile skyline saloon siipendi ina sura mbaya sana.
Hahahah huu mchezo lazma niufanye lakini. Mi gari yangu imegonga 200+ ila siku nikiiuza lazma nipunguze hadi 90 au 80+ bila hivyo najua watu watanletea mapozi ila i'll ensure iko as clean as new. Mi niliuziwa ikiwa 170+ ila iko fully functional as just imported.Ni kweli, siku hizi wahuni wanachakachua sana km.. sio bongo tu hadi ulaya.. ila naona nchi za Europe wana sheria kali kwenye hilo eneo ukiotewa ni msala. Kuna video moja niliona youtube wanaelezea hiyo kitu. Kwenye KM ni nzuri naona uikute gari ikiwa chini ya 80,000. Huwa nala nyingi zinakuwa na hali nzuri
Hahaha share uzoefu kidogo wa kinachowapata washkaji mkuuMkuu s550 ya 2015 sio ya mtu wa uchumi wa kati. Hio ni league ingine kabisa. Kuna watu wa uchumi wa kati wanajilipua na s350 au s320 za miaka 10+ iliopita, nawaona kinachowapata kila siku.
Gari ikishakuwa 10-20m lazima ziwe nyingi. Na value yake huwa inashuka haraka sana.. na ndio mkononi kwa mtu unaichukua hata kwa 4 million, hizi crown zipe mwaka mmoja wa ziada.. utaona.. Gari ambazo hazina watu wengi hata kama bei chee ni zenye engine za V8, lakini kwa brand kama brand karibia zote zimezagaaDuh sasa Subaru nazo zishakuwa kama IST...kuna vile vi imprezza cc1500 vimeingia kibao,hizi Forrester XT nazo zimekuwa jezi. Kifupi gari ikikubalika na ikiwa bei ya kati 10-20m zitajaa tu hapa dawa yake uingie kwa magari ya mzungu ndio mtakuwa wachache ingawa na huko nako watu woga umeisha wanajilipua.
Kuhani Noah
Kaa kwa V8 Majesta 3UR -FE mnyama 4.3L vvti!Mimi huyu ninunue Dualis ? π¬π¬π¬
Nachukue kidenge cha chini tu Fuga yenye VQ35 ππ.. japo vipo vipo ila sio kama athlete πππ.. ila crown tamu sanaa.. sema ndio ivyo.. japo nitarudi hapo siku za usoni kwa baba yao Majesta..
Ukiona una gari, alafu imeharibika.. ili uilekebishe hadi ujichange change.. ujue imeisha kushinda hiyo ππHahaha share uzoefu kidogo wa kinachowapata washkaji mkuu
Mimi nilishaikuta S350 ya 2007(kama nakumbuka vzr) garage jamaa ameisusa ilikua imezingua airmatic ndani ya muda mfupi akawa anasema anatafuta pesa aweke coil spring lkn hapohapo analalamika akisema quality ya ride itakua changamoto wkt ile gari ni ya kiboss.
Hahahahah sasa Air suspension ya Benz unadhani kitoto πππ sema huwa lina muungurom mtamu sana hilo dude. Kuna jamaa yangu mmoja analo huwa napenda mziki wake tu ndani mziki umejaa kinoma yani very crisp and clean bass!Hahaha share uzoefu kidogo wa kinachowapata washkaji mkuu
Mimi nilishaikuta S350 ya 2007(kama nakumbuka vzr) garage jamaa ameisusa ilikua imezingua airmatic ndani ya muda mfupi akawa anasema anatafuta pesa aweke coil spring lkn hapohapo analalamika akisema quality ya ride itakua changamoto wkt ile gari ni ya kiboss.
Smoothness is the key mkuu,ndio maana engine kubwa ni mpango mzima.Ila ili uzipate hizo 301HP si lazima u slam gas pedal mkuu? Utajikuta unarudi kule kule kwenye gas guzzler.
Wakati hata 3.5L tu inakuwa very smooth kuipata hio 301HP.
Hahahahah gari ikianza kula kwenye 2 ujue throttle body imechafuka tayari π au plug mbovu. Kama gari inakula wese kwenye 2 rpm na si Subaru wahi kwa fundiSmoothness is the key mkuu,ndio maana engine kubwa ni mpango mzima.
Na ili Turbo ifanye kazi yake lazima machine iwe kwny high rpm hapo wese lazima lilike sana tu ingawa zipo gari ambazo rpm ikiwa 2000 tu zinaanza kufanya yake lkn inakua haina mzuka kulinganisha na ikiwa kwny high rpm.
Hahah hivi ka Ist kamepona kweli kwny kupandisha huo ushuru?Jamaa washakapandisha ushuru hako soon zitapungua.
Nilipenda sana nilichukue hili, ila nalivutia kasi.. nitajipa zawadi mwisho wa mwaka.. Mungu akijaliaππ.. na nina hisi ndio gari nitayo kaa nayo mda mrefu..Kaa kwa V8 Majesta 3UR -FE mnyama 4.3L vvti!
Lile dude hatari mzee kwa wanaopenda ligi mle lazma wapasue mapafu ya gari.
ππππ na hapo ndipo utamu wa turbo unapokuja na kukata.Hahahahah gari ikianza kula kwenye 2 ujue throttle body imechafuka tayari π au plug mbovu. Kama gari inakula wese kwenye 2 rpm na si Subaru wahi kwa fundi